2 Timotheo 4 – NEN & CCB

Kiswahili Contemporary Version

2 Timotheo 4:1-22

Maagizo Ya Mwisho

14:1 Mdo 10:42; 1Tim 5:21Nakuagiza mbele za Mungu na mbele za Kristo Yesu, atakayewahukumu watu walio hai na waliokufa wakati wa kuja kwake na ufalme wake, kwamba: 24:2 1Tim 4:13; Gal 6:6; Tit 1:13; 2:15Hubiri Neno; kuwa tayari wakati ufaao na wakati usiofaa; karipia, kemea na utie moyo kwa uvumilivu wote na kwa mafundisho mazuri. 34:3 1Tim 1:4, 10; 2Tim 3:1, 6Maana wakati utakuja watu watakapokataa kuyakubali mafundisho yenye uzima. Badala yake, ili kutimiza tamaa zao wenyewe, watajikusanyia idadi kubwa ya walimu wapate kuwaambia yale ambayo masikio yao yanayowasha yanatamani kuyasikia. 44:4 1Tim 1:4; 4:7; Tit 1:14Watakataa kusikiliza kweli na kuzigeukia hadithi za uongo. 54:5 2Tim 1:8; Mdo 21:8Kwa habari yako wewe, vumilia mateso, fanya kazi ya mhubiri wa Injili, timiza wajibu wote wa huduma yako.

64:6 Flp 2:17; 1:23; 2Pet 1:14Kwa maana mimi sasa ni tayari kumiminwa kama sadaka ya kinywaji, nayo saa yangu ya kuondoka imetimia. 74:7 1Tim 1:18; 1Kor 9:24Nimevipiga vita vizuri, mashindano nimeyamaliza, imani nimeilinda. 84:8 Kol 1:5; 2Tim 1:12Sasa nimewekewa taji ya haki ambayo Bwana, mwamuzi wa haki, atanitunukia siku ile: wala si mimi tu, bali pia wote ambao wamengoja kwa shauku kudhihirishwa kwake.

Maelekezo Ya Binafsi

94:9 2Tim 4:21; Tit 3:12Jitahidi kuja kwangu upesi 104:10 Kol 4:14; 1Yn 2:15; Mdo 16:6kwa sababu Dema, kwa kuupenda ulimwengu, ameniacha na amekwenda Thesalonike. Kreske amekwenda Galatia na Tito amekwenda Dalmatia. 114:11 Mdo 12:12; 2Tim 1:15; Kol 4:14; Flm 24; Mdo 12:25; Kol 4:10Ni Luka peke yake aliye hapa pamoja nami. Mtafute Marko uje naye kwa sababu ananifaa sana katika huduma yangu. 124:12 Mdo 20:24; Efe 6:12; Kol 4:7; Tit 3:12Nimemtuma Tikiko huko Efeso. 134:13 Mdo 16:8Utakapokuja, niletee lile joho nililoliacha kwa Karpo huko Troa na vile vitabu vyangu, hasa vile vya ngozi.

144:14 Mdo 19:33; Za 28:4Aleksanda yule mfua chuma alinitendea ubaya mkubwa. Bwana atamlipa kwa ajili ya yale aliyotenda. 15Wewe pia ujihadhari naye kwa sababu aliyapinga sana maneno yetu.

164:16 Mdo 7:60; 2Tim 1:15Katika utetezi wangu wa mara ya kwanza, hakuna hata mmoja aliyeniunga mkono, bali kila mmoja aliniacha. Namwomba Mungu wasihesabiwe hatia kwa jambo hilo. 174:17 Mdo 23:11; 9:15Lakini Bwana alisimama upande wangu akanitia nguvu, ili kupitia kwangu lile Neno lihubiriwe kwa ukamilifu, watu wote Mataifa wapate kulisikia. Mimi niliokolewa kutoka kinywa cha simba. 184:18 Za 121:7; Rum 11:36Bwana ataniokoa katika kila shambulio baya na kunileta salama katika Ufalme wake wa mbinguni. Atukuzwe yeye milele na milele. Amen.

Salamu Za Mwisho

194:19 Mdo 18:2; Rum 16; 3; 2Tim 1:16Wasalimu Prisila4:19 Prisila kwa Kiyunani ni Priska, hivyo tafsiri nyingine zimemuita Priska. na Akila, na wote wa nyumbani kwa Onesiforo. 204:20 Mdo 19:22; 20:4Erasto alibaki Korintho. Nami nikamwacha Trofimo huko Mileto akiwa mgonjwa. 214:21 2Tim 4:9; Tit 3:12Jitahidi ufike huku kabla ya majira ya baridi. Eubulo anakusalimu, vivyo hivyo Pude, Lino, Klaudia na ndugu wote.

224:22 Gal 6:18; Flp 1:25; Kol 4:18Bwana awe pamoja na roho yako. Neema iwe pamoja nanyi. Amen.

Chinese Contemporary Bible 2022 (Simplified)

提摩太后书 4:1-22

务要传道

1在上帝和审判活人死人的基督耶稣面前,我凭基督的显现和祂的国郑重嘱咐你: 2务要传道,无论时机好坏,都要准备好,以百般的忍耐和教导督责人、警戒人、勉励人。 3因为有一天,人们会厌倦纯正的教导,耳朵发痒,寻找许多迎合他们私欲的老师。 4他们掩耳不听真理,反而偏向无稽之谈。 5然而,你要谨慎行事,不怕吃苦,专心传道,尽忠职守。

6我的生命如同奉献在祭坛上的酒正倾倒出来,我离世的日子快要到了。 7那美好的仗,我打过了;当跑的路,我跑完了;所信的道,我守住了。 8从此,有公义的冠冕为我预备,按公义审判的主会在祂来的那一天把它赐给我,不但会赐给我,也会赐给所有爱慕祂显现的人。

最后的嘱咐

9请你尽快到我这里来, 10因为底马贪爱世界,离弃我跑到帖撒罗尼迦去了。革勒士去了加拉太提多去了挞马太11只剩下路加一人在我身边。你要把马可一起带来,因为他在传道的工作上对我很有帮助。 12至于推基古,我派他到以弗所去了。 13你来的时候,要把我在特罗亚时留给加布的外衣带来,也要带来那些书卷,特别是那些羊皮卷。

14铜匠亚历山大做了许多恶事害我,主必按他的所作所为报应他。 15你也要提防他,因为他极力反对我们所传的道。

16我第一次在法庭申辩的时候,没有人帮助我,众人都离弃了我,但愿他们不会因此而获罪。 17然而主站在我身旁加给我力量,使我可以把福音完整地传给所有的外族人。主把我从狮子口里救了出来。 18主必救我脱离一切邪恶的攻击,带我进入祂的天国。愿荣耀归给主,直到永永远远。阿们!

问候

19请代我问候百基拉亚居拉,以及阿尼色弗一家。 20以拉都留在了哥林多,我把生病的特罗非摩留在了米利都21你要尽快在冬天之前赶到这里来。友布罗布田利奴革劳底亚和众弟兄姊妹都问候你。

22愿主与你的灵同在!愿恩典与你们同在!