Ezra 2 – Kiswahili Contemporary Version NEN

Kiswahili Contemporary Version

Ezra 2:1-70

Orodha Ya Watu Waliorudi Kutoka Uhamishoni

(Nehemia 7:4-73)

12:1 2Nya 36:20; Neh 7:6; 11:3; 2Fal 24:16; 25:12; Ezr 5:8; 6:2; Es 1:1; 8:9Basi hawa ndio watu wa jimbo waliotoka uhamishoni, ambao Nebukadneza mfalme wa Babeli alikuwa amewachukua mateka hadi Babeli (walirudi Yerusalemu na Yuda, kila mmoja kwenye mji wake, 22:2 1Nya 3:19; 6:14; Hag 2:4; Zek 3:1-10wakiwa wamefuatana na Zerubabeli, Yeshua, Nehemia, Seraya, Reelaya, Mordekai, Bilshani, Mispari, Bigwai, Rehumu na Baana):

Orodha ya wanaume kati ya watu wa Israeli ilikuwa:

32:3 Ezr 10:25; Neh 3:25wazao wa Paroshi 2,1724wazao wa Shefatia 37252:5 Neh 6:18wazao wa Ara 7756wazao wa Pahath-Moabu (wa jamaa ya Yeshua na Yoabu) 2,8127wazao wa Elamu 1,2548wazao wa Zatu 9459wazao wa Zakai 76010wazao wa Bani 64211wazao wa Bebai 62312wazao wa Azgadi 1,222132:13 Ezr 8:13; 7:18wazao wa Adonikamu 66614wazao wa Bigwai 2,05615wazao wa Adini 45416wazao wa Ateri (kupitia Hezekia) 9817wazao wa Besai 32318wazao wa Yora 11219wazao wa Hashumu 223202:20 Yos 9:17wazao wa Gibari 95

212:21 Mik 5:2; 1Nya 2:51; Rut 1:19; Mt 2:6; 2Sam 21:2; Mwa 35:19watu wa Bethlehemu 12322watu wa Netofa 5623watu wa Anathothi 12824watu wa Azmawethi 4225wazao wa Kiriath-Yearimu, Kefira na Beerothi 743262:26 Yos 18:25; 1Sam 7:17; Yer 31:15wazao wa Rama na Geba 62127watu wa Mikmashi 122282:28 Mwa 12:8watu wa Betheli na Ai 22329wazao wa Nebo 5230wazao wa Magbishi 156312:31 Ezr 2:7wazao wa Elamu ile ingine 1,25432wazao wa Harimu 32033wazao wa Lodi, Hadidi na Ono 725342:34 Kum 34:3; 2Nya 28:15; 1Fal 16:34wazao wa Yeriko 34535wazao wa Senaa 3,630

362:36 1Nya 9:10; 24:7Makuhani:

wazao wa Yedaya (kwa jamaa ya Yeshua) 973372:37 1Nya 24:14; Ezr 10:20wazao wa Imeri 1,052382:38 1Nya 9:12; Ezr 10:22wazao wa Pashuri 1,247392:39 1Nya 24:8wazao wa Harimu 1,017

402:40 Mwa 29:34; Hes 3:9; Ezr 3:9Walawi:

wazao wa Yeshua na Kadmieli (kupitia jamaa ya Hodavia) 74

412:41 1Nya 15:16Waimbaji:

wazao wa Asafu 128

422:42 1Sam 3:15; 1Nya 9:17Mabawabu wa lango la Hekalu:

wazao wa Shalumu, Ateri, Talmoni, Akubu, Hatita na Shobai 139

432:43 1Nya 9:2Watumishi wa Hekalu:2:43 Yaani Wanethini (pia 2:58, 70).

wazao wa Siha, Hasufa, Tabaothi,

44wazao wa Kerosi, Siaha, Padoni,

45wazao wa Lebana, Hagaba, Akubu,

46wazao wa Hagabu, Shalmai, Hanani,

47wazao wa Gideli, Gahari, Reaya,

48wazao wa Resini, Nekoda, Gazamu,

49wazao wa Uza, Pasea, Besai,

50wazao wa Asna, Meunimu, Nefusimu,

51wazao wa Bakbuki, Hakufa, Harhuri,

52wazao wa Basluthi, Mehida, Harsha,

53wazao wa Barkosi, Sisera, Tema,

54wazao wa Nesia na Hatifa.

552:55 1Fal 9:21Wazao wa watumishi wa Solomoni:

wazao wa Sotai, Hasaferethi, Peruda,

56wazao wa Yaala, Darkoni, Gideli,

57wazao wa Shefatia, Hatili, Pokereth-Hasebaimu na Ami.

582:58 1Fal 9:21; Ezr 7:7; Yos 9:21-27; 1Nya 9:2Watumishi wa Hekalu wote na wazao wa watumishi wa Solomoni 392

592:59 Hes 1:18Wafuatao walikuja kutoka miji ya Tel-Mela, Tel-Harsha, Kerubu, Adoni na Imeri, lakini hawakuweza kuthibitisha kwamba jamaa zao zilikuwa uzao wa Israeli:

60wazao wa Delaya, Tobia na Nekoda 652

612:61 2Sam 17:27; 1Fal 2:7Kutoka miongoni mwa makuhani:

Wazao wa Hobaya, Hakosi, Barzilai (mtu aliyekuwa amemwoa binti wa Barzilai, Mgileadi, naye akaitwa kwa jina hilo).

622:62 Hes 16:39-40; 3:10Hawa walitafuta orodha za jamaa zao, lakini hawakuonekana humo, kwa hiyo waliondolewa kutoka kundi la makuhani kwa kuwa walihesabiwa kuwa najisi. 632:63 Neh 8:9; Hes 18:9-11; Kut 28:30; Law 2:3-10Mtawala aliagiza kuwa wasile chochote miongoni mwa vyakula vitakatifu hadi kuwe kuhani atakayehudumu kwa Urimu na Thumimu.2:63 Urimu na Thumimu maana yake ni Nuru na Kweli; vifaa hivi viliwekwa kwenye kifuko cha kifuani cha kisibau cha kuhani mkuu ili kujua mapenzi ya Mungu kwenye mambo ya kutatanisha.

64Jumla ya watu wote waliorudi walikuwa 42,360; 652:65 2Sam 19:35tena zaidi ya hao walikuwepo watumishi wa kiume na wa kike 7,337; pia walikuwamo waimbaji wanaume na wanawake 200. 662:66 Isa 66:20Walikuwa na farasi 736, nyumbu 245, 67ngamia 435 na punda 6,720.

682:68 Kut 15:2Walipofika kwenye nyumba ya Bwana huko Yerusalemu, baadhi ya viongozi wa jamaa walitoa sadaka za hiari kwa ajili ya kujenga upya nyumba ya Mungu katika eneo lake. 69Wakatoa kwa kadiri ya uwezo wao na kutia katika hazina darkoni 61,0002:69 Darkoni 61,000 za dhahabu ni sawa na kilo 500. za dhahabu, mane 5,0002:69 Mane 5,000 za fedha ni sawa na kilo 2,900. za fedha, na mavazi 100 ya ukuhani kwa ajili ya kazi hiyo.

702:70 1Nya 9:2; Neh 11:3-4Makuhani, Walawi, waimbaji, mabawabu, na watumishi wa Hekalu waliishi katika miji yao wenyewe, pamoja na baadhi ya watu wengine, nao Waisraeli waliosalia waliishi katika miji yao.