Hosea 3 – NEN & CCBT

Kiswahili Contemporary Version

Hosea 3:1-5

Upatanisho Wa Hosea Na Mkewe

13:1 Hos 1:2; 2Sam 6:19Bwana akaniambia, “Nenda, ukaonyeshe upendo wako kwa mke wako tena, ingawa amependwa na mwingine naye ni mzinzi. Mpende kama Bwana apendavyo Waisraeli, ingawa wanageukia miungu mingine na kupenda mikate mitamu ya zabibu kavu iliyowekwa wakfu.”

2Basi nilimnunua huyo mwanamke kwa shekeli kumi na tano3:2 Shekeli 15 za fedha ni sawa na gramu 170. za fedha, pia kwa kiasi kama cha homeri moja na nusu3:2 Homeri moja na nusu ni kama lita 330. ya shayiri. 33:3 Kum 21:23Kisha nilimwambia, “Utaishi nami kwa siku nyingi, hupaswi kuwa kahaba au kuwa na uhusiano wa karibu na mtu yeyote, nami nitaishi na wewe.”

43:4 Hos 2:11; 13:11; Dan 11:31; Amu 18:14-17, 23-24; Mao 2:9; Kum 28:6; Zek 10:2; Kut 25:7Kwa maana Waisraeli wataishi siku nyingi bila kuwa na mfalme wala mkuu, bila kuwa na dhabihu wala mawe matakatifu, bila kisibau wala sanamu. 53:5 1Sam 13:14; Eze 34:23-24; Kum 4:30; Yer 50:4-5; Isa 9:13; 10:20; Hos 5:15; Mik 4:1-2; Za 18:45Baadaye Waisraeli watarudi na kumtafuta Bwana Mungu wao na Daudi mfalme wao. Watakuja wakitetemeka kwa Bwana na kwa baraka zake katika siku za mwisho.

Chinese Contemporary Bible 2023 (Traditional)

何西阿書 3:1-5

何西阿贖回不貞之妻

1耶和華對我說:「你要再去愛那個另有新歡的淫婦,像耶和華愛以色列人一樣愛她。儘管以色列人祭拜其他神明,喜愛葡萄餅,耶和華仍然愛他們。」 2於是,我用三兩銀子和二百公斤大麥贖回她, 3對她說:「你要和我住許多日子。這期間不可行淫,不可親近別的男人,我也不與你同房。」 4以色列人也要有許多日子沒有君王和首領,沒有祭祀和神柱,也沒有以弗得和家庭神像。 5之後,以色列人將回心轉意,尋求他們的上帝耶和華,歸向他們的君王大衛。在末後的日子,他們將懷著敬畏的心歸向耶和華,領受祂的恩惠。