Zaburi 149 – NEN & CST

Kiswahili Contemporary Version (Neno: Bibilia Takatifu)

Zaburi 149:1-9

Zaburi 149

Wimbo Wa Kumsifu Mungu Kwa Wema Wake

1149:1 Za 33:2; 103:1; 28:7; 1:5; 96:1; Ufu 5:9; Isa 42:10Msifuni Bwana.

Mwimbieni Bwana wimbo mpya,

sifa zake katika kusanyiko la watakatifu.

2149:2 Yer 51:48; Zek 9:9; Za 10:16; 47:6; 95:6; Ay 35:10; 10:3; Isa 13:3; 32:1; 44:2; 45:11; 54:5Israeli na washangilie katika Muumba wao,

watu wa Sayuni na wafurahi katika Mfalme wao.

3149:3 Kut 15:20; Za 57:8Na walisifu jina lake kwa kucheza

na wampigie muziki kwa matari na kinubi.

4149:4 Za 35:27; 147:11; 132:16; Mit 11:20Kwa maana Bwana anapendezwa na watu wake,

anawavika wanyenyekevu taji ya wokovu.

5149:5 Za 132:16; 42:8; Ay 35:10Watakatifu washangilie katika heshima hii,

na waimbe kwa shangwe vitandani mwao.

6149:6 Za 66:17; Ebr 4:12; Ufu 1:16; Neh 4:17; Kum 7:1, 2Sifa za Mungu na ziwe vinywani mwao

na upanga ukatao kuwili mikononi mwao,

7149:7 Hes 31:3; Kum 32:41; Za 81:15ili walipize mataifa kisasi

na adhabu juu ya mataifa,

8149:8 2Sam 3:34; Isa 14:1-2; 2Nya 33:11wawafunge wafalme wao kwa minyororo,

wakuu wao kwa pingu za chuma,

9149:9 Kum 7:1; 1Yn 5:4; Eze 28:26; Za 145:10; Rum 16:20ili kuwafanyia hukumu iliyoandikwa dhidi yao.

Huu ndio utukufu wa watakatifu wake wote.

Msifuni Bwana.

Nueva Versión Internacional (Castilian)

Salmo 149:1-9

Salmo 149

1¡Aleluya! ¡Alabado sea el Señor!

Cantad al Señor un cántico nuevo,

alabadlo en la comunidad de los fieles.

2Que se alegre Israel por su creador;

que se regocijen los hijos de Sión por su rey.

3Que alaben su nombre con danzas;

que le canten salmos al son de la lira y el pandero.

4Porque el Señor se complace en su pueblo;

a los humildes concede el honor de la victoria.

5Que se alegren los fieles por su triunfo;149:5 por su triunfo. Lit. en gloria.

que aun en sus camas griten de júbilo.

6Que broten de su garganta alabanzas a Dios,

y haya en sus manos una espada de dos filos

7para que tomen venganza de las naciones

y castiguen a los pueblos;

8para que sujeten a sus reyes con cadenas,

a sus nobles con grilletes de hierro;

9para que se cumpla en ellos la sentencia escrita.

¡Esta será la gloria de todos sus fieles!

¡Aleluya! ¡Alabado sea el Señor!