Ayubu 1:9-10 NEN

Ayubu 1:9-10

1:9 1Tim 6:5Shetani akamjibu Bwana, “Je, Ayubu anamcha Mungu bure? 1:10 Za 34:7; 128:1-2; Ay 8:7; 1Sam 25:16; Ay 2:4; 29:6; 42:12, 17Je, wewe hukumjengea boma pande zote yeye na wa nyumbani mwake pamoja na kila kitu alicho nacho? Kazi za mikono yake umezibariki na hivyo makundi yake ya kondoo na mbuzi pamoja na ya wanyama yameenea katika nchi nzima.

Read More of Ayubu 1