Daily Manna for Monday, September 13, 2021

Daily Manna is a daily Bible devotional service provided by Biblica. The Scripture is provided in many forms and is new every day. It is a great way to receive the encouragement and hope found in the Word of God.

Verse of the Day

Waefeso 6:14-18

6:14 Isa 1:5; Za 132:9Kwa hiyo simameni imara mkiwa mmejifunga kweli kiunoni na kuvaa dirii ya haki kifuani, 6:15 Isa 52:7; Rum 10:15nayo miguu yenu ifungiwe utayari tuupatao kwa Injili ya amani. 6:16 1Yn 5:4; Mt 5:37Zaidi ya haya yote, twaeni ngao ya imani, ambayo kwa hiyo mtaweza kuizima mishale yote yenye moto ya yule mwovu. 6:17 Isa 59:17; Ebr 4:12Vaeni chapeo ya wokovu na mchukue upanga wa Roho, ambao ni Neno la Mungu. 6:18 Lk 18:1; Mt 26:41; Flp 4:6Mkiomba kwa Roho siku zote katika sala zote na maombi, mkikesha kila wakati mkiwaombea watakatifu wote.