Psalms 66 – NIV & NEN

New International Version

Psalms 66:1-20

Psalm 66

For the director of music. A song. A psalm.

1Shout for joy to God, all the earth!

2Sing the glory of his name;

make his praise glorious.

3Say to God, “How awesome are your deeds!

So great is your power

that your enemies cringe before you.

4All the earth bows down to you;

they sing praise to you,

they sing the praises of your name.”66:4 The Hebrew has Selah (a word of uncertain meaning) here and at the end of verses 7 and 15.

5Come and see what God has done,

his awesome deeds for mankind!

6He turned the sea into dry land,

they passed through the waters on foot—

come, let us rejoice in him.

7He rules forever by his power,

his eyes watch the nations—

let not the rebellious rise up against him.

8Praise our God, all peoples,

let the sound of his praise be heard;

9he has preserved our lives

and kept our feet from slipping.

10For you, God, tested us;

you refined us like silver.

11You brought us into prison

and laid burdens on our backs.

12You let people ride over our heads;

we went through fire and water,

but you brought us to a place of abundance.

13I will come to your temple with burnt offerings

and fulfill my vows to you—

14vows my lips promised and my mouth spoke

when I was in trouble.

15I will sacrifice fat animals to you

and an offering of rams;

I will offer bulls and goats.

16Come and hear, all you who fear God;

let me tell you what he has done for me.

17I cried out to him with my mouth;

his praise was on my tongue.

18If I had cherished sin in my heart,

the Lord would not have listened;

19but God has surely listened

and has heard my prayer.

20Praise be to God,

who has not rejected my prayer

or withheld his love from me!

Kiswahili Contemporary Version

Zaburi 66:1-20

Zaburi 66

Kusifu Mungu Kwa Ajili Ya Wema Wake

Kwa mwimbishaji. Wimbo. Zaburi.

166:1 Za 81:1; 84:8; 98:4; 100:1Mpigieni Mungu kelele za shangwe, dunia yote!

266:2 Za 79:9; 86:9; Isa 42:8, 12; 43:21Imbeni utukufu wa jina lake;

mpeni sifa zake kwa utukufu!

366:3 Kum 7:21; 10:21; Za 106:22; 111:6; 18:44; 65:5; 145:6; 2Sam 22:45Mwambieni Mungu, “Jinsi gani yalivyo ya kutisha matendo yako!

Uwezo wako ni mkuu mno kiasi kwamba

adui wananyenyekea mbele zako.

466:4 Za 22:27; 7:17; 67:3Dunia yote yakusujudia,

wanakuimbia wewe sifa,

wanaliimbia sifa jina lako.”

566:5 Za 66:3; 46:8; 106:22Njooni mwone yale Mungu aliyoyatenda,

mambo ya kutisha aliyoyatenda

miongoni mwa wanadamu!

666:6 Mwa 8:1; Kut 14:21, 22; Law 23:40; Yos 3:14; Za 78:13; Isa 63:13, 14; 1Kor 10:1Alifanya bahari kuwa nchi kavu,

wakapita kati ya maji kwa miguu,

njooni, tumshangilie.

766:7 Kut 15:18; 3:16; Hes 17:10; Za 11:4; 112:10; 140:8; 145:13Yeye hutawala kwa uwezo wake milele,

macho yake huangalia mataifa yote:

waasi wasithubutu kujiinua dhidi yake.

866:8 Za 22:23Enyi mataifa, msifuni Mungu wetu,

sauti ya sifa yake isikike,

966:9 Za 30:3; Kum 32:35; Ay 12:5ameyahifadhi maisha yetu

na kuizuia miguu yetu kuteleza.

1066:10 Kut 15:25; Ay 6:29; 28:1; Za 12:6; Zek 13:9Ee Mungu, wewe ulitujaribu,

ukatusafisha kama fedha.

1166:11 Za 38:4; 142:7; 146:7; Isa 61:1; 10:27; 42:7, 22; Mwa 3:17; Kut 1:14Umetuingiza kwenye nyavu

na umetubebesha mizigo mizito

migongoni mwetu.

1266:12 Isa 51:13; Za 18:19Uliwaruhusu watu watukalie vichwani,

tulipita kwenye moto na kwenye maji,

lakini ulituleta kwenye nchi

iliyojaa utajiri tele.

1366:13 Za 51:19; 22:25; 50:14; 116:14; Mhu 5:4; Yon 2:9Nitakuja hekaluni mwako na sadaka za kuteketezwa

na kukutimizia nadhiri zangu:

14nadhiri ambazo midomo yangu iliahidi

na nilizotamka kwa kinywa changu

nilipokuwa katika shida.

1566:15 Law 16:5; Za 51:19Nitakutolea dhabihu za wanyama wanono

na sadaka za kondoo dume,

nitakutolea mafahali na mbuzi.

1666:16 Za 34:11; 71:15, 24Njooni msikilize ninyi nyote mnaomcha Mungu,

nami niwaambie aliyonitendea.

17Nilimlilia kwa kinywa changu,

sifa zake zilikuwa katika ulimi wangu.

1866:18 Kum 1:45; 1Sam 8:18; Yak 4:3; Isa 1:15; Ay 11:14, 15; Mit 15:29Kama ningekuwa nimeyaficha maovu moyoni mwangu,

Bwana asingekuwa amenisikiliza;

1966:19 Za 18:6lakini hakika Mungu amenisikiliza

na amesikia sauti yangu katika maombi.

2066:20 Za 22:24Sifa apewe Mungu,

ambaye hakulikataa ombi langu

wala kunizuilia upendo wake!