Daily Manna for Wednesday, September 21, 2022

Daily Manna is a daily Bible devotional service provided by Biblica. The Scripture is provided in many forms and is new every day. It is a great way to receive the encouragement and hope found in the Word of God.

Verse of the Day

Waebrania 8:10-12

8:10 Rum 11:27; 2Kor 3:3; Ebr 10:16; Eze 11:20; Zek 8:8Hili ndilo agano nitakalofanya na nyumba ya Israeli

baada ya siku zile, asema Bwana.

Nitaziweka sheria zangu katika nia zao

na kuziandika mioyoni mwao.

Nitakuwa Mungu wao,

nao watakuwa watu wangu.

8:11 Isa 54:13; Yn 6:45Mtu hatamfundisha tena jirani yake,

wala mtu kumfundisha ndugu yake akisema, ‘Mjue Bwana,’

kwa sababu wote watanijua mimi,

tangu aliye mdogo kabisa kwao, hadi aliye mkuu sana.

8:12 Ebr 10:17; Yer 31:31-34Kwa sababu nitasamehe uovu wao,

wala sitazikumbuka dhambi zao tena!”