历代志上 25 – CCB & NEN

Chinese Contemporary Bible (Simplified)

历代志上 25:1-31

圣殿的歌乐手

1大卫和众首领派亚萨希幔耶杜顿的后代伴着琴、瑟和钹宣讲上帝的话。以下是担当这职务的人:

2撒刻约瑟尼探雅亚萨利拉受他们的父亲亚萨指挥,照王的旨意宣讲上帝的话。 3基大利西利耶筛亚示每哈沙比雅玛他提雅六人受他们的父亲耶杜顿的指挥,伴着琴声称谢、颂赞耶和华,宣讲祂的话。 4希幔的儿子是布基雅玛探雅乌薛细布业耶利摩哈拿尼雅哈拿尼以利亚他基大利提罗幔提·以谢约施比加沙玛罗提何提玛哈秀5希幔是王的先见,上帝恩宠他,按应许赐给他十四个儿子、三个女儿。 6这些人由他们的父亲指挥,在耶和华的殿唱歌、敲钹、弹琴、鼓瑟,事奉耶和华。亚萨耶杜顿希幔听命于王。 7他们和其他训练有素、负责歌颂耶和华的亲族共有二百八十八人。 8这些人不分长幼、师徒,都抽签分班。

9第一签抽出来的是亚萨的儿子约瑟。第二签是基大利及其亲族和儿子共十二人。 10第三签是撒刻及其儿子和亲族共十二人。 11第四签是伊洗利和他儿子及亲族共十二人。 12第五签是尼探雅及其众子和亲族共十二人。 13第六签是布基雅及其众子和亲族共十二人。 14第七签是耶萨利拉及其众子和亲族共十二人。 15第八签是耶筛亚及其众子和亲族共十二人。 16第九签是玛探雅及其众子和亲族共十二人。 17第十签是示每及其众子和亲族共十二人。 18第十一签是亚萨烈及其众子和亲族共十二人。 19第十二签是哈沙比雅及其众子和亲族共十二人。 20第十三签是书巴业及其众子和亲族共十二人。 21第十四签是玛他提雅及其众子和亲族共十二人。 22第十五签是耶利摩及其众子和亲族共十二人。 23第十六签是哈拿尼雅及其众子和亲族共十二人。 24第十七签是约施比加沙及其众子和亲族共十二人。 25第十八签是哈拿尼及其众子和亲族共十二人。 26第十九签是玛罗提及其众子和亲族共十二人。 27第二十签是以利亚他及其众子和亲族共十二人。 28第二十一签是何提及其众子和亲族共十二人。 29第二十二签是基大利提及其众子和亲族共十二人。 30第二十三签是玛哈秀及其众子和亲族共十二人。 31第二十四签是罗幔提·以谢及其众子和亲族共十二人。

Kiswahili Contemporary Version (Neno: Bibilia Takatifu)

1 Nyakati 25:1-31

Waimbaji

125:1 1Nya 6:31-39; 16:41-42; Neh 11:17; 1Sam 10:5; Ezr 3:10; 2Nya 5:12; 1Nya 12:28; 23:2; 15:17; Kut 15:20; Hes 11:25; Za 150:3-5; 1Kor 14:1; Ufu 15:2-4Daudi, pamoja na majemadari wa jeshi, wakawatenga baadhi ya wana wa Asafu, wana wa Hemani na wana wa Yeduthuni, kwa ajili ya huduma ya kutoa unabii, wakitumia vinubi, zeze na matoazi. Hii ndiyo orodha ya watu waliofanya huduma hii:

2Kutoka kwa wana wa Asafu walikuwa:

Zakuri, Yosefu, Nethania na Asarela. Wana wa Asafu walikuwa chini ya usimamizi wa Asafu, ambaye alitoa unabii chini ya usimamizi wa mfalme.

325:3 Mwa 4:21; Za 33:2Wana wa Yeduthuni walikuwa sita:

Gedalia, Seri, Yeshaya, Shimei, Hashabia, na Matithia, nao walikuwa chini ya usimamizi wa baba yao Yeduthuni, wao walikuwa wakitoa unabii wakitumia vinubi, wakimshukuru na kumtukuza Bwana.

4Wana wa Hemani walikuwa:

Bukia, Matania, Uzieli, Shebueli na Yeremothi, Hanania, Hanani, Eliatha, Gidalti na Romamti-Ezeri, Yoshbekasha, Malothi, Hothiri na Mahaziothi. 525:5 1Sam 9:9; 2Sam 24:11; Amo 7:12; 1Pet 4:11; Isa 3:18; 1Nya 21:9; 26:28; Mwa 33:5; 1Sam 1:17; 1Nya 28:5; Za 127:3; 128:3Wote hawa walikuwa wana wa Hemani mwonaji wa mfalme. Aliwapata wana hawa kutokana na ahadi ya Mungu ili kumwinua. Mungu alimpa Hemani wana kumi na wanne na binti watatu.

625:6 1Nya 15:16-19; 2Nya 23:18; 29:25Hawa wanaume wote walikuwa chini ya usimamizi wa baba yao kwa ajili ya uimbaji katika Hekalu la Bwana wakitumia matoazi, zeze na vinubi, kwa ajili ya huduma katika nyumba ya Mungu. Asafu, Yeduthuni na Hemani walikuwa chini ya usimamizi wa mfalme. 725:7 Efe 5:19; Kol 3:16; Yak 5:13Pamoja na ndugu zao wote walikuwa wamefundishwa na kuwa stadi wa uimbaji kwa Bwana. Idadi yao walikuwa 288. 825:8 2Nya 23:13; 1Nya 26:13Vijana kwa wazee, walimu kwa wanafunzi, wote walipanga kazi zao kwa kupiga kura.

925:9 1Nya 6:36-39; 25:31; Ufu 5:8; 1Nya 9:33Kura ya kwanza, ambayo ilikuwa kwa ajili ya Asafu, ilimwangukia Yosefu, wanawe na jamaa zake, 12Ya pili ikamwangukia Gedalia, yeye na wanawe pamoja na jamaa zake, 1210Ya tatu ikamwangukia Zakuri, wanawe na jamaa zake, 1211ya nne ikamwangukia Isri,25:11 Isri jina lingine ni Seri. wanawe na jamaa zake, 1212ya tano ikamwangukia Nethania, wanawe na jamaa zake, 1213ya sita ikamwangukia Bukia, wanawe na jamaa zake, 1214ya saba ikamwangukia Yesarela,25:14 Yesarela jina lingine ni Asarela. wanawe na jamaa zake, 1215ya nane ikamwangukia Yeshaya, wanawe na jamaa zake, 1216ya tisa ikamwangukia Matania, wanawe na jamaa zake, 1217ya kumi ikamwangukia Shimei, wanawe na jamaa zake, 1218ya kumi na moja ikamwangukia Azareli,25:18 Azareli jina lingine ni Uzieli. wanawe na jamaa zake, 1219ya kumi na mbili ikamwangukia Hashabia, wanawe na jamaa zake, 1220ya kumi na tatu ikamwangukia Shubaeli, wanawe na jamaa zake, 1221ya kumi na nne ikamwangukia Matithia, wanawe na jamaa zake, 1222ya kumi na tano ikamwangukia Yeremothi, wanawe na jamaa zake, 1223Ya kumi na sita ikamwangukia Hanania, wanawe na jamaa zake, 1224ya kumi na saba ikamwangukia Yoshbekasha, wanawe na jamaa zake, 1225ya kumi na nane ikamwangukia Hanani, wanawe na jamaa zake, 1226ya kumi na tisa ikamwangukia Malothi, wanawe na jamaa zake, 1227ya ishirini ikamwangukia Eliatha, wanawe na jamaa zake, 1228ya ishirini na moja ikamwangukia Hothiri, wanawe na jamaa zake, 1229ya ishirini na mbili ikamwangukia Gidalti, wanawe na jamaa zake, 1230ya ishirini na tatu ikamwangukia Mahaziothi, wanawe na jamaa zake, 123125:31 Ufu 4:4; 5:8; 11:6ya ishirini na nne ikamwangukia Romamti-Ezeri, wanawe na jamaa zake, 12.