Zaburi 26 – NEN & NUB

Kiswahili Contemporary Version (Neno: Bibilia Takatifu)

Zaburi 26:1-12

Zaburi 26

Maombi Ya Mtu Mwema

Zaburi ya Daudi.

126:1 1Sam 24:15; Isa 12:2; 25:9; Mit 20:7; Yer 17:7; Za 15:2; 22:4; 40:4; 2Fal 20:3; Dan 3:28; Ebr 10:23Ee Bwana, nithibitishe katika haki,

maana nimeishi maisha yasiyo na lawama;

nimemtumainia Bwana

bila kusitasita.

226:2 Za 7:9; 66:10; Kum 6:6; Eze 11:5; Yer 22:20; 20:12Ee Bwana, unijaribu, unipime,

uuchunguze moyo wangu

na mawazo yangu;

326:3 1Fal 2:4; Za 6:4; 40:11; 43:3; 86:11; 119:30kwa maana upendo wako

uko mbele yangu daima,

nami natembea siku zote

katika kweli yako.

426:4 Za 1:1; 28:3; Mt 6:226:4 Amo 9:6; Zek 10:1Siketi pamoja na watu wadanganyifu,

wala siandamani na wanafiki,

526:5 Za 139:21ninachukia kusanyiko la watenda mabaya

na ninakataa kuketi pamoja na waovu.

626:6 Za 73:13; Mt 27:24Ninanawa mikono yangu kwa kuwa sina hatia,

naikaribia madhabahu yako, Ee Bwana,

726:7 Isa 42:12; 60:6; Yos 3:5; Za 9:1nikitangaza sifa yako kwa sauti kubwa,

huku nikisimulia matendo yako ya ajabu.

826:8 Za 96:6; 122:6; Isa 66:10; 2Nya 7:1; Kut 29:43Ee Bwana, naipenda nyumba yako mahali unakoishi,

mahali ambapo utukufu wako hukaa.

926:9 Za 5:6; 28:3; 55:23; 139:19; Mit 29:10Usiiondoe nafsi yangu pamoja na watenda dhambi,

wala uhai wangu pamoja na wamwagao damu,

1026:10 Za 21:11; Isa 1:23; Ay 36:18; Eze 22:12ambao mikononi mwao kuna mipango miovu,

ambao mikono yao ya kuume imejaa rushwa.

1126:11 Za 31:5; 69:18; 119:134; Tit 2:14Bali mimi ninaishi maisha yasiyo na lawama;

nikomboe na unihurumie.

1226:12 Za 22:25; 27:11; Ay 36:18; Lk 6:17; Isa 26:7; 40:3-4; 45:13; Zek 4:7Miguu yangu imesimama katika uwanja tambarare;

katika kusanyiko kuu nitamsifu Bwana.

Swedish Contemporary Bible

Psaltaren 26:1-12

Psalm 26

En oskyldig mans bön

1Av David.

Skaffa mig rätt, Herre,

för jag har levt ett klanderfritt liv.

Jag har förtröstat på Herren

utan att vackla.

2Sätt mig på prov, Herre,

utforska mig, granska hela mitt innersta!

3För jag har din nåd inför mina ögon

och din sanning som förebild.

4Jag sitter inte tillsammans med lögnare

och håller inte ihop med hycklare.

5Jag hatar de ondas samlingar

och vägrar att sitta hos de gudlösa.

6Jag tvättar mina händer i oskuld

och går runt ditt altare, Herre.

7Jag höjer min röst till tacksägelse

och förkunnar alla dina under.

8Herre, jag älskar din boning, ditt hus,

platsen där din härlighet bor.

9Ryck inte bort mitt liv med syndarnas,

låt mig inte dö som de blodtörstiga,

10som har båda händerna fulla med onda planer

och högra handen med mutor.

11Men jag lever ett klanderfritt liv.

Befria mig och visa nåd!

12Jag står på fast grund,

och i församlingarna vill jag prisa Herren.