Salmo 110 – NVI & NEN

Nueva Versión Internacional

Salmo 110:1-7

Salmo 110

Salmo de David.

1Así dijo el Señor a mi Señor:

«Siéntate a mi derecha,

hasta que ponga a tus enemigos

por debajo de tus pies».

2El Señor extenderá desde Sión el poder de tu cetro.

Domina tú en medio de tus enemigos.

3Tus tropas estarán dispuestas

cuando manifiestes tu poder,

ordenadas en santa majestad.

De las entrañas de la aurora

recibirás el rocío de tu juventud.

4El Señor ha jurado

y no cambiará de parecer:

«Tú eres sacerdote para siempre,

según el orden de Melquisedec».

5El Señor está a tu mano derecha;

aplastará a los reyes en el día de su ira.

6Juzgará a las naciones y amontonará cadáveres;

aplastará cabezas en toda la tierra.

7Beberá de un arroyo junto al camino

y por eso levantará su cabeza.

Kiswahili Contemporary Version (Neno: Bibilia Takatifu)

Zaburi 110:1-7

Zaburi 110

Bwana Na Mfalme Wake Mteule

Zaburi ya Daudi.

1110:1 Mt 22:44; Lk 20:42; Mdo 2:34; Mk 12:36; 16:19; Ebr 1:13; 12:2; Yos 10:24; 1Fal 5:3; 1Kor 15:25; Za 45:6Bwana amwambia Bwana wangu:

“Keti mkono wangu wa kuume,

mpaka nitakapowafanya adui zako

kuwa mahali pa kuweka miguu yako.”

2110:2 Mwa 49:10; Za 45:6; 2:6; 72:8; Isa 14:5; Yer 48:17Bwana ataeneza fimbo yako ya utawala yenye nguvu kutoka Sayuni;

utatawala katikati ya adui zako.

3110:3 Kut 15:11; Mik 5:7Askari wako watajitolea kwa hiari

katika siku yako ya vita.

Ukiwa umevikwa fahari takatifu,

kutoka tumbo la mapambazuko

utapokea umande wa ujana wako.110:3 Au: vijana wako watakujia kama umande.

4110:4 Hes 23:19; Zek 6:13; Ebr 5:6; 5:10; 7:15-17; 7:21; Mwa 14:18Bwana ameapa,

naye hatabadilisha mawazo yake:

“Wewe ni kuhani milele,

kwa mfano wa Melkizedeki.”

5110:5 Za 16:8; 2:12; 68:21; 76:12; Kum 7:24; Isa 60:12; Dan 2:44; Za 2:5; Rum 2:5; Ufu 6:17; 11:18Bwana yuko mkono wako wa kuume,

atawaponda wafalme siku ya ghadhabu yake.

6110:6 Za 9:19; 18:38; Isa 5:25; 34:3; 66:24Atawahukumu mataifa, akilundika mizoga

na kuwaponda watawala wa dunia nzima.

7110:7 Za 3:3; 27:6Atakunywa maji katika kijito kando ya njia,110:7 Au: Yeye atoaye mtu wa kurithi mwingine atamweka kwenye mamlaka.

kwa hiyo atainua kichwa chake juu.