Daily Manna for Tuesday, September 20, 2022

Daily Manna is a daily Bible devotional service provided by Biblica. The Scripture is provided in many forms and is new every day. It is a great way to receive the encouragement and hope found in the Word of God.

Verse of the Day

2 Wakorintho 4:7

4:7 Ay 4:19; Isa 64:8; 2Tim 2:20; Amu 7:2; 1Kor 2:5; 2Kor 6:7Lakini tunayo hazina hii katika vyombo vya udongo, ili ijulikane wazi kwamba uwezo huu wa ajabu unatoka kwa Mungu wala si kwetu.

2 Wakorintho 4:16-18

4:16 Za 18:45; Rum 7:22; Za 103:5Kwa hiyo, hatukati tamaa. Ingawa utu wetu wa nje unachakaa, utu wetu wa ndani unafanywa upya siku kwa siku. 4:17 Za 30:5; Rum 8:18; 1Pet 1:6-7Kwa maana dhiki yetu nyepesi iliyo ya kitambo inatutayarisha kwa ajili ya utukufu wa milele unaozidi kuwa mwingi kupita kiasi, 4:18 2Kor 5:7; Rum 8:24; Ebr 11kwa sababu hatuangalii yale yanayoweza kuonekana bali yale yasiyoweza kuonekana. Kwa maana yale yanayoweza kuonekana ni ya kitambo tu, bali yale yasiyoweza kuonekana ni ya milele.