Daily Manna for Thursday, January 14, 2021

Daily Manna is a daily Bible devotional service provided by Biblica. The Scripture is provided in many forms and is new every day. It is a great way to receive the encouragement and hope found in the Word of God.

Verse of the Day

Zaburi 95:1-7

Zaburi 95

95:1 Za 34:11; 80:2; 5:11; 81:1; Isa 44:23; Sef 3:14; 2Sam 22:47Njooni, tumwimbie Bwana kwa furaha;

tumfanyie kelele za shangwe

Mwamba wa wokovu wetu.

95:2 Za 42:4; 81:2; 100:2; Mik 6:6; Efe 5:19Tuje mbele zake kwa shukrani,

tumtukuze kwa vinanda na nyimbo.

95:3 Za 48:1; 86:10; 145:3; 147:5; 47:2; 96:4; 97:9Kwa kuwa Bwana ni Mungu mkuu,

mfalme mkuu juu ya miungu yote.

95:4 Za 63:9Mkononi mwake mna vilindi vya dunia,

na vilele vya milima ni mali yake.

95:5 Mwa 1:9; Za 146:6Bahari ni yake, kwani ndiye aliifanya,

na mikono yake iliumba nchi kavu.

95:6 Flp 2:10; Efe 3:14; 2Nya 6:13; 1Kor 6:20; 2Sam 12:16; Za 22:29; 100:3; 149:2; Lk 22:41; Isa 17:7; 54:5; Dan 6:10, 11; Ezr 9:5; 1Fal 8:54; Hos 8:14; Yn 1:3; Ay 35:10Njooni, tusujudu, tumwabudu,

tupige magoti mbele za Bwana Muumba wetu,

95:7 Za 74:1; Ebr 3:7kwa maana yeye ndiye Mungu wetu,

na sisi ni watu wa malisho yake,

kondoo chini ya utunzaji wake.

Kama mkiisikia sauti yake leo,