1 Wakorintho 5 – NEN & CCBT

Kiswahili Contemporary Version (Neno: Bibilia Takatifu)

1 Wakorintho 5:1-13

Mwasherati Atengwe

15:1 Law 18:8; Kum 22:30; 27:20Yamkini habari imeenea ya kuwa miongoni mwenu kuna uzinzi ambao haujatokea hata miongoni mwa watu wasiomjua Mungu: Kwamba mtu anaishi na mke wa baba yake. 25:2 2Kor 7:7-11Nanyi mwajivuna! Je, haiwapasi kuhuzunika na kumtenga na ushirika wenu mtu huyo aliyefanya mambo hayo? 35:3 Kol 2:5; 1The 2:17Hata kama siko pamoja nanyi katika mwili, niko nanyi katika roho. Nami nimekwisha kumhukumu mtu huyo aliyetenda jambo hili, kama vile ningekuwepo. 45:4 2The 3:6Mnapokutana katika Jina la Bwana wetu Yesu nami nikiwepo pamoja nanyi katika roho na uweza wa Bwana Yesu ukiwepo, 55:5 1Tim 1:20; Mt 4:10; 1Kor 1:8mkabidhini mtu huyu kwa Shetani, ili mwili wake uharibiwe, ili roho yake iokolewe katika siku ya Bwana.

65:6 Yak 4:16; Mt 16:6-12; Gal 5:6Majivuno yenu si mazuri. Je, hamjui ya kwamba chachu kidogo huchachusha donge zima la unga? 75:7 Kut 12:3-21; Mk 14:12; 1Pet 1:19Ondoeni chachu ya kale ili mpate kuwa donge jipya lisilotiwa chachu, kama vile mlivyo. Kwa maana Kristo, Mwana-Kondoo wetu wa Pasaka amekwisha tolewa kuwa dhabihu. 85:8 Law 18:8; Kum 22:30; 27:20Kwa hiyo, tusiiadhimishe sikukuu hii, kwa chachu ya zamani, chachu ya nia mbaya na uovu, bali kwa mkate usiotiwa chachu, ndio weupe wa moyo na kweli.

95:9 Kut 12:45; Kum 16:3Niliwaandikia katika waraka wangu kuwa msishirikiane na wazinzi. 105:10 Efe 5:11; 2The 3:6-14Sina maana kwamba msishirikiane na wazinzi wa ulimwengu huu, au wenye tamaa mbaya, wanyangʼanyi au waabudu sanamu. Kwa kufanya hivyo ingewalazimu mtoke ulimwenguni humu. 115:11 1Kor 10:27Lakini sasa nawaandikia kwamba msishirikiane na mtu yeyote anayejiita ndugu, hali akiwa ni mzinzi, au mwenye tamaa mbaya, mwabudu sanamu au msingiziaji, mlevi au mdhalimu. Mtu kama huyo hata msile naye.

125:12 Rum 7:1; 1Kor 10:7-14; Rum 16:17Yanihusu nini kuwahukumu wale watu walio nje ya kanisa? Je, si mnapaswa kuwahukumu hao walio ndani? 135:13 Mk 4:11; 1Kor 6:14; Kum 13:5; 17:7; 19:19; 22:21; 24; 24:7; Amu 20:13Mungu atawahukumu hao walio nje. “Ninyi mwondoeni huyo mtu mwovu miongoni mwenu.”

Chinese Contemporary Bible (Traditional)

哥林多前書 5:1-13

清除淫亂之罪

1我聽說在你們當中竟有人與繼母亂倫。這種淫亂的事,就是連異教徒都做不出來。 2你們竟然還自高自大!難道你們不該痛心,把做這事的人從你們當中趕出去嗎? 3現在,我雖然身在遠方,心卻在你們那裡。我已經審判了做這事的人,就像親自在場一樣。 4你們奉我們主耶穌的名聚會時,我的心並我們主耶穌的權能也與你們同在。 5你們要把這人交給撒旦去毀壞他的肉體,好使這人的靈魂在主耶穌再來的日子可以得救。

6你們自誇不是好事,豈不知一點麵酵能使整團麵發起來嗎? 7你們要把舊酵除掉,好成為真正無酵的新麵團,因為我們逾越節的羔羊——基督已經被獻為祭了。 8所以,我們不可帶著歹毒邪惡的舊酵守這逾越節,而要用真誠純潔的無酵餅。

9我以前曾經寫信吩咐你們,不可與淫亂的人交往。 10我的意思並不是指世上所有淫亂、貪婪、欺詐與祭拜偶像的人。那樣的話,你們將不得不離開這個世界。 11我的意思是,若有人自稱是信徒,卻淫亂、貪婪、祭拜偶像、毀謗、酗酒、欺詐,你們不要和他們交往,甚至不要和他們一起吃飯。

12我何必去審判教會以外的人呢?然而,教會裡面的人豈不是該由你們審判嗎? 13上帝自會審判教會以外的人,你們要把那邪惡的人從你們當中趕出去。