Joshua 16 – NIV & NEN

New International Version

Joshua 16:1-10

Allotment for Ephraim and Manasseh

1The allotment for Joseph began at the Jordan, east of the springs of Jericho, and went up from there through the desert into the hill country of Bethel. 2It went on from Bethel (that is, Luz),16:2 Septuagint; Hebrew Bethel to Luz crossed over to the territory of the Arkites in Ataroth, 3descended westward to the territory of the Japhletites as far as the region of Lower Beth Horon and on to Gezer, ending at the Mediterranean Sea.

4So Manasseh and Ephraim, the descendants of Joseph, received their inheritance.

5This was the territory of Ephraim, according to its clans:

The boundary of their inheritance went from Ataroth Addar in the east to Upper Beth Horon 6and continued to the Mediterranean Sea. From Mikmethath on the north it curved eastward to Taanath Shiloh, passing by it to Janoah on the east. 7Then it went down from Janoah to Ataroth and Naarah, touched Jericho and came out at the Jordan. 8From Tappuah the border went west to the Kanah Ravine and ended at the Mediterranean Sea. This was the inheritance of the tribe of the Ephraimites, according to its clans. 9It also included all the towns and their villages that were set aside for the Ephraimites within the inheritance of the Manassites.

10They did not dislodge the Canaanites living in Gezer; to this day the Canaanites live among the people of Ephraim but are required to do forced labor.

Kiswahili Contemporary Version

Yoshua 16:1-10

Mgawo Kwa Efraimu Na Manase

116:1 Yos 8:15; 12:9; 18:12Mgawanyo wa Yosefu ulianzia Yordani ya Yeriko, mashariki mwa miji ya Yeriko na kutoka hapo ulipanda kupitia jangwani na kuingia katika nchi ya vilima ya Betheli. 216:2 Mwa 28:19; 2Sam 15:32; Hes 32:3Ukaendelea kutoka Betheli (ndiyo Luzu), ukavuka kuingia eneo la Waariki huko Atarothi, 316:3 Yos 10:10; 10:33; 1Fal 9:15ukateremkia kuelekea magharibi hadi eneo la Wayafleti ukienea hadi eneo la Beth-Horoni ya Chini hadi Gezeri, ukiishia baharini.

416:4 Yos 17:14; 18:5Kwa hiyo Manase na Efraimu, wazao wa Yosefu, walipokea urithi wao.

516:5 Yos 18:13; 10:10Hili ndilo lilikuwa eneo la Efraimu, ukoo kwa ukoo:

Mpaka wa urithi wao ulianzia Ataroth-Adari upande wa mashariki hadi Beth-Horoni ya Juu, 616:6 Yos 17:7; 2Fal 15:29na kuendelea mpaka baharini. Kutoka Mikmeta upande wa kaskazini ulipinda kuelekea mashariki hadi Taanath-Shilo, ukiupita hadi Yanoa upande wa mashariki. 716:7 Hes 32:3Kisha uliteremka kutoka Yanoa hadi Atarothi na Naara, ukagusa Yeriko na kutokea katika Mto Yordani. 816:8 Yos 12:17; 17:9; 19:28Kutoka Tapua mpaka ulikwenda magharibi hadi Bonde la Kana na kuishia baharini. Huu ulikuwa ndio urithi wa kabila la Waefraimu, ukoo kwa ukoo. 916:9 Eze 48:5Pia ulijumuisha miji yote na vijiji vyake ambavyo vilitengwa kwa ajili ya Waefraimu ndani ya urithi wa kabila la Manase.

1016:10 Yos 15:63; 17:12-13; Amu 1:28-29; 1Fal 9:16Hawakuwatoa Wakanaani waishio Gezeri; mpaka leo Wakanaani wanaishi miongoni mwa watu wa Efraimu lakini wanatakiwa kufanya kazi ngumu za kulazimishwa.