Zaburi 112 – NEN & CCB

Kiswahili Contemporary Version (Neno: Bibilia Takatifu)

Zaburi 112:1-10

Zaburi 112112 Zaburi hii imetungwa kila mstari ukianzia na herufi ya alfabeti ya Kiebrania zikifuatana tangu Aleph (A) hadi Taw (T); zote ni 22.

Baraka Za Mwenye Haki

1112:1 Za 33:2; 103:1; 150:1; 1:1, 2; Ay 1:8; Za 103:11; 115:13; 128:1; 1:2; 119:14, 16, 47, 92Msifuni Bwana.

Heri mtu yule amchaye Bwana,

mtu yule apendezwaye sana na amri zake.

2112:2 Za 25:13; 37:26; 128:2-4Watoto wake watakuwa wenye uwezo katika nchi,

kizazi cha watu waadilifu kitabarikiwa.

3112:3 Kum 8:18; Za 37:6; 111:3Nyumbani mwake kuna mali na utajiri,

haki yake hudumu milele.

4112:4 Za 18:28; 5:12Hata gizani nuru humzukia mtu mwadilifu,

yule mwenye rehema, huruma na haki.

5112:5 Za 37:21, 26; Lk 6:35Mema yatamjia mtu yule aliye mkarimu na mwenye kukopesha bila riba,

anayefanya mambo yake kwa haki.

6112:6 Za 15:5; 55:22; Mit 10:7; Mhu 2:16Hakika hatatikisika kamwe,

mtu mwenye haki atakumbukwa milele.

7112:7 Za 57:7; 108:1; 28:7; 56:3-4; Isa 12:2Hataogopa habari mbaya,

moyo wake ni thabiti, ukimtegemea Bwana.

8112:8 Za 3:6; 27:1; 54:7; 56:11; Mit 1:33; Isa 12:2Moyo wake ni salama, hatakuwa na hofu,

mwishoni ataona ushindi dhidi ya adui zake.

9112:9 Lk 19:8; Mdo 9:36; 2Kor 9:9; Za 111:3; 75:10Ametawanya vipawa vyake kwa ukarimu akawapa maskini;

haki yake hudumu milele;

pembe yake itatukuzwa kwa heshima.

10112:10 Za 86:17; 34:21; 37:12; Mt 8:12; Ay 8:13Mtu mwovu ataona na kuchukizwa,

atasaga meno yake na kutoweka,

kutamani kwa mtu mwovu kutaishia patupu.

Chinese Contemporary Bible (Simplified)

诗篇 112:1-10

第 112 篇

敬畏上帝者必蒙福

1你们要赞美耶和华!

敬畏耶和华、乐于遵行祂命令的人有福了!

2他的子孙在世上必兴盛,

正直人的后代必蒙福。

3他的家财丰厚,

他的公义永存。

4黑暗中必有光照亮正直人,

照亮有恩慈、好怜悯、行公义的人。

5慷慨借贷,

行事公正的人必亨通。

6他必永不动摇,

义人必永远蒙眷顾。

7他不怕恶讯,

他坚定地信靠耶和华。

8他心里镇定自若,毫不害怕,

他终必战胜仇敌。

9他慷慨施舍,周济穷人;

他的仁义永远长存;

他必充满力量,得享尊荣。

10恶人见状,必然恼怒,

咬牙切齿,气绝身亡。

恶人的盼望必破灭。