Psalms 103 – NIV & NEN

New International Version

Psalms 103:1-22

Psalm 103

Of David.

1Praise the Lord, my soul;

all my inmost being, praise his holy name.

2Praise the Lord, my soul,

and forget not all his benefits—

3who forgives all your sins

and heals all your diseases,

4who redeems your life from the pit

and crowns you with love and compassion,

5who satisfies your desires with good things

so that your youth is renewed like the eagle’s.

6The Lord works righteousness

and justice for all the oppressed.

7He made known his ways to Moses,

his deeds to the people of Israel:

8The Lord is compassionate and gracious,

slow to anger, abounding in love.

9He will not always accuse,

nor will he harbor his anger forever;

10he does not treat us as our sins deserve

or repay us according to our iniquities.

11For as high as the heavens are above the earth,

so great is his love for those who fear him;

12as far as the east is from the west,

so far has he removed our transgressions from us.

13As a father has compassion on his children,

so the Lord has compassion on those who fear him;

14for he knows how we are formed,

he remembers that we are dust.

15The life of mortals is like grass,

they flourish like a flower of the field;

16the wind blows over it and it is gone,

and its place remembers it no more.

17But from everlasting to everlasting

the Lord’s love is with those who fear him,

and his righteousness with their children’s children—

18with those who keep his covenant

and remember to obey his precepts.

19The Lord has established his throne in heaven,

and his kingdom rules over all.

20Praise the Lord, you his angels,

you mighty ones who do his bidding,

who obey his word.

21Praise the Lord, all his heavenly hosts,

you his servants who do his will.

22Praise the Lord, all his works

everywhere in his dominion.

Praise the Lord, my soul.

Kiswahili Contemporary Version

Zaburi 103:1-22

Zaburi 103

Upendo Wa Mungu

Zaburi ya Daudi.

1103:1 Za 28:6; 104:1; 30:4Ee nafsi yangu, umhimidi Bwana.

Vyote vilivyomo ndani yangu

vilihimidi jina lake takatifu.

2103:2 Za 106:1; 117:1; Kum 6:12; Za 77:11Ee nafsi yangu, umhimidi Bwana,

wala usisahau wema wake wote,

3103:3 Kut 34:7; 15:26; Kol 3:13; 1Pet 2:24; 1Yn 1:9akusamehe dhambi zako zote,

akuponya magonjwa yako yote,

4103:4 Za 34:22; 56:13; 8:5; 23:6; Isa 43:1aukomboa uhai wako na kaburi,

akuvika taji ya upendo na huruma,

5103:5 Ay 33:25; Za 90:14; 104:28; 119:25, 93; 2Kor 4:16; Kut 19:4atosheleza mahitaji yako kwa vitu vyema,

ili ujana wako uhuishwe kama wa tai.

6103:6 Za 9:8; 74:21; 65:5; Isa 9:7; Lk 4:10Bwana hutenda haki,

naye huwapa hukumu ya haki wote wanaoonewa.

7103:7 Za 99:7; 147:19; 106:22; Kut 33:13Alijulisha Mose njia zake,

na wana wa Israeli matendo yake.

8103:8 Kut 22:27; 34:6; Za 86:15; Mik 7:18-19; Yak 5:11; Kum 5:10; Hes 14:18Bwana ni mwingi wa huruma na mwenye neema;

si mwepesi wa hasira, bali amejaa upendo.

9103:9 Yer 3:5, 12; Mik 7:18; Isa 57:16; Za 30:5; 79:5Yeye hatalaumu siku zote,

wala haweki hasira yake milele,

10103:10 Ezr 9:13; Rum 6:23yeye hatutendei kulingana na dhambi zetu

wala hatupatilizi kwa kadiri ya maovu yetu.

11103:11 Efe 3:18; Za 13:5; 57:10; 100:5; 106:45; 117:2; Mao 3:22; 2Nya 6:31Kama vile mbingu zilivyo juu ya dunia sana,

ndivyo wema wake ulivyo mwingi kwa wanaomcha;

12103:12 2Sam 12:13; Rum 4:7; Efe 1:7; 2:5; Isa 43:25kama mashariki ilivyo mbali na magharibi,

ndivyo Mungu alivyoziweka dhambi zetu mbali nasi.

13103:13 Mal 3:17; Kum 8:5; 1Yn 3:1; Isa 63:15, 16Kama baba alivyo na huruma kwa watoto wake,

ndivyo Bwana anavyowahurumia wale wanaomcha;

14103:14 Za 119:73; 139:13-15; 146:4; Isa 29:16; Mwa 2:7kwa kuwa anajua tulivyoumbwa,

anakumbuka kwamba sisi tu mavumbi.

15103:15 Za 37:2; 90:5; 102:11; Yak 1:10; Isa 40:6; Ay 14:2Kuhusu mwanadamu, siku zake ni kama majani,

anachanua kama ua la shambani;

16103:16 Isa 40:7; Hag 1:9; Ay 7:8upepo huvuma juu yake nalo hutoweka,

mahali pake hapalikumbuki tena.

17103:17 Mwa 48:11; Ezr 9:12; Kut 20:6Lakini kutoka milele hata milele

upendo wa Bwana uko kwa wale wamchao,

nayo haki yake kwa watoto wa watoto wao:

18103:18 Yn 14:15; Kum 7:9; 28:9; Za 119:52; Hes 15:40; Za 47:8; 80:1; 113:5; 22:28; 66:7; Dan 4:17kwa wale walishikao agano lake

na kukumbuka kuyatii mausia yake.

19Bwana ameweka imara kiti chake cha enzi mbinguni,

ufalme wake unatawala juu ya vyote.

20103:20 Neh 9:6; Lk 2:13; Ebr 1:14; Za 29:1; 28:6; 107:25; 135:7; 148:8; Mt 6:10Mhimidini Bwana, enyi malaika zake,

ninyi mlio mashujaa mnaozitii amri zake,

ninyi mnaotii neno lake.

21103:21 1Fal 22:19; Neh 7:73; Dan 7:9; Mwa 32:2Mhimidini Bwana, ninyi jeshi lake lote la mbinguni,

ninyi watumishi wake mnaofanya mapenzi yake.

22103:22 Za 104:1; 67:3; 19:1; 145:10; 150:1, 6Mhimidini Bwana, kazi zake zote

kila mahali katika milki yake.

Ee nafsi yangu, umhimidi Bwana.