Zaburi 93 – NEN & NIV

Kiswahili Contemporary Version

Zaburi 93:1-5

Zaburi 93

Mungu Mfalme

193:1 1Nya 16:30, 31; Za 21:5; 65:6; 24:2; 78:69; 97:1; 119:90; 104:1; 96:10; Ay 40:10; Ufu 19:6; Isa 52:7; 59:17Bwana anatawala, amejivika utukufu;

Bwana amejivika utukufu

tena amejivika nguvu.

Dunia imewekwa imara,

haitaondoshwa.

293:2 Mit 8:22; 2Sam 7:16; Mwa 21:33Kiti chako cha enzi kimekuwa thabiti tangu zamani;

wewe umekuwako tangu milele.

393:3 Isa 17:12, 13; 5:30; Yer 6:23; Za 96:11; 98:7; 107:25, 29; 46:3; Ay 9:8; Isa 51:15; Yer 31:35; Hab 3:10Bahari zimeinua, Ee Bwana,

bahari zimeinua sauti zake;

bahari zimeinua sauti za mawimbi yake.

493:4 Za 29:10; 65:7; Yer 6:23; 18:4; Yon 1:15; Neh 9:32; Ay 9:4Yeye ni mkuu kuliko ngurumo ya maji makuu,

ni mkuu kuliko mawimbi ya bahari:

Bwana aishiye juu sana ni mkuu.

593:5 Za 29:2; 5:7; 23:6Ee Bwana, sheria zako ni imara;

utakatifu umepamba nyumba yako

pasipo mwisho.

New International Version

Psalms 93:1-5

Psalm 93

1The Lord reigns, he is robed in majesty;

the Lord is robed in majesty and armed with strength;

indeed, the world is established, firm and secure.

2Your throne was established long ago;

you are from all eternity.

3The seas have lifted up, Lord,

the seas have lifted up their voice;

the seas have lifted up their pounding waves.

4Mightier than the thunder of the great waters,

mightier than the breakers of the sea—

the Lord on high is mighty.

5Your statutes, Lord, stand firm;

holiness adorns your house

for endless days.