1 Chronicles 4 – NIV & NEN

New International Version

1 Chronicles 4:1-43

Other Clans of Judah

1The descendants of Judah:

Perez, Hezron, Karmi, Hur and Shobal.

2Reaiah son of Shobal was the father of Jahath, and Jahath the father of Ahumai and Lahad. These were the clans of the Zorathites.

3These were the sons4:3 Some Septuagint manuscripts (see also Vulgate); Hebrew father of Etam:

Jezreel, Ishma and Idbash. Their sister was named Hazzelelponi. 4Penuel was the father of Gedor, and Ezer the father of Hushah.

These were the descendants of Hur, the firstborn of Ephrathah and father4:4 Father may mean civic leader or military leader; also in verses 12, 14, 17, 18 and possibly elsewhere. of Bethlehem.

5Ashhur the father of Tekoa had two wives, Helah and Naarah.

6Naarah bore him Ahuzzam, Hepher, Temeni and Haahashtari. These were the descendants of Naarah.

7The sons of Helah:

Zereth, Zohar, Ethnan, 8and Koz, who was the father of Anub and Hazzobebah and of the clans of Aharhel son of Harum.

9Jabez was more honorable than his brothers. His mother had named him Jabez,4:9 Jabez sounds like the Hebrew for pain. saying, “I gave birth to him in pain.” 10Jabez cried out to the God of Israel, “Oh, that you would bless me and enlarge my territory! Let your hand be with me, and keep me from harm so that I will be free from pain.” And God granted his request.

11Kelub, Shuhah’s brother, was the father of Mehir, who was the father of Eshton. 12Eshton was the father of Beth Rapha, Paseah and Tehinnah the father of Ir Nahash.4:12 Or of the city of Nahash These were the men of Rekah.

13The sons of Kenaz:

Othniel and Seraiah.

The sons of Othniel:

Hathath and Meonothai.4:13 Some Septuagint manuscripts and Vulgate; Hebrew does not have and Meonothai. 14Meonothai was the father of Ophrah.

Seraiah was the father of Joab,

the father of Ge Harashim.4:14 Ge Harashim means valley of skilled workers. It was called this because its people were skilled workers.

15The sons of Caleb son of Jephunneh:

Iru, Elah and Naam.

The son of Elah:

Kenaz.

16The sons of Jehallelel:

Ziph, Ziphah, Tiria and Asarel.

17The sons of Ezrah:

Jether, Mered, Epher and Jalon. One of Mered’s wives gave birth to Miriam, Shammai and Ishbah the father of Eshtemoa. 18(His wife from the tribe of Judah gave birth to Jered the father of Gedor, Heber the father of Soko, and Jekuthiel the father of Zanoah.) These were the children of Pharaoh’s daughter Bithiah, whom Mered had married.

19The sons of Hodiah’s wife, the sister of Naham:

the father of Keilah the Garmite, and Eshtemoa the Maakathite.

20The sons of Shimon:

Amnon, Rinnah, Ben-Hanan and Tilon.

The descendants of Ishi:

Zoheth and Ben-Zoheth.

21The sons of Shelah son of Judah:

Er the father of Lekah, Laadah the father of Mareshah and the clans of the linen workers at Beth Ashbea, 22Jokim, the men of Kozeba, and Joash and Saraph, who ruled in Moab and Jashubi Lehem. (These records are from ancient times.) 23They were the potters who lived at Netaim and Gederah; they stayed there and worked for the king.

Simeon

24The descendants of Simeon:

Nemuel, Jamin, Jarib, Zerah and Shaul;

25Shallum was Shaul’s son, Mibsam his son and Mishma his son.

26The descendants of Mishma:

Hammuel his son, Zakkur his son and Shimei his son.

27Shimei had sixteen sons and six daughters, but his brothers did not have many children; so their entire clan did not become as numerous as the people of Judah. 28They lived in Beersheba, Moladah, Hazar Shual, 29Bilhah, Ezem, Tolad, 30Bethuel, Hormah, Ziklag, 31Beth Markaboth, Hazar Susim, Beth Biri and Shaaraim. These were their towns until the reign of David. 32Their surrounding villages were Etam, Ain, Rimmon, Token and Ashan—five towns— 33and all the villages around these towns as far as Baalath.4:33 Some Septuagint manuscripts (see also Joshua 19:8); Hebrew Baal These were their settlements. And they kept a genealogical record.

34Meshobab, Jamlech, Joshah son of Amaziah, 35Joel, Jehu son of Joshibiah, the son of Seraiah, the son of Asiel, 36also Elioenai, Jaakobah, Jeshohaiah, Asaiah, Adiel, Jesimiel, Benaiah, 37and Ziza son of Shiphi, the son of Allon, the son of Jedaiah, the son of Shimri, the son of Shemaiah.

38The men listed above by name were leaders of their clans. Their families increased greatly, 39and they went to the outskirts of Gedor to the east of the valley in search of pasture for their flocks. 40They found rich, good pasture, and the land was spacious, peaceful and quiet. Some Hamites had lived there formerly.

41The men whose names were listed came in the days of Hezekiah king of Judah. They attacked the Hamites in their dwellings and also the Meunites who were there and completely destroyed4:41 The Hebrew term refers to the irrevocable giving over of things or persons to the Lord, often by totally destroying them. them, as is evident to this day. Then they settled in their place, because there was pasture for their flocks. 42And five hundred of these Simeonites, led by Pelatiah, Neariah, Rephaiah and Uzziel, the sons of Ishi, invaded the hill country of Seir. 43They killed the remaining Amalekites who had escaped, and they have lived there to this day.

Kiswahili Contemporary Version

1 Nyakati 4:1-43

Koo Nyingine Za Yuda

14:1 Mwa 46:12; 1Nya 2:3; Hes 26:21; Mwa 38:29; Rut 4:18Wana wa Yuda walikuwa:

Peresi, Hesroni, Karmi, Huri na Shobali.

2Reaya mwana wa Shobali akamzaa Yahathi, Yahathi akawazaa Ahumai na Lahadi. Hizi ndizo zilizokuwa koo za Wasorathi.

3Hawa ndio waliokuwa wana wa Etamu:

Yezreeli, Ishma na Idbashi. Dada yao aliitwa Haselelponi. 44:4 1Nya 2:50; Rut 1:19Penueli akamzaa Gedori, naye Ezeri akamzaa Husha.

Hawa walikuwa wazao wa Huri, mzaliwa wa kwanza wa Efrathi, na baba yake Bethlehemu.

54:5 1Nya 2:24Ashuri baba yake Tekoa alikuwa na wake wawili, Hela na Naara.

6Hawa walikuwa wazao wa Naara: Ahuzamu, Heferi, Temeni na Haahashtari.

7Wana wa Hela walikuwa:

Serethi, Sohari, Ethnani, 8na Kosi ambaye aliwazaa Anubi, Sobeba na jamaa zote za Aharheli mwana wa Harumu.

94:9 Mwa 34:19; Za 112:6; Mit 10:7; Mwa 3:16Yabesi aliheshimiwa kuliko ndugu zake. Mama yake alimwita Yabesi, akisema, “Nilimzaa kwa huzuni.” 104:10 Mwa 12:8; 1Nya 16:8; Ay 12:4; 22:27; Isa 12:4; 1Fal 3:7-13; Mt 7:7-11; Za 21:4; 65:2Yabesi akamlilia Mungu wa Israeli akisema, “Ee Mungu, laiti ungenibariki kweli kweli na kuipanua mipaka yangu! Mkono wako na uwe pamoja nami, uniepushe na uovu ili nisidhurike!” Naye Mungu akamjalia hayo aliyoyaomba.

11Kelubu, nduguye Shuha, akamzaa Mehiri, naye Mehiri akamzaa Eshtoni. 12Eshtoni akawazaa Beth-Rafa, Pasea na Tehina. Tehina alikuwa baba wa Iri-Nahashi. Hawa ndio waliokuwa wazao wa Reka.

134:13 Yos 15:17Wana wa Kenazi walikuwa:

Othnieli na Seraya.

Wana wa Othnieli walikuwa:

Hathathi na Meonathai. 144:14 Neh 11:35Meonathai akamzaa Ofra.

Seraya akamzaa Yoabu,

baba wa Ge-Harashimu.4:14 Maana yake Bonde la Mafundi. Liliitwa hivyo kwa sababu watu walioishi humo walikuwa mafundi.

15Kalebu mwana wa Yefune alikuwa na wana watatu:

Iru, Ela na Naamu.

Naye mwana wa Ela alikuwa:

Kenazi.

16Wana wa Yahaleleli walikuwa:

Zifu, Zifa, Tiria na Asareli.

174:17 Kut 15:20Wana wa Ezra walikuwa:

Yetheri, Meredi, Eferi na Yaloni. Mmojawapo wa wake zake Meredi aliwazaa: Miriamu, Shamai na Ishba aliyekuwa baba yake Eshtemoa. 184:18 Yos 15:34Meredi alikuwa na mke mwingine Myahudi ambaye aliwazaa: Yeredi baba wa Gedori, Heberi baba wa Soko na Yekuthieli baba wa Zanoa. Hawa walikuwa watoto wa Bithia binti Farao, ambaye Meredi alikuwa amemwoa.

194:19 Yos 15:44; Kum 3:14Wana wa mke wa Hodia aliyekuwa dada yake Nahamu walikuwa:

baba yake Keila, Mgarmi na Eshtemoa, Mmaakathi.

20Wana wa Shimoni walikuwa:

Amnoni, Rina, Ben-Hanani na Tiloni.

Wazao wa Ishi walikuwa:

Zohethi na Ben-Zohethi.

214:21 Mwa 38:5Wana wa Shela, mwana wa Yuda, walikuwa:

Eri baba yake Leka, Laada baba yake Maresha na jamaa za wafumaji nguo za kitani safi waliokuwa wakiishi huko Beth-Ashbea, 224:22 2Sam 8:2Yokimu, watu walioishi Kozeba, Yoashi na Sarafi waliotawala huko Moabu na Yashubi-Lehemu. (Taarifa hizi ni za zamani sana.) 23Hawa walikuwa wafinyanzi walioishi Netaimu na Gedera; waliishi huko wakimtumikia mfalme.

Simeoni

244:24 Mwa 21:14; Yos 15:26Wazao wa Simeoni walikuwa:

Nemueli, Yamini, Yaribu, Zera na Shauli.

25Mwana wa Shauli alikuwa Shalumu, Shalumu akamzaa Mibsamu, na Mibsamu akamzaa Mishma.

26Wazao wa Mishma walikuwa:

Hamueli aliyemzaa Zakuri, Zakuri akamzaa Shimei.

27Shimei alikuwa na wana kumi na sita, na binti sita, lakini ndugu zake hawakuwa na watoto wengi, hivyo ukoo wao wote haukuwa na watu wengi kama ukoo wa Yuda. 28Waliishi Beer-Sheba, Molada, Hasar-Shuali, 294:29 Yos 15:29Bilha, Esemu, Toladi, 30Bethueli, Horma, Siklagi, 314:31 Yos 15:35Beth-Markabothi, Hasar-Susimu, Beth-Biri na Shaaraimu. Hii ilikuwa miji yao mpaka wakati wa utawala wa Daudi. 324:32 Hes 34:11; Yos 15:42Vijiji vilivyoizunguka vilikuwa Etamu, Aini, Rimoni, Tokeni na Ashani; jumla miji mitano: 33pamoja na vijiji vyote kuizunguka hii miji hadi huko Baali. Haya yalikuwa makao yao, nao waliweka kumbukumbu ya ukoo wao.

34Meshobabu, Yamleki, Yosha mwana wa Amazia, 35Yoeli, Yehu mwana wa Yoshibia, mwana wa Seraya, mwana wa Asieli. 36Pia Elioenai, Yaakoba, Yeshohaya, Asaya, Adieli, Yesimieli, Benaya, 37Ziza mwana wa Shifi, mwana wa Aloni, mwana wa Yedaya, mwana wa Shimri, mwana wa Shemaya.

38Watu hawa walioorodheshwa hapa juu kwa majina walikuwa viongozi wa koo zao. Jamaa zao ziliongezeka sana, 394:39 Yos 15:58wakaenea mpaka kwenye viunga vya Gedori kuelekea mashariki mwa bonde wakitafuta malisho kwa ajili ya mifugo yao. 404:40 Amu 18:7-10; Mwa 9:22; 10:6; Za 78:51Huko walipata malisho mengi mazuri, nayo nchi ilikuwa na nafasi kubwa, yenye amani na utulivu. Baadhi ya Wahamu waliishi huko zamani.

414:41 2Nya 20:1; 26:7; 2Fal 18:8Watu walioorodheshwa majina walikuja katika nchi hiyo wakati wa Hezekia mfalme wa Yuda. Akawashambulia Wahamu katika makao yao pamoja na Wameuni ambao walikuwako huko nao wakawaangamiza kabisa, kama ilivyo dhahiri hadi leo. Kisha wakafanya makazi yao huko kwa sababu kulikuwa na malisho mazuri kwa ajili ya mifugo yao. 424:42 Mwa 14:6Watu wa kabila la wa Simeoni wapatao mia tano, wakiongozwa na Pelatia, Nearia, Refaya na Uzieli wana wa Ishi, wakavamia nchi ya vilima ya Seiri. 434:43 1Sam 15:8; 2Sam 8:12Wakawaua Waamaleki waliobaki, waliokuwa wamenusurika, nao wanaishi huko hadi leo.