诗篇 6 – CCB & NEN

Chinese Contemporary Bible (Simplified)

诗篇 6:1-10

第 6 篇

患难中祈求怜悯

大卫的诗,交给乐长,弦乐器伴奏。

1耶和华啊,

求你不要在怒中责备我,

不要在烈怒中惩罚我。

2耶和华啊,求你怜悯,

因为我软弱无力。

耶和华啊,求你医治,

因为我痛彻入骨。

3我心中忧伤,

耶和华啊,

你要我忧伤到何时呢?

4耶和华啊,求你回来救我,

因你的慈爱而拯救我。

5因为死去的人不会记得你,

谁会在阴间赞美你呢?

6我因哀叹心力交瘁,

夜夜哭泣,泪漂床榻,

湿透被褥。

7我的眼睛因忧愁而模糊,

因敌人的攻击而昏花。

8你们所有作恶的人,快走开!

因为耶和华已经听见我的哭声。

9耶和华听见了我的恳求,

祂必答应我的祷告。

10我所有的仇敌都必羞愧,

惊恐不已;

他们必忽然蒙羞,

掉头逃窜。

Kiswahili Contemporary Version (Neno: Bibilia Takatifu)

Zaburi 6:1-10

Zaburi 6

Sala Kwa Ajili Ya Msaada Wakati Wa Taabu

Kwa mwimbishaji. Kwa ala za nyuzi za muziki. Mtindo wa sheminithi.6:0 Sheminithi ni mtajo mmojawapo katika lugha ya uimbaji. Zaburi ya Daudi.

16:1 Za 2:5Ee Bwana, usinikemee katika hasira yako,

wala usiniadhibu katika ghadhabu yako.

26:2 Za 4:1; 26:11; 61:2; 77:3; 142:3; Yer 3:12; 8:18; 12:15; 31:20; Hos 6:1; Isa 40:31; Za 32:3; 38:3; 42:10; 102:3Unirehemu Bwana,

kwa maana nimedhoofika;

Ee Bwana, uniponye,

kwa maana mifupa yangu

ina maumivu makali.

36:3 Ay 7:11; Za 4:2; 31:7; 38:8; 55:4; 89:46; Yn 12:27; Isa 6:11; Rum 9:2; 2Kor 2:4; Hab 1:12; 1Sam 1:14; 1Fal 18:21; Yer 4:14; Mt 26:38; Mit 18:14Nafsi yangu ina uchungu mwingi.

Mpaka lini, Ee Bwana, mpaka lini?

46:4 Za 25:16; 69:16; 71:2; 86:16; 88:2; 102:2; 119:132; 13:5; 31:2, 16; 77:8; 85:7; 119:41; Isa 54:8, 10Geuka Ee Bwana, unikomboe,

uniokoe kwa sababu ya fadhili zako.

56:5 Za 30:9; 88:10-12; 115:17; Isa 38:18; Mhu 9:10Hakuna mtu anayekukumbuka

akiwa amekufa.

Ni nani awezaye kukusifu

akiwa kuzimu?

66:6 Ay 3:24; 16:16; 7:3; Lk 7:38; Za 77:3; 102:5; 12:5; Mdo 20:19; Mao 1:8, 11, 21, 22; Amu 8:5Nimechakaa kwa kulia kwa huzuni;

usiku kucha nafurikisha

kitanda changu kwa machozi;

nimelowesha viti vyangu vya fahari

kwa machozi.

76:7 Ay 16:8; Za 31:9; 69:3; 119:82; Isa 38:14Macho yangu yamedhoofika kwa kuhuzunika,

yamedhoofika kwa sababu ya adui zangu wote.

86:8 Za 119:115; 5:5; 139:19; Mt 7:23Kaeni mbali nami, ninyi nyote mtendao mabaya,

kwa maana Bwana amesikia kulia kwangu.

96:9 Za 31:22; 116:1; 3:4; 40:1, 2; 28:6Bwana amesikia kilio changu kwa huruma,

Bwana amekubali sala yangu.

106:10 2Fal 19:26; Za 40:14Adui zangu wote wataaibika na kufadhaika,

watarudi nyuma kwa aibu ya ghafula.