Zaburi 25 – NEN & CCBT

Kiswahili Contemporary Version

Zaburi 25:1-22

Zaburi 2525 Zaburi hii imetungwa kila mstari ukianzia na herufi ya alfabeti ya Kiebrania zikifuatana tangu Aleph (A) hadi Taw (T); zote ni 22.

Kumwomba Mungu Uongozi Na Ulinzi

Zaburi ya Daudi.

125:1 Za 86:4; 143:8Kwako wewe, Ee Bwana,

nainua nafsi yangu,

225:2 Za 31:6; 143:8ni wewe ninayekutumainia,

Ee Mungu wangu.

Usiniache niaibike,

wala usiache adui zangu wakanishinda.

325:3 Za 22:5; 2Tim 3:4; Isa 29:22; 24:16; Hab 1:13; Sef 3:4Kamwe hakuna hata mmoja anayekutegemea

atakayeaibishwa,

bali wataaibishwa

wafanyao hila bila sababu.

425:4 Ay 34:32Nionyeshe njia zako, Ee Bwana,

nifundishe mapito yako,

525:5 Za 31:3; 43:3; Yn 16:13niongoze katika kweli yako na kunifundisha,

kwa maana wewe ni Mungu Mwokozi wangu,

nalo tumaini langu liko kwako wakati wote.

625:6 Za 5:7; 98:3; Isa 63:7, 15; Yer 31:20; Hos 11:8Kumbuka, Ee Bwana, rehema zako kuu na upendo,

kwa maana zimekuwepo tangu zamani.

725:7 Ay 13:26; Isa 54:4; Yer 3:25; 31:19; 32:30; 2Tim 2:22; Eze 16:22, 60; 23:3; Za 34:8; 83:1; 107:17; 6:4; 51:1; 69:16; 109:26; 119:124; Kut 3:21; 1Nya 16:34Usizikumbuke dhambi za ujana wangu

wala njia zangu za uasi,

sawasawa na upendo wako unikumbuke,

kwa maana wewe ni mwema, Ee Bwana.

825:8 Za 32:8; 92:15; Isa 26:7; 28:26Bwana ni mwema na mwenye adili,

kwa hiyo huwafundisha wenye dhambi njia zake.

925:9 Za 23:3, 4; 18:25; 103:18; 132:12Huwaongoza wanyenyekevu katika haki,

naye huwafundisha njia yake.

1025:10 Za 18:25; 103:18; 132:12Njia zote za Bwana ni za upendo na uaminifu

kwa wale wanaoshika shuhuda za agano lake.

1125:11 Kut 9:16; Za 31:3; 79:9; 34:9; Kut 32:30; Za 78:38; Yer 14:7Ee Bwana, kwa ajili ya jina lako,

unisamehe uovu wangu, ijapokuwa ni mwingi.

1225:12 Ay 1:8Ni nani basi, mtu yule anayemcha Bwana?

Atamfundisha katika njia

atakayoichagua kwa ajili yake.

1325:13 Kum 30:15; Mt 5:5; Ay 8:7; 1Fal 3:14; Hes 14:24Mtu huyo atafanikiwa maishani mwake,

nao wazao wake watairithi nchi.

1425:14 Mit 3:32; Yn 7:17; Mwa 17:2Siri ya Bwana iko kwa wale wamchao,

yeye huwajulisha agano lake.

1525:15 2Nya 20:12; Za 119:110; 123:2; Ebr 12:2; Ay 34:30Macho yangu humwelekea Bwana daima,

kwa kuwa yeye peke yake ndiye ataitoa

miguu yangu kutoka mtego.

1625:16 Hes 6:25; Za 6:4; 68:6Nigeukie na unihurumie,

kwa maana mimi ni mpweke na mwenye kuteseka.

1725:17 1Fal 1:29; Za 6:3; 39:2; 34:6, 17; 40:12; 54:7; 116:3Shida za moyo wangu zimeongezeka,

niokoe katika dhiki yangu.

1825:18 Za 13:3; Rum 12:12; 2Sam 16:12Uangalie mateso na shida zangu

na uniondolee dhambi zangu zote.

1925:19 Za 3:1; 9:13; 69:4; 35:19Tazama adui zangu walivyo wengi,

pia uone jinsi wanavyonichukia vikali!

2025:20 Za 2:12; 86:2; 17:13; 22:21; 43:1; 71:2; 116:4; 140:1; 142:6; 144:11Uyalinde maisha yangu na uniokoe,

usiniache niaibike,

kwa maana nimekukimbilia wewe.

2125:21 Mwa 20:5; Mal 2:6; Mit 10:9; 1Fal 9:4; Za 88:10; 111:8; Isa 60:17Uadilifu na uaminifu vinilinde,

kwa sababu tumaini langu ni kwako.

2225:22 Za 103:8; Lk 24:21Ee Mungu, wakomboe Israeli,

katika shida zao zote!

Chinese Contemporary Bible 2023 (Traditional)

詩篇 25:1-22

第25篇

祈求引導和赦免

大衛的詩。

1耶和華啊,我的心仰望你。

2我的上帝啊,我信靠你,

求你不要叫我蒙羞,

不要讓我的仇敵向我誇勝。

3等候你的必不羞愧,

背信棄義者必蒙羞。

4耶和華啊,

求你指引我走你的路,

教導我行你的道。

5求你以你的真理引領我,

教導我,因為你是拯救我的上帝,

我終日等候你。

6耶和華啊,

求你顧念你亙古以來常施的憐憫和慈愛,

7求你饒恕我年輕時的罪惡和過犯。

耶和華啊,求你以你的恩惠和慈愛待我。

8耶和華良善公正,

祂教導罪人走正路。

9祂指引謙卑人追求公義,

教導他們行祂的道。

10遵守祂的約和法度的人,

耶和華總以慈愛和信實相待。

11耶和華啊,我罪惡深重,

求你為了自己的名而赦免我。

12凡敬畏耶和華的人,

耶和華必指示他當走的路。

13他必享福,

他的後代必承受土地。

14耶和華與敬畏祂的人為友,

使他們認識祂的約。

15我常常仰望耶和華,

因為唯有祂能使我的腳脫離網羅。

16耶和華啊,我孤苦零丁,

求你眷顧我,恩待我。

17我心中充滿愁煩,

求你救我脫離患難。

18求你體恤我的憂傷和痛苦,

赦免我一切的罪。

19你看我的仇敵何其多,

他們都痛恨我。

20求你保護、搭救我的性命,

別讓我蒙羞,因為我投靠你。

21求你以純全和正直護衛我,

因為我等候你。

22上帝啊,

求你救贖以色列脫離一切困境。