Zaburi 117 – Kiswahili Contemporary Version NEN

Kiswahili Contemporary Version

Zaburi 117:1-2

Zaburi 117

Sifa Za Bwana

1117:1 Za 22:23; 103:2; Rum 15:11Msifuni Bwana, enyi mataifa yote;

mtukuzeni yeye, enyi watu wote.

2117:2 Za 17:7; 103:11; 119:90; 146:6Kwa kuwa upendo wake kwetu ni mkuu,

uaminifu wa Bwana unadumu milele.

Msifuni Bwana.