Zaburi 46 – NEN & NIV

Kiswahili Contemporary Version

Zaburi 46:1-11

Zaburi 46

Mungu Yuko Pamoja Nasi

Kwa mwimbishaji. Zaburi ya wana wa Kora. Mtindo wa alamothi.

146:1 Za 9:9; 18:1, 6; 25:17; 34:18; 61:3; 37:39; 73:26; 91:2, 9; 142:5; Isa 33:16; Lk 1:54; Yer 16:19; 17:17; Yoe 3:16; Nah 1:7; Mao 3:57; Kum 4:30Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu,

msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso.

246:2 Mwa 4:7; Za 3:6; 18:7; 97:5; 82:5; Dan 11:19; Hab 3:6; Yer 4:23; Amo 9:5; 8:14; Isa 24:1, 19, 20; 13:13; 54:10; Ufu 6:14; Kut 15:8; Mik 1:4; Nah 1:5Kwa hiyo hatutaogopa, hata kama dunia ikiondolewa

nayo milima ikiangukia moyoni mwa bahari.

346:3 Za 93:3; Ufu 19:6; Isa 17:13; Amu 5:5; Yer 5:22; Eze 1:24; Ay 9:26Hata kama maji yake yatanguruma na kuumuka,

milima nayo ikitetemeka kwa mawimbi yake.

446:4 Ufu 22:1; Isa 60:14; 8:7; 2Sam 15:25; Ebr 12:22; Za 48:1; 2Nya 6:6; Mwa 14:18Kuna mto ambao vijito vyake vinaufurahisha mji wa Mungu,

mahali patakatifu ambako Aliye Juu Sana anaishi.

546:5 Kum 23:14, 15; Isa 12:6; Eze 43:7; Zek 2:5; Za 26:8; 125:1; 1Nya 5:20Mungu yuko katikati yake, hautaanguka,

Mungu atausaidia asubuhi na mapema.

646:6 Ay 12:23; Mt 4:8; Za 68:32; 74:23; 102:22; 29:3; Isa 17:12; 23:11; 13:4, 13; 5:30; 33:3; Eze 26:18Mataifa yanafanya ghasia, falme zinaanguka,

Yeye huinua sauti yake, dunia ikayeyuka.

746:7 1Sam 1:11; Mwa 21:22; Za 20:1; 18:2Bwana Mwenye Nguvu Zote yu pamoja nasi,

Mungu wa Yakobo ni ngome yetu.

846:8 Za 66:5; Isa 17:9; 64:10; Dan 9:26; Lk 21:20Njooni mkaone kazi za Bwana

jinsi alivyofanya ukiwa katika nchi.

946:9 Isa 2:4; Za 37:15; Isa 22:6; 9:5; Eze 39:9; Hos 2:18Anakomesha vita hata miisho ya dunia,

anakata upinde na kuvunjavunja mkuki,

anateketeza ngao kwa moto.

1046:10 Kum 4:35; Isa 2:11; 37:16, 20; 43:11; 45:21; Eze 36:23; 1Fal 18:36, 39; Za 18:46; 100:3“Tulieni, mjue ya kwamba mimi ndimi Mungu;

nitatukuzwa katikati ya mataifa,

nitatukuzwa katika dunia.”

11Bwana Mwenye Nguvu Zote yu pamoja nasi;

Mungu wa Yakobo ni ngome yetu.

New International Version

Psalms 46:1-11

Psalm 46In Hebrew texts 46:1-11 is numbered 46:2-12.

For the director of music. Of the Sons of Korah. According to alamoth.Title: Probably a musical term A song.

1God is our refuge and strength,

an ever-present help in trouble.

2Therefore we will not fear, though the earth give way

and the mountains fall into the heart of the sea,

3though its waters roar and foam

and the mountains quake with their surging.46:3 The Hebrew has Selah (a word of uncertain meaning) here and at the end of verses 7 and 11.

4There is a river whose streams make glad the city of God,

the holy place where the Most High dwells.

5God is within her, she will not fall;

God will help her at break of day.

6Nations are in uproar, kingdoms fall;

he lifts his voice, the earth melts.

7The Lord Almighty is with us;

the God of Jacob is our fortress.

8Come and see what the Lord has done,

the desolations he has brought on the earth.

9He makes wars cease

to the ends of the earth.

He breaks the bow and shatters the spear;

he burns the shields46:9 Or chariots with fire.

10He says, “Be still, and know that I am God;

I will be exalted among the nations,

I will be exalted in the earth.”

11The Lord Almighty is with us;

the God of Jacob is our fortress.