Mithali 7:1-5 NEN

Mithali 7:1-5

Onyo Dhidi Ya Mwanamke Mzinzi

7:1 Mt 1:8Mwanangu, shika maneno yangu

na kuzihifadhi amri zangu ndani yako.

7:2 Mit 4:4; Law 18:5; Kum 32:10Shika amri zangu nawe utaishi;

linda mafundisho yangu kama mboni ya jicho lako.

7:3 Kum 6:8; Mit 3:3; Isa 30:8; 2Kor 3:3Yafunge katika vidole vyako;

yaandike katika kibao cha moyo wako.

Mwambie hekima, “Wewe ni dada yangu,”

uite ufahamu jamaa yako;

7:5 Ay 31:9; Mit 2:16watakuepusha na mwanamke mzinzi,

kutokana na mwanamke mpotovu

na maneno yake ya kubembeleza.

Read More of Mithali 7