诗篇 7 – CCB & NEN

Chinese Contemporary Bible (Simplified)

诗篇 7:1-17

第 7 篇

求上帝伸张正义

大卫向耶和华唱的诗,与便雅悯人古实有关。

1我的上帝耶和华啊,我投靠你,

求你拯救我脱离追赶我的人。

2别让他们像狮子般撕裂我,

无人搭救。

3我的上帝耶和华啊,

倘若我犯了罪,

手上沾了不义;

4倘若我恩将仇报,

无故抢夺仇敌,

5就让仇敌追上我,

践踏我,使我声名扫地。(细拉)

6耶和华啊,

求你发怒攻击我暴怒的仇敌。

我的上帝啊,

求你来伸张正义。

7愿万民环绕你,

愿你从高天治理他们,

8愿你审判万民!

至高的耶和华啊,

我是公义正直的,

求你为我主持公道。

9鉴察人心肺腑的公义上帝啊,

求你铲除邪恶,扶持义人。

10上帝是我的盾牌,

祂拯救心地正直的人。

11上帝是公义的审判官,

天天向恶人发怒。

12他们若不悔改,祂必磨刀霍霍,

弯弓搭箭,诛灭他们。

13祂准备好了夺命的兵器,

火箭已在弦上。

14恶人心怀恶念,

居心叵测,滋生虚谎。

15他们挖了陷阱,却自陷其中。

16他们的恶行临到自己头上,

他们的暴力落到自己脑壳上。

17我要称谢耶和华的公义,

我要歌颂至高者耶和华的名。

Kiswahili Contemporary Version (Neno: Bibilia Takatifu)

Zaburi 7:1-17

Zaburi 7

Sala Ya Mtu Anayedhulumiwa

Ombolezo la Daudi kwa Bwana kwa sababu ya Kushi, Mbenyamini.

17:1 Za 2:12; 11:1; 31:1; 3:7; 31:15; 119:86, 157, 161Ee Bwana, Mungu wangu, ninakukimbilia wewe,

uniokoe na kunikomboa na wote wanaonifuatia,

27:2 Mwa 49:9; Ufu 4:7; Za 3:2; 71:11; 1Pet 5:8la sivyo watanirarua kama simba

na kunichana vipande vipande, asiwepo wa kuniokoa.

37:3 Za 35:7, 19; Mit 24:28; 1Sam 24:7Ee Bwana, Mungu wangu, kama nimetenda haya

na kuna hatia mikononi mwangu,

47:4 Za 35:7, 19; Mit 24:28; 1Sam 24:7au ikiwa nimemtenda uovu aliye na amani nami,

au nimemnyangʼanya adui yangu pasipo sababu,

57:5 Kut 15:9; Ay 7:21; 2Sam 22:43; 2Fal 9:33; Isa 10:6; Mao 3:16basi adui anifuatie na kunipata,

auponde uhai wangu ardhini

na kunilaza mavumbini.

67:6 2Nya 6:41; Za 138:7; 35:23; 44:23; 94:2Amka kwa hasira yako, Ee Bwana,

inuka dhidi ya ghadhabu ya adui zangu.

Amka, Mungu wangu, uamue haki.

77:7 Za 68:18Kusanyiko la watu na likuzunguke.

Watawale kutoka juu.

87:8 1Nya 16:33; Mk 5:7; 1Sam 26:23; Za 18:20; Mwa 3:5; 20:5; Hes 24:16Bwana na awahukumu kabila za watu.

Nihukumu Ee Bwana,

kwa kadiri ya haki yangu,

kwa kadiri ya uadilifu wangu,

Ewe Uliye Juu Sana.

97:9 Yer 11:20; Ufu 2:23; Za 26:2; 37:23; 40:2; 1Sam 16:7; 1Nya 28:9Ee Mungu mwenye haki,

uchunguzaye mawazo na mioyo,

komesha ghasia za waovu

na ufanye wenye haki waishi kwa amani.

107:10 Za 3:3; Ay 33:3Ngao langu ni Mungu Aliye Juu Sana,

awaokoaye wanyofu wa moyo.

117:11 Mwa 18:25; Za 9:8; 67:4; 75:2; 96:13; 98:9; Isa 11:4; Yer 11:20Mungu ni mwamuzi mwenye haki,

Mungu aghadhibikaye kila siku.

127:12 Eze 3:19; 33:9; Kum 32:4; Za 21:12; 2Sam 22:35; Isa 5:28; 13:18Kama hakutuhurumia,

atanoa upanga wake,

ataupinda na kuufunga uzi upinde wake.

137:13 Za 11:2; 18:14; 64:3Ameandaa silaha zake kali,

ameweka tayari mishale yake ya moto.

147:14 Isa 59:4; Yak 1:15Yeye aliye na mimba ya uovu

na achukuaye mimba ya ghasia huzaa uongo.

157:15 Za 35:7, 8; 40:2; 94:13; Mit 26:27; Ay 4:8; Es 7:10; Mit 5:22Yeye achimbaye shimo na kulifukua

hutumbukia katika shimo alilochimba mwenyewe.

167:16 1Fal 2:23Ghasia azianzishazo humrudia mwenyewe,

ukatili wake humrudia kichwani.

177:17 2Nya 31:2; Za 5:8; Rum 15:11; Mwa 14:18; Ebr 2:12Nitamshukuru Bwana kwa ajili ya haki yake,

na nitaliimbia sifa jina la Bwana Aliye Juu Sana.