New Living Translation

2 Corinthians 4

Treasure in Fragile Clay Jars

1Therefore, since God in his mercy has given us this new way,[a] we never give up. We reject all shameful deeds and underhanded methods. We don’t try to trick anyone or distort the word of God. We tell the truth before God, and all who are honest know this.

If the Good News we preach is hidden behind a veil, it is hidden only from people who are perishing. Satan, who is the god of this world, has blinded the minds of those who don’t believe. They are unable to see the glorious light of the Good News. They don’t understand this message about the glory of Christ, who is the exact likeness of God.

You see, we don’t go around preaching about ourselves. We preach that Jesus Christ is Lord, and we ourselves are your servants for Jesus’ sake. For God, who said, “Let there be light in the darkness,” has made this light shine in our hearts so we could know the glory of God that is seen in the face of Jesus Christ.

We now have this light shining in our hearts, but we ourselves are like fragile clay jars containing this great treasure.[b] This makes it clear that our great power is from God, not from ourselves.

We are pressed on every side by troubles, but we are not crushed. We are perplexed, but not driven to despair. We are hunted down, but never abandoned by God. We get knocked down, but we are not destroyed. 10 Through suffering, our bodies continue to share in the death of Jesus so that the life of Jesus may also be seen in our bodies.

11 Yes, we live under constant danger of death because we serve Jesus, so that the life of Jesus will be evident in our dying bodies. 12 So we live in the face of death, but this has resulted in eternal life for you.

13 But we continue to preach because we have the same kind of faith the psalmist had when he said, “I believed in God, so I spoke.”[c] 14 We know that God, who raised the Lord Jesus,[d] will also raise us with Jesus and present us to himself together with you. 15 All of this is for your benefit. And as God’s grace reaches more and more people, there will be great thanksgiving, and God will receive more and more glory.

16 That is why we never give up. Though our bodies are dying, our spirits are[e] being renewed every day. 17 For our present troubles are small and won’t last very long. Yet they produce for us a glory that vastly outweighs them and will last forever! 18 So we don’t look at the troubles we can see now; rather, we fix our gaze on things that cannot be seen. For the things we see now will soon be gone, but the things we cannot see will last forever.

Footnotes

  1. 4:1 Or ministry.
  2. 4:7 Greek We now have this treasure in clay jars.
  3. 4:13 Ps 116:10.
  4. 4:14 Some manuscripts read who raised Jesus.
  5. 4:16 Greek our inner being is.

Neno: Bibilia Takatifu

2 Wakorintho 4

Hazina Za Roho Kwenye Vyombo Vya Udongo

1Kwa hiyo tukiwa na huduma hii kwa rehema ya Mungu, hatu kati tamaa. Tumekataa njia za siri na za aibu. Hatutumii njia za udanganyifu, wala hatupotoshi neno la Mungu. Badala yake, tunaeleza neno la kweli wazi wazi na kujitambulisha kuwa wa kweli kwa dhamiri ya kila mtu mbele ya Mungu. Na hata kama Injili yetu imefichika, basi imefichika kwa wale wanaopotea. Kwa upande wao, mungu wa dunia hii ametia giza akili za wasioamini, ili wasione mwanga wa Injili ya utukufu wa Kristo, ambaye ana sura ya Mungu. Kwa maana hatujihubiri sisi wenyewe ila tunamhu biri Yesu Kristo kuwa ni Bwana, na sisi ni watumishi wenu kwa ajili ya Yesu. Kwa kuwa ni Mungu aliyesema, “Nuru iangaze katika giza,” ambaye ameangaza mioyoni mwetu kutupatia nuru ya ufahamu wa utukufu wa Mungu ung’aao katika uso wa Kristo.

Hata hivyo tunayo hazina hii katika vyombo vya udongo, ili kuonyesha kwamba uwezo huu wa ajabu unatoka kwa Mungu, na si kutoka kwetu. Tumegandamizwa kila upande, lakini hatujashindwa. Tumetatanishwa lakini hatukati tamaa; tumeteswa lakini hatuku achwa upweke; tumetupwa chini lakini hatujateketezwa. 10 Tuna chukua katika mwili wetu kifo cha Yesu wakati wote ili uhai wa Yesu uweze kudhihirika katika miili yetu. 11 Kwa maana sisi tunaoishi, maisha yetu yako katika hatari ya kifo wakati wote kwa ajili ya Yesu ili uhai wake uweze kuonekana katika miili yetu ya mauti. 12 Kwa hiyo, mauti inatuandama wakati wote, bali uzima unafanya kazi ndani yenu. 13 Maandiko yanasema, “Niliamini, kwa hiyo nimesema.” Sisi pia tunaamini, kwa hiyo tunasema. 14 Kwa maana tunajua ya kuwa aliyemfufua Bwana Yesu atatufufua na sisi pamoja na Yesu na kutufikisha sisi na ninyi mbele zake. 15 Haya yote ni kwa ajili yenu, ili kwa kadiri neema ya Mungu inavyowafi kia watu wengi zaidi, wote watoe shukrani kwa utukufu wa Mungu.

16 Kwa hiyo, hatukati tamaa. Ingawa miili yetu inachakaa, utu wetu wa ndani unafanywa upya kila siku. 17 Maana hii dhiki yetu nyepesi na ya muda mfupi inatutayarisha kwa ajili ya utukufu wa uzima wa milele unaozidi sana matatizo haya. 18 Kwa maana hatuweki mawazo yetu kwenye vitu vinavyoonekana bali kwenye vitu visivyoonekana. Maana vile vinavyoonekana ni vya muda mfupi, lakini vile visivyoonekana vinadumu milele.