Yoshua 19 – NEN & CCBT

Kiswahili Contemporary Version

Yoshua 19:1-51

Mgawo Kwa Simeoni

119:1 Mwa 49:7Kura ya pili ikaangukia kabila la Simeoni, ukoo kwa ukoo. Urithi wao ulikuwa ndani ya eneo la Yuda. 219:2 Mwa 21:14; 1Fal 19:3; Yos 15:26; 1Nya 4:28; Neh 11:26Ulijumuisha:

Beer-Sheba (au Sheba), Molada, 319:3 Yos 15:28-29Hasar-Shuali, Bala, Esemu, 4Eltoladi, Bethuli, Horma, 5Siklagi, Beth-Markabothi, Hasar-Susa, 6Beth-Lebaothi na Sharuheni; hii ilikuwa miji kumi na mitatu pamoja na vijiji vyake.

7Pia Aini, Rimoni, Etheri, na Ashani; hii ilikuwa miji minne na vijiji vyake, 8pamoja na vijiji vyote vinavyoizunguka miji hii mpaka Baalath-Beeri (ambayo ndiyo Rama iliyo katika Negebu).

Huu ulikuwa ni urithi wa kabila la Simeoni ukoo kwa ukoo. 919:9 Mwa 47:9; Eze 48:24Urithi wa Wasimeoni ulitolewa kutoka fungu la Yuda, kwa kuwa fungu la Yuda lilikuwa kubwa kuliko walivyohitaji. Hivyo kabila la Simeoni lilipewa urithi wao ndani ya eneo la Yuda.

Mgawo Kwa Zabuloni

1019:10 Yos 21:7, 34Kura ya tatu ikaangukia kabila la Zabuloni, ukoo kwa ukoo:

Mpaka wa urithi wao uliendelea hadi Saridi. 1119:11 Yos 12:22Kuelekea upande wa magharibi ukafika Marala, ukagusa Dabeshethi, na kuendelea mpaka kwenye bonde karibu na Yokneamu. 1219:12 Yos 22; 21:28; 1Nya 6:72Ukageuka mashariki, kuanzia Saridi kuelekea mawio ya jua hadi kwenye nchi ya Kisiloth-Tabori, na kwenda hadi Daberathi, kupanda Yafia. 13Kisha ukaendelea mashariki hadi Gath-Heferi na kufika Eth-Kasini, ukatokea Rimoni na kugeuka kuelekea Nea. 1419:14 Mwa 49:13; Hes 34:6-7; Kut 23:31; 1Fal 4:12Huko mpaka ukazungukia upande wa kaskazini hadi Hanathoni na kuishia katika Bonde la Ifta-Eli. 1519:15 Yos 21:35; 11:1; Mwa 35:19; Amu 1:30Miji mingine iliyojumuishwa ni Katathi, Nahalali, Shimroni, Idala na Bethlehemu. Kulikuwa na miji kumi na miwili pamoja na vijiji vyake.

1619:16 Eze 48:26; Yos 21:7; Mdo 17:26Miji hii na vijiji vyake ilikuwa ndio urithi wa Zabuloni, ukoo kwa ukoo.

Mgawo Kwa Isakari

1719:17 Mwa 30:18Kura ya nne ikamwangukia Isakari, ukoo kwa ukoo. 1819:18 Yos 15:56; Isa 28:4; 1Fal 1:3; 2Fal 4:8Eneo lao lilijumuisha:

Yezreeli, Kesulothi, Shunemu, 19Hafaraimu, Shioni, Anaharathi, 2019:20 Yos 21:28Rabithi, Kishioni, Ebesi, 2119:21 Yos 15:34Remethi, En-Ganimu, En-Hada na Beth-Pasesi. 2219:22 Amu 4:6, 12; 8:18; Za 89:12; Yer 46:18; Yos 15:10Mpaka ule ukagusa Tabori, Shahasuma na Beth-Shemeshi, na ukaishia kwenye Yordani. Ilikuwa miji kumi na sita, pamoja na vijiji vyake.

2319:23 Yos 17:10; Mwa 49:15; Eze 48:25Miji hii pamoja na vijiji vyake ilikuwa urithi wa kabila la Isakari, ukoo kwa ukoo.

Mgawo Kwa Asheri

2419:24 Yos 17:7Kura ya tano ikaangukia kabila la Asheri, ukoo kwa ukoo. 2519:25 Yos 11:1; 1Sam 2:16Eneo lao lilijumuisha:

Helkathi, Hali, Beteni, Akishafu, 2619:26 Yos 21:30; 12:22; 1Fal 18:19; 2Fal 2:25Alameleki, Amadi na Mishali. Upande wa magharibi mpaka uligusa Karmeli na Shihor-Libnathi. 2719:27 Yos 15:41Tena ukageuka mashariki kuelekea Beth-Dagoni, ukagusa Zabuloni na Bonde la Ifta-Eli, ukaenda upande wa kaskazini hadi Beth-Emeki na Neyeli, ukipitia Kabul upande wa kushoto. 2819:28 Yos 21:30; 1Nya 6:74; Hes 13:21; Amu 1:31; 1Nya 6:76; Yos 16:8; Mwa 10:16-19; Yos 11:8Ukaendelea hadi Abdoni, Rehobu, Hamoni na Kana, na kufika Sidoni Kuu. 2919:29 Yos 18:25; 2Sam 5:11; 24:7; Ezr 3:7; Za 45:12; Isa 23:1; Yer 25:22; Eze 26:2; Amu 5:17; Yos 15:44; Amu 1:31Mpaka huo ukageukia nyuma kuelekea Rama na kwenda hadi kwenye mji wenye ngome wa Tiro, ukageuka kuelekea Hosa na kutokeza baharini katika eneo la Akzibu, 3019:30 Yos 12:18Uma, Afeki na Rehobu. Ilikuwepo miji ishirini na miwili, pamoja na vijiji vyake.

3119:31 Mwa 30:13; Yos 17:7; Eze 48:2Miji hii pamoja na vijiji vyake ilikuwa ndio urithi wa kabila la Asheri, ukoo kwa ukoo.

Mgawo Kwa Naftali

32Kura ya sita ikaangukia kabila la Naftali, ukoo kwa ukoo:

3319:33 Amu 4:11; Yos 15:11Mpaka wao uliendelea kutoka Helefi na kwenye mti mkubwa ulio katika Saananimu, ukipitia Adami-Nekebu na Yabineeli hadi Lakumu, na kuishia katika Mto Yordani. 3419:34 1Nya 6:75; Kum 33:23Mpaka ukaendelea magharibi kupitia Aznoth-Tabori na kutokea Hukoki. Ukagusa Zabuloni upande wa kusini, Asheri upande wa magharibi, na Yordani upande wa mashariki. 3519:35 1Nya 2:55; Yos 11:2; Hes 13:21; 1Fal 14:25; Yer 39:5; Mk 6:53Miji yenye ngome ilikuwa Sidimu, Seri, Hamathi, Rakathi, Kinerethi, 3619:36 Yos 18:25; 11:1Adama, Rama, Hazori, 3719:37 Yos 12:22; Hes 21:33Kedeshi, Edrei, na En-Hasori, 3819:38 Amu 1:33; Yos 15:10Ironi, Migdal-Eli, Horemu, Beth-Anathi na Beth-Shemeshi. Kulikuwa na miji kumi na tisa na vijiji vyake.

3919:39 Kum 33:23; Eze 48:3Miji hiyo pamoja na vijiji vyake ndio iliyokuwa urithi wa kabila la Naftali, ukoo kwa ukoo.

Mgawo Kwa Dani

40Kura ya saba ikaangukia kabila la Dani, ukoo kwa ukoo. 4119:41 Yos 15:33; Amu 13:2Eneo la urithi wao lilijumuisha:

Sora, Eshtaoli, Iri-Shemeshi, 4219:42 Amu 1:35; Yos 10:12; 1Fal 4:9Shaalabini, Aiyaloni, Ithla, 4319:43 Mwa 38:12; Yos 13:3Eloni, Timna, Ekroni, 4419:44 Yos 21:23; 1Fal 15:27; 16:15; 9:18; 2Nya 8:6Elteke, Gibethoni, Baalathi, 4519:45 Yos 21:24; 1Nya 6:69Yehudi, Bene-Beraki, Gath-Rimoni, 4619:46 2Nya 2:16; Ezr 3:7; Yon 1:3; Mdo 9:36Me-Yarkoni na Rakoni, pamoja na eneo linalotazamana na Yafa.

4719:47 Amu 18:1, 7, 14; Kum 3:14; Amu 18:27-29; Mwa 49:17(Lakini Wadani walipata shida kulimiliki eneo lao; kwa hiyo walipanda kuishambulia Leshemu, wakaitwaa, wakawaua watu wake kwa upanga na kuukalia. Walikaa Leshemu na kuuita Dani kufuatana na jina la baba yao.)

4819:48 Mwa 30:6; Hes 26:54; Mdo 17:26Miji hii na vijiji vyake ndio iliyokuwa urithi wa kabila la Dani, ukoo kwa ukoo.

Mgawo Kwa Yoshua

49Walipomaliza kugawanya nchi katika migawo kulingana na sehemu zao zilizowaangukia, Waisraeli wakampa Yoshua mwana wa Nuni urithi katikati yao, 5019:50 Yos 24:30; Amu 2:9kama vile Bwana alivyokuwa ameamuru. Walimpa mji alioutaka, ambao ni Timnath-Sera19:50 Unajulikana pia kama Timnath-Heresi, ona Yos 24:30; Amu 2:9. ulio katika nchi ya vilima ya Efraimu. Naye akajenga mji, akakaa huko.

5119:51 Yos 23:4; 14:1; 18:10; Mdo 13:19; Hes 34:17; Amu 21:19; Za 78:58Haya ndiyo maeneo ambayo kuhani Eleazari, Yoshua mwana wa Nuni, na viongozi wa koo za kabila za Israeli waliyoyagawanya kwa kura huko Shilo mbele za Bwana penye ingilio la Hema la Kukutania. Hivyo wakamaliza kuigawanya nchi.

Chinese Contemporary Bible 2023 (Traditional)

約書亞記 19:1-51

西緬支派分到的土地

1西緬支派按宗族得到第二籤,所得的產業在猶大人的疆界內, 2別示巴,又名示巴摩拉大3哈薩·書亞巴拉以森4伊勒多臘比土力何珥瑪5洗革拉伯·瑪加博哈薩·蘇撒6伯·利巴勿沙魯險共十三座城及其附近的鄉村, 7還有亞因利門以帖亞珊四座城及其村莊, 8包括周圍所有的村莊,遠至巴拉·比珥,即南地的拉瑪。這些都是西緬支派按宗族所得的產業。 9西緬人的產業是從猶大人的產業中撥出來的,因為猶大支派所分到的地區過於廣大,所以要撥出一部分來分給西緬人。

西布倫支派分到的土地

10西布倫人按宗族得了第三籤,他們分到的土地遠至撒立11撒立向西到瑪拉拉大巴設,直到約念東邊的小河; 12撒立向東朝日出方向到吉斯綠·他泊的邊界,經大比拉、直到雅非亞13再往東,經迦特·希弗以特·加汛臨門,直到尼亞14北上轉向哈拿頓,直到伊弗他·伊勒山谷。 15還有加他拿哈拉伸崙以大拉伯利恆,共十二座城及其附近的鄉村。 16以上這些城邑和鄉村是西布倫人按宗族所得的產業。

以薩迦支派分到的土地

17以薩迦人按宗族得了第四籤, 18他們的土地包括耶斯列基蘇律書念19哈弗連示按亞拿哈拉20拉璧基善亞別21利篾隱·干寧隱·哈大伯·帕薛22他泊沙哈洗瑪伯·示麥,直到約旦河,共十六座城及其附近的鄉村。 23這些城邑和鄉村都是以薩迦支派按宗族分到的產業。

亞設支派分到的土地

24亞設支派按宗族得了第五籤, 25他們得到的土地包括黑甲哈利比田押煞26亞拉米勒亞末米沙勒,西至迦密希曷·立納27然後向東到伯·大袞,挨著西布倫伊弗他·伊勒谷,經伯·以墨尼業向北到迦步勒28再經義伯崙利合哈們加拿直到西頓大城; 29再轉到拉瑪、堅固的泰爾城,然後轉到何薩,直到亞革悉一帶的地中海。 30還有烏瑪亞弗利合,共二十二座城及其附近的鄉村。 31這些城邑和鄉村都是亞設支派按宗族分到的產業。

拿弗他利支派分到的土地

32拿弗他利人按宗族得了第六籤, 33他們的土地從希利弗撒拿音的橡樹、亞大米·尼吉雅比聶拉共,再到約旦河; 34又向西到亞斯納·他泊戶割,南接西布倫,西接亞設,東接約旦19·34 「約旦河」參照《七十士譯本》,希伯來文作「約旦河的猶大」。35還包括以下堅城:西丁側耳哈末拉甲基尼烈36亞大瑪拉瑪夏瑣37基低斯以得來隱·夏瑣38以利隱密大·伊勒和璉伯·亞納伯‧示麥,共十九座城及其附近的鄉村。 39這些城邑和鄉村都是拿弗他利支派按宗族分到的產業。

但支派分到的土地

40支派按宗族得了第七籤, 41他們的土地包括瑣拉以實陶伊珥·示麥42沙拉賓亞雅崙伊提拉43以倫亭拿他以革倫44伊利提基基比頓巴拉45伊胡得比尼·比拉迦特·臨門46美·耶昆拉昆約帕對面的一帶。 47支派無法奪取他們的土地,於是就去攻打利善城,用刀殺了城內的居民,佔據了這座城,用他們祖先的名字把城改名為48這些城邑和村莊都是支派按宗族得到的產業。

約書亞分得之地

49以色列人把地分配完畢以後,又從中劃出土地給嫩的兒子約書亞50以色列人遵從耶和華的吩咐,把約書亞想要的以法蓮山區的亭拿·西拉城分給他。約書亞重修那城,住在那裡。

51以上是祭司以利亞撒的兒子約書亞以色列各支派的首領,在示羅的會幕門口,在耶和華面前抽籤所分配的土地。至此,他們把地分完了。