Daily Manna for Sunday, May 9, 2021

Daily Manna is a daily Bible devotional service provided by Biblica. The Scripture is provided in many forms and is new every day. It is a great way to receive the encouragement and hope found in the Word of God.

Verse of the Day

2 Timotheo 1:11-14

1:11 1Tim 2:7; Mdo 9:15; Efe 3:7, 8; 2Tim 4:17Nami nimewekwa kuwa mhubiri, mtume na mwalimu wa Injili hii. 1:12 1Tim 6:20; 1Kor 1:8; Efe 3:1; 2Tim 2:9; 1Pet 4:19; 1Tim 6:20; 2Tim 4:8Hii ndiyo sababu ninateseka namna hii, lakini sioni haya kwa maana ninamjua yeye niliyemwamini, na kusadiki ya kuwa anaweza kukilinda kile nilichokiweka amana kwake hadi siku ile.

1:13 Tit 1:9; 1Tim 1:14Shika kwa uthabiti kielelezo cha mafundisho yenye uzima yale uliyoyasikia kwangu, pamoja na imani na upendo katika Kristo Yesu. 1:14 Rum 8:9; 1Tim 6:20; Rum 8:11Ilinde ile amana uliyokabidhiwa kwa Roho Mtakatifu akaaye ndani yetu.