Psalms 50 – NIV & NEN

New International Version

Psalms 50:1-23

Psalm 50

A psalm of Asaph.

1The Mighty One, God, the Lord,

speaks and summons the earth

from the rising of the sun to where it sets.

2From Zion, perfect in beauty,

God shines forth.

3Our God comes

and will not be silent;

a fire devours before him,

and around him a tempest rages.

4He summons the heavens above,

and the earth, that he may judge his people:

5“Gather to me this consecrated people,

who made a covenant with me by sacrifice.”

6And the heavens proclaim his righteousness,

for he is a God of justice.50:6 With a different word division of the Hebrew; Masoretic Text for God himself is judge50:6 The Hebrew has Selah (a word of uncertain meaning) here.

7“Listen, my people, and I will speak;

I will testify against you, Israel:

I am God, your God.

8I bring no charges against you concerning your sacrifices

or concerning your burnt offerings, which are ever before me.

9I have no need of a bull from your stall

or of goats from your pens,

10for every animal of the forest is mine,

and the cattle on a thousand hills.

11I know every bird in the mountains,

and the insects in the fields are mine.

12If I were hungry I would not tell you,

for the world is mine, and all that is in it.

13Do I eat the flesh of bulls

or drink the blood of goats?

14“Sacrifice thank offerings to God,

fulfill your vows to the Most High,

15and call on me in the day of trouble;

I will deliver you, and you will honor me.”

16But to the wicked person, God says:

“What right have you to recite my laws

or take my covenant on your lips?

17You hate my instruction

and cast my words behind you.

18When you see a thief, you join with him;

you throw in your lot with adulterers.

19You use your mouth for evil

and harness your tongue to deceit.

20You sit and testify against your brother

and slander your own mother’s son.

21When you did these things and I kept silent,

you thought I was exactly50:21 Or thought the ‘I am’ was like you.

But I now arraign you

and set my accusations before you.

22“Consider this, you who forget God,

or I will tear you to pieces, with no one to rescue you:

23Those who sacrifice thank offerings honor me,

and to the blameless50:23 Probable reading of the original Hebrew text; the meaning of the Masoretic Text for this phrase is uncertain. I will show my salvation.”

Kiswahili Contemporary Version (Neno: Bibilia Takatifu)

Zaburi 50:1-23

Zaburi 50

Ibada Ya Kweli

Zaburi ya Asafu.

150:1 Yos 22:22; Za 113:3Mwenye Nguvu, Mungu, Bwana,

asema na kuiita dunia,

tangu mawio ya jua

hadi mahali pake liendapo kutua.

250:2 Za 2:6; 48:2; Mao 2:15; Kum 33:2Kutoka Sayuni, penye uzuri mkamilifu,

Mungu anaangaza.

350:3 Isa 30:28; 42:14; 64:12; 29:6; 65:6; Za 18:8; 107:25; 96:13; 83:15; 147:18; Ay 37:9; Yn 1:4; Nah 1:3Mungu wetu anakuja na hatakaa kimya,

moto uteketezao unamtangulia,

akiwa amezungukwa na tufani kali.

450:4 Kum 4:26; 31:26; Isa 1:2; Ebr 10:30; Mik 6:1, 2Anaziita mbingu zilizo juu,

na nchi, ili aweze kuwahukumu watu wake:

550:5 Kum 7:6; Za 18:25; Kut 24:7; 1Kor 6:2; 2Nya 6:11; Isa 13:3; 1The 3:13; Ebr 8:6; Yud 14; Mwa 24:7; Isa 59:20, 21“Nikusanyieni watu wangu waliowekwa wakfu,

waliofanya agano nami kwa dhabihu.”

650:6 Za 19:1; Ay 9:15; Mwa 16:5Nazo mbingu zinatangaza haki yake,

kwa maana Mungu mwenyewe ni hakimu.

750:7 Ebr 2:4; Kut 20:2; Za 48:14“Sikieni, enyi watu wangu, nami nitasema,

ee Israeli, nami nitashuhudia dhidi yenu:

Mimi ndimi Mungu, Mungu wenu.

850:8 2Sam 22:16; Za 40:6Sikukemei kwa sababu ya dhabihu zako,

au sadaka zako za kuteketezwa,

ambazo daima ziko mbele zangu.

950:9 Hes 32:16; Law 1:5; 16:5; Mdo 17:25; Mik 6:6; Isa 43:23Sina haja ya fahali wa banda lako,

au mbuzi wa zizi lako.

1050:10 Za 104:20, 24; Isa 56:9; Mik 5:8Kwa maana kila mnyama wa msituni ni wangu,

na pia makundi ya mifugo juu ya vilima elfu.

1150:11 Mt 6:26; Za 8:7; 80:13Ninamjua kila ndege mlimani,

nao viumbe wa kondeni ni wangu.

1250:12 Kut 19:5; Kum 10:14; Ay 3:11; Za 24:1; 1Kor 10:26Kama ningekuwa na njaa, nisingewaambia ninyi,

kwa maana ulimwengu ni wangu,

pamoja na vyote vilivyomo ndani yake.

13Je, mimi hula nyama ya mafahali

au kunywa damu ya mbuzi?

1450:14 Ezr 1:4; Za 27:6; 66:13; 76:11; 7:8; Hes 30:2Toa sadaka za shukrani kwa Mungu,

timiza nadhiri zako kwake Yeye Aliye Juu Sana,

1550:15 Zek 13:9; Isa 55:6; 58:9; Za 4:1; 3:7; 81:7; 69:17; 142:2; 86:7; 22:23; 107:6; Yak 5:13; Yn 15:8na uniite siku ya taabu;

nami nitakuokoa, nawe utanitukuza.”

1650:16 Za 25:10; Isa 29:13Lakini kwake mtu mwovu, Mungu asema:

“Una haki gani kunena sheria zangu

au kuchukua agano langu midomoni mwako?

1750:17 1Fal 14:9; Mit 1:22; 5:12, 13; Rum 2:21; 2The 2:10-12Unachukia mafundisho yangu

na kuyatupa maneno yangu nyuma yako.

1850:18 Rum 1:32; 1Tim 5:22; Ay 22:15Unapomwona mwizi, unaungana naye,

unapiga kura yako pamoja na wazinzi.

1950:19 Za 10:7; 36:3; 52:2; 101:7Unakitumia kinywa chako kwa mabaya

na kuuongoza ulimi wako kwa hila.

2050:20 Mt 10:21Wanena daima dhidi ya ndugu yako

na kumsingizia mwana wa mama yako.

2150:21 Isa 57:11, 16; 62:1; 42:14; 64:12; 50:2; Mhu 8:11; Za 6:1; 18:15; 85:5; 76:6; 104:7; Rum 2:4Mambo haya unayafanya, nami nimekaa kimya,

ukafikiri Mimi nami ni kama wewe.

Lakini nitakukemea

na kuweka mashtaka mbele yako.

2250:22 Ay 8:13; Mik 5:8; Isa 17:10; Kum 32:39“Yatafakarini haya, ninyi mnaomsahau Mungu,

ama sivyo nitawararua vipande vipande,

wala hapatakuwepo na yeyote wa kuwaokoa:

2350:23 Za 85:13; 98:3; 9:14; 91:16; Isa 52:10Atoaye dhabihu za shukrani ananiheshimu mimi,

naye aiandaa njia yake

ili nimwonyeshe wokovu wa Mungu.”