Mwanzo 12 – NEN & HTB

Kiswahili Contemporary Version (Neno: Bibilia Takatifu)

Mwanzo 12:1-20

Wito Wa Abramu

1Bwana akawa amemwambia Abramu, “Ondoka kutoka nchi yako, uache jamii yako na nyumba ya baba yako, uende hadi nchi nitakayokuonyesha.

212:2 Mwa 13:16; 15:5; 17:2-4; 18:18; 22:17; 24:1, 35; 25:11; 26:3, 4; 28:3, 4, 14; 24:1, 35; 25:11; 32:12; 35:11; 41:49; 47:27; 48:16-19; 22:18; Kut 1:7; 5:5; 32:13; 20:24; Kum 1:10; 10:22; 13:17; 26:5; Yos 11:4; 24:3; 2Sam 17:11; 1Fal 3:8; 4:20; 1Nya 27:23; 2Nya 1:9; Neh 9:23; Za 107:38; 67:6; 115:12; Isa 6:13; 10:22; 48:19; 51:2; 54:3; 60:22; 19:24; Yer 4:2; 33:22; Mik 4:7; Hes 22:12; 23:8, 20; 24:9; Isa 44:3; 61:9; 65:23; Mal 3:12; Hag 2:19; Zek 8:13“Mimi nitakufanya taifa kubwa

na nitakubariki,

Nitalikuza jina lako,

nawe utakuwa baraka.

312:3 Mwa 27:29; 15:5; 18:18; 22:18; 26:4; 28:4, 14; Kut 23:22; Hes 24:9; Kum 30:7; 9:5; Za 72:17; Isa 19:25; Mdo 3:25; Gal 3:8Nitawabariki wale wanaokubariki,

na yeyote akulaaniye nitamlaani;

na kupitia kwako mataifa yote duniani

yatabarikiwa.”

412:4 Mwa 11:27, 31; 16:3, 16; 17:17-24; 21:5Hivyo Abramu akaondoka kama Bwana alivyokuwa amemwambia; naye Loti akaondoka pamoja naye. Wakati Abramu alipoitwa aondoke Harani, alikuwa na miaka sabini na mitano. 512:5 Mwa 11:29, 31; 13:2-6; 31:18; 46:6; 14:14; 15:3; 17:23; 16:3; Mhu 2:7; Ebr 11:8Abramu akamchukua Sarai mkewe pamoja na Loti mwana wa ndugu yake, mali zote walizokuwa nazo pamoja na watu aliokuwa amewapata huko Harani, wakasafiri mpaka nchi ya Kanaani, wakafika huko.

612:6 Ebr 11:9; 1Fal 12:1; Mwa 10:18; 33:18; 17:12; 35:4; Yos 17:7; 20:7; 24:26; Amu 7:1; 9:6; 8:31; 21:19; Za 60:6; 108:7Abramu akasafiri katika nchi hiyo akafika huko Shekemu, mahali penye mti wa mwaloni ulioko More. Wakati huo Wakanaani walikuwa wanaishi katika nchi hiyo. 712:7 Mwa 8:20; 17:1, 8; 18:1; 26:2; 35:1; 13:4, 15-17; 15:18; 23:18; 24:7; 26:3-4; 28:13; 35:12; 48:4; 50:24; Kut 6:4-8; 6:3; 13:5, 11; 32:13; 33:1; Mdo 7:2, 5; Hes 10:29; 11:12; Kum 1:8; 2:31; 9:5; 11:9; 34:4; 30:5; Ebr 11:8; Rum 4:13; 2Fal 25:21; 1Nya 16:16; 2Nya 20:7; Za 109:9-11; Yer 25:5; Eze 47:14; Gal 3:16Bwana akamtokea Abramu, akamwambia, “Nitawapa uzao wako nchi hii.” Hivyo hapa akamjengea madhabahu Bwana aliyekuwa amemtokea.

812:8 Mwa 4:26; 8:20; 13:3; 28:11, 19; 26:25; 33:19; 35:1, 8, 15; Yos 7:2; 8:9; 12:9; Yer 49:3; 1Sam 7:16; 1Fal 12:29; Hos 12:4; Amo 3:14; 4:4; Ebr 11:9; Ezr 2:28; Neh 7:32Kutoka huko Abramu akasafiri kuelekea kwenye vilima mashariki ya Betheli, naye akapiga hema huko, Betheli ikiwa upande wa magharibi na Ai upande wa mashariki. Huko alimjengea Bwana madhabahu na akaliitia jina la Bwana. 912:9 Mwa 13:1-3; 20:1; 24:62; Hes 13:17; 33:40; Kum 34:3; Yos 10:40Kisha Abramu akasafiri kuelekea upande wa Negebu.

Abramu Katika Nchi Ya Misri

1012:10 Mwa 41:27; 42:5; 43:1; 47:4, 13; 41:30, 54-56; 47:20; Rut 1:1; 1Sam 21:1; 2Fal 8:1; Za 105:16Basi kulikuwako na njaa katika nchi, naye Abramu akashuka kwenda Misri kukaa huko kwa muda, kwa maana njaa ilikuwa kali. 1112:11 Mwa 11:29; 24:16; 26:7; 29:17; 39:6Alipokuwa karibu kuingia Misri, akamwambia Sarai mkewe, “Ninajua ya kwamba wewe ni mwanamke mzuri wa sura. 12Wakati Wamisri watakapokuona, watasema, ‘Huyu ni mke wake.’ Ndipo wataniua, lakini wewe watakuacha hai. 1312:13 Mwa 20:2; 26:7Sema wewe ni dada yangu, ili nitendewe mema kwa ajili yako, na maisha yangu yatahifadhiwa kwa sababu yako.”

14Abramu alipoingia Misri, Wamisri wakamwona Sarai kuwa ni mwanamke mzuri sana wa sura. 15Maafisa wa Farao walipomwona, wakamsifia kwa Farao; ndipo Sarai akapelekwa kwa nyumba ya mfalme. 1612:16 Mwa 24:35; 26:14; 30:43; 32:5; 34:23; 47:17; Ay 1:3; 31:25Kwa ajili ya Sarai, Farao akamtendea Abramu mema, naye Abramu akapata kondoo, ngʼombe, punda, ngamia na watumishi wa kiume na wa kike.

1712:17 2Fal 15:5; Isa 53:4; Ay 30:11; 1Nya 16:21; Za 105:14Lakini Bwana akamwadhibu Farao na nyumba yake kwa maradhi ya kufisha kwa sababu ya kumchukua Sarai, mke wa Abramu. 1812:18 Mwa 20:9; 26:10; 29:25; 31:26; 44:15; Isa 43:27; 51:2; Eze 16:3Ndipo Farao akamwita Abramu, akamuuliza, “Umenifanyia nini? Kwa nini hukuniambia ni mke wako? 1912:19 Mwa 20:5; 26:9Kwa nini ulisema, ‘Yeye ni dada yangu,’ hata nikamchukua kuwa mke wangu? Sasa basi, mke wako huyu hapa. Mchukue uende zako!” 20Kisha Farao akawapa watu wake amri kuhusu Abramu, wakamsindikiza pamoja na mke wake na kila alichokuwa nacho.

Het Boek

Genesis 12:1-20

De farao door Abram misleid

1Eerder had de Here Abram de opdracht gegeven: ‘Verlaat uw land en uw familie en ga naar het land dat Ik u zal wijzen. 2Dan zal Ik u de vader van een groot volk maken. Ik zal u zegenen en uw naam overal beroemd maken. U zult vele anderen tot een zegen zijn. 3Als iemand u zegent, zal Ik hem zegenen en als iemand u vervloekt, zal Ik hem vervloeken. U zult voor alle volken een zegen zijn.’

4Abram gehoorzaamde de Here en vertrok met zijn neef Lot. Abram was toen vijfenzeventig jaar. 5Hij nam zijn vrouw Sarai, zijn neef Lot en al zijn bezittingen mee: vee en slaven die hij in Haran had verzameld. Zo kwamen zij in Kanaän aan.

6Trekkend door het land kwamen zij in de buurt van Sichem, bij het eikenbos Moré. In dat gebied leefden in die tijd Kanaänieten. 7Daar verscheen de Here opnieuw aan Abram en zei: ‘Dit land zal Ik aan uw nageslacht geven.’ Abram bouwde een altaar op de plaats waar hij de Here ontmoette. 8Daarna trok hij in zuidelijke richting naar het heuvelachtige gebied tussen Betel in het westen en Ai in het oosten. Hij zette daar zijn tent op, bouwde een altaar voor de Here en aanbad Hem. 9Zo trok Abram steeds verder naar het zuiden in de richting van de Negev.

10Er brak echter een zware hongersnood uit in Kanaän en Abram besloot naar Egypte uit te wijken. 11-13Toen zij de grens van Egypte naderden, begon Abram zich zorgen te maken. Hij zei tegen zijn vrouw Sarai: ‘Je bent een knappe vrouw. Als de Egyptenaren jou zien, zouden ze mij wel eens kunnen doden om jou te krijgen. Daarom kun je beter zeggen dat je mijn zuster bent. Dan zullen de Egyptenaren mij goed behandelen, ter wille van jou!’ 14-15 En inderdaad, zo gauw de Egyptenaren de schoonheid van Sarai zagen, brachten zij hun koning, de farao, op de hoogte. Hij nam Sarai op in zijn harem. 16De farao overlaadde Abram met geschenken: schapen, runderen, ezels, slaven, slavinnen en kamelen. 17Maar de Here stuurde zware plagen over de hele hofhouding, omdat de farao Sarai in zijn harem had opgenomen.

18Toen riep de farao Abram bij zich. ‘Wat hebt u mij aangedaan? Waarom hebt u gezegd dat Sarai uw zuster was, zodat ik haar als mijn vrouw heb genomen? Waarom hebt u mij niet verteld dat zij uw vrouw is? 19Hoe kon u haar aan mij afstaan door te zeggen dat zij uw zuster is? Neem haar maar terug en vertrek!’ 20Begeleid door een gewapend escorte werden Abram en zijn vrouw met al hun bezittingen het land uitgezet.