Daily Manna for Wednesday, July 21, 2021

Daily Manna is a daily Bible devotional service provided by Biblica. The Scripture is provided in many forms and is new every day. It is a great way to receive the encouragement and hope found in the Word of God.

Verse of the Day

1 Petro 3:13-16

3:13 Mit 16:7; Tit 2:14Basi, ni nani atakayewadhuru mkiwa wenye juhudi katika kutenda mema? 3:14 1Pet 4:15-16; Isa 8:12-14Lakini mmebarikiwa hata kama ikiwalazimu kuteseka kwa ajili ya haki. “Msiogope vitisho vyao, wala msiwe na wasiwasi.” 3:15 Kol 4:6Bali mtakaseni Kristo kuwa Bwana mioyoni mwenu. Siku zote mwe tayari kumjibu mtu yeyote atakayewauliza kuhusu sababu ya tumaini lililomo ndani yenu. Lakini fanyeni hivyo kwa upole na kwa heshima, 3:16 Mdo 23:1; Ebr 13:18; 1Pet 2:12-15mkizitunza dhamiri zenu ziwe safi, ili wale wasemao mabaya dhidi ya mwenendo wenu mzuri katika Kristo waaibike kwa ajili ya masingizio yao.