民数记 25 – CCB & NEN

Chinese Contemporary Bible 2022 (Simplified)

民数记 25:1-18

以色列人被诱犯罪

1以色列人驻扎在什亭期间,有些人与摩押女子行淫。 2那些女子邀这些人祭祀她们的神明,他们吃了祭物,并跪拜她们的神明。 3结果以色列巴力·毗珥苟合。耶和华大怒, 4摩西说:“把为首的人都抓起来,当着我的面在大白天处死他们,以消除我对以色列人的怒气。” 5于是,摩西以色列的审判官说:“你们各自把手下与巴力·毗珥苟合的人处死。”

6摩西以色列全体会众正在会幕门口痛哭的时候,有个以色列人当着他们的面,把一个米甸女子带进自家的帐篷。 7亚伦祭司的孙子、以利亚撒的儿子非尼哈看见了,便起身离开会众,拿着矛枪, 8跟着进入那人的帐篷,用枪刺透那对男女的腹部。以色列人当中的瘟疫马上止住了, 9但已有两万四千人死于瘟疫。

10耶和华对摩西说: 11亚伦祭司的孙子、以利亚撒的儿子非尼哈,消了我对以色列人的怒气。因为在会众中他与我一样痛恨不贞,我才没有愤然消灭他们。 12你告诉他,我要赐给他平安的约, 13使他和他的后代凭此约可以永远做祭司,因为他为我除掉了不贞之人,为以色列人赎了罪。”

14米甸女子一同被杀的以色列人名叫心利,是撒路的儿子,是西缅支派的一个族长。 15被杀的米甸女子名叫哥斯比,她父亲苏珥米甸人的一个族长。 16耶和华对摩西说: 17“你要攻打米甸人,击杀他们。 18因为他们心存恶意,在毗珥陷害你们,他们的姊妹——米甸首领的女儿哥斯比诱惑你们,她在毗珥事件招来瘟疫之日被杀。”

Kiswahili Contemporary Version

Hesabu 25:1-18

Moabu Yashawishi Israeli

125:1 Hes 21:16; Yos 2:1; Isa 66:11; Yoe 3:18; Mik 6:5; Yer 5:7; 7:9; 9:2; 1Kor 10:8; Ufu 2:14; Mwa 19:37; Hes 31:16Israeli alipokuwa akikaa Shitimu, wanaume wa Israeli walianza kuzini na wanawake wa Kimoabu, 225:2 Kut 32:6; 20:5; Kum 32:38; 1Kor 10:20; Yos 22:17; Hos 9:10; Kut 34:15; 20:5ambao waliwaalika kushiriki katika kutoa kafara kwa miungu yao. Watu wakala na kusujudu mbele ya miungu hii. 325:3 Kum 4:19; Amu 2:19; 1Fal 9:9; Yer 1:16; 44:3; Hes 23:26Kwa hiyo Israeli akaungana katika kumwabudu Baali wa Peori. Hasira ya Bwana ikawaka dhidi yao.

425:4 Hes 7:2; 13:3; 2Sam 21:6; Kum 4:3; Kut 32:12; Kum 13:17; Yos 7:26; 2Fal 23:26; 2Nya 28:11; 29:10; 30:8; Eze 10:14; Yer 44:3Bwana akamwambia Mose, “Uwachukue viongozi wote wa watu hawa, uwaue na uwaweke hadharani mchana peupe mbele za Bwana, ili hasira kali ya Bwana iweze kuondoka kwa Israeli.”

525:5 Kut 32:27; Hos 9:10Kwa hiyo Mose akawaambia waamuzi wa Israeli, “Kila mmoja wenu lazima awaue wale wanaume wenu, walioshiriki katika kumwabudu Baali wa Peori.”

625:6 Mwa 25:2; Hes 14:1; Amu 2:4; Rut 1:9; 1Sam 11:4; 2Sam 15:30; Ezr 10:1; Za 126:6; Yer 41:6Ndipo mwanaume wa Kiisraeli akamleta mwanamke wa Kimidiani katika jamaa yake palepale mbele ya Mose na mkutano wote wa Israeli walipokuwa wakilia kwenye lango la Hema la Kukutania. 725:7 Kut 6:25; Yos 22:13; Amu 20:28; 5:8; 1Sam 13:19; 1Fal 18:28; Za 35:3; 46:9; Yoe 3:10; Mik 4:3Finehasi mwana wa Eleazari, mwana wa kuhani Aroni, alipoona jambo hili, akaondoka kwenye kusanyiko, akachukua mkuki mkononi mwake, 825:8 Za 106:30akamfuata yule Mwisraeli ndani ya hema. Akawachoma mkuki wote wawili kwa pamoja, ukapenya kwenye mwili wa yule Mwisraeli na mwili wa yule mwanamke. Ndipo tauni iliyokuwepo dhidi ya Waisraeli ikakoma. 925:9 Hes 14:37; 1Kor 10:8; Hes 31:16Lakini wale waliokufa kwa hiyo tauni walikuwa watu 24,000.

10Bwana akamwambia Mose, 1125:11 Za 106:30; Kut 20:5; Kum 32:16; Za 78:58; Nah 1:3; Sef 1:13“Finehasi mwana wa Eleazari, mwana wa kuhani Aroni, amegeuza hasira yangu mbali na Waisraeli, kwa sababu alikuwa na wivu kama nilio nao kwa heshima yangu miongoni mwao, hata kwamba kwa wivu wangu sikuwaangamiza. 1225:12 Isa 11:9; 54:10; Eze 34:25; 37:26; Mal 2:4Kwa hiyo mwambie Finehasi ninafanya Agano langu la amani naye. 1325:13 Kut 29:9; 1Fal 19:10; 2Fal 10:16; Kut 29:36; Rum 3:26; Za 106:31; Yer 33:18Yeye pamoja na wazao wake watakuwa na Agano la ukuhani milele, kwa sababu alikuwa na wivu kwa ajili ya heshima ya Mungu wake, na akafanya upatanisho kwa Waisraeli.”

1425:14 Hes 1:6; 25:6Jina la Mwisraeli ambaye aliuawa pamoja na mwanamke wa Kimidiani ni Zimri mwana wa Salu, kiongozi wa jamaa ya Simeoni. 1525:15 Hes 31:8; Yos 13:21; Hab 3:7Jina la mwanamke wa Kimidiani aliyeuawa ni Kozbi binti wa Suri, aliyekuwa mkuu wa kabila la jamaa ya Wamidiani.

1625:16 Hes 31:7Bwana akamwambia Mose, 1725:17 Hes 31:1-3; Kut 23:22; Amu 2:16-18; Neh 9:27; Za 8:2; 21:8; 74:23; Kum 21:1; 1Sam 17:9; 2Fal 9:27; 10:25“Watendeeni Wamidiani kama adui na mwaue, 1825:18 Hes 23:28kwa sababu wao waliwatendea kama adui wakati waliwadanganya katika tukio la Peori na dada yao Kozbi, binti wa kiongozi wa Kimidiani, mwanamke ambaye aliuawa wakati tauni ilikuja kama matokeo ya tukio la Peori.”