Psalms 51 – NIV & NEN

New International Version

Psalms 51:1-19

Psalm 51In Hebrew texts 51:1-19 is numbered 51:3-21.

For the director of music. A psalm of David. When the prophet Nathan came to him after David had committed adultery with Bathsheba.

1Have mercy on me, O God,

according to your unfailing love;

according to your great compassion

blot out my transgressions.

2Wash away all my iniquity

and cleanse me from my sin.

3For I know my transgressions,

and my sin is always before me.

4Against you, you only, have I sinned

and done what is evil in your sight;

so you are right in your verdict

and justified when you judge.

5Surely I was sinful at birth,

sinful from the time my mother conceived me.

6Yet you desired faithfulness even in the womb;

you taught me wisdom in that secret place.

7Cleanse me with hyssop, and I will be clean;

wash me, and I will be whiter than snow.

8Let me hear joy and gladness;

let the bones you have crushed rejoice.

9Hide your face from my sins

and blot out all my iniquity.

10Create in me a pure heart, O God,

and renew a steadfast spirit within me.

11Do not cast me from your presence

or take your Holy Spirit from me.

12Restore to me the joy of your salvation

and grant me a willing spirit, to sustain me.

13Then I will teach transgressors your ways,

so that sinners will turn back to you.

14Deliver me from the guilt of bloodshed, O God,

you who are God my Savior,

and my tongue will sing of your righteousness.

15Open my lips, Lord,

and my mouth will declare your praise.

16You do not delight in sacrifice, or I would bring it;

you do not take pleasure in burnt offerings.

17My sacrifice, O God, is51:17 Or The sacrifices of God are a broken spirit;

a broken and contrite heart

you, God, will not despise.

18May it please you to prosper Zion,

to build up the walls of Jerusalem.

19Then you will delight in the sacrifices of the righteous,

in burnt offerings offered whole;

then bulls will be offered on your altar.

Kiswahili Contemporary Version

Zaburi 51:1-19

Zaburi 51

Kuomba Msamaha

Kwa mwimbishaji. Zaburi ya Daudi. Baada ya kukemewa na nabii Nathani kwa kuzini na Bathsheba.

151:1 2Sam 24:14; 12:13; Za 39:8; 86:15; 25:7; 119:88; 9:13; Neh 4:5; 9:27; Isa 63:7; Kol 2:14; 2Nya 6:23; Mdo 3:19Ee Mungu, unihurumie,

kwa kadiri ya upendo wako usiokoma,

kwa kadiri ya huruma yako kuu,

uyafute makosa yangu.

251:2 Rum 3:3; Yer 2:22; 13:27; Mdo 22:16; Mit 20:30; Isa 4:4; Ebr 9:14; Zek 13:1; Ufu 1:5; 1Kor 6:11; Eze 13:1; 36:25; Mt 23:25, 26; 1Yn 1:7, 9Unioshe na uovu wangu wote

na unitakase dhambi yangu.

351:3 Isa 59:12; Za 32:5Kwa maana ninajua makosa yangu,

na dhambi yangu iko mbele yangu daima.

451:4 1Sam 15:24; Mwa 20:6; Lk 15:21; Rum 3:4Dhidi yako, wewe peke yako, nimetenda dhambi

na kufanya yaliyo mabaya machoni pako,

ili uthibitike kuwa wa kweli unenapo,

na kuwa na haki utoapo hukumu.

551:5 Law 5:2; Ay 5:7; 14:4; Rum 5:12; Yn 3:6Hakika mimi nilizaliwa mwenye dhambi,

mwenye dhambi tangu nilipotungwa mimba kwa mama yangu.

651:6 Ay 9:4; 34:32; Za 119:66; 143:10Hakika wewe wapendezwa na kweli itokayo moyoni,

ndani sana ya moyo wangu wanifundisha hekima.

751:7 Eze 36:25; Hes 19:6; Zek 13:1; Kut 12:22; Ebr 9:19; Isa 4:4; 1:19; 43:25; 44:22Nioshe kwa hisopo, nami nitakuwa safi,

unisafishe, nami nitakuwa mweupe kuliko theluji.

851:8 Isa 35:10; Kut 12:46; Yer 33:11; Yoe 1:16Unipe kusikia furaha na shangwe,

mifupa uliyoiponda na ifurahi.

951:9 Yer 16:17; Zek 4:10; 2Sam 12:13Ufiche uso wako usizitazame dhambi zangu,

na uufute uovu wangu wote.

1051:10 Za 24:4; 78:37; Mt 5:8; Mdo 15:9; Eze 11:19; 18:31; 36:26; Mit 20:9; Yer 13:27; Efe 2:10Ee Mungu, uniumbie moyo safi,

uifanye upya roho ya uthabiti ndani yangu.

1151:11 Za 27:9; 138:8; 71:9; 106:3; Kut 33:15; Mwa 4:14; Isa 63:10; Eze 36:27; Efe 4:30; Rum 8:9Usinitupe kutoka mbele zako

wala kuniondolea Roho wako Mtakatifu.

1251:12 Ay 33:26; Za 110:3; 18:35; Rum 8:15; 2Kor 3:17Unirudishie tena furaha ya wokovu wako,

unipe roho ya utii, ili initegemeze.

1351:13 Kut 33:13; Za 1:1; Mdo 9:21-22; Ay 33:27Ndipo nitakapowafundisha wakosaji njia zako,

na wenye dhambi watakugeukia wewe.

1451:14 2Sam 12:9; Za 5:8; 22:5; 39:8; 68:20; 88:1; 35:28; 71:15Ee Mungu, Mungu uniokoaye,

niokoe na hatia ya kumwaga damu,

nao ulimi wangu utaimba juu ya haki yako.

1551:15 Kut 4:15Ee Bwana, fungua midomo yangu,

na kinywa changu kitatangaza sifa zako.

1651:16 1Sam 15:22Wewe hupendezwi na dhabihu, au ningaliileta,

hufurahii sadaka za kuteketezwa.

1751:17 Mit 15:8; Hag 2:14; Mt 11:29Bali dhabihu za Mungu ni roho iliyovunjika,

moyo uliovunjika wenye toba,

Ee Mungu, hutaudharau.

1851:18 Za 69:35; 147:2; 102:16; Zek 1:16-17; Isa 14:32; 44:26; 51:3; 51:19; Kum 33:19; Mal 3:3Kwa wema wa radhi yako uifanye Sayuni istawi,

ukazijenge upya kuta za Yerusalemu.

19Hapo ndipo kutakapokuwa na dhabihu za haki,

sadaka nzima za kuteketezwa za kukupendeza sana,

pia mafahali watatolewa

madhabahuni mwako.