Psalmen 111 – HTB & NEN

Het Boek

Psalmen 111:1-10

1Halleluja! Ik wil Jahweh loven met heel mijn hart In de kring en de gemeente der vromen: 2Groot zijn de werken van Jahweh, En door allen gezocht, die hun vreugd erin vinden. 3Zijn daden stralen van glorie en luister, En zijn gerechtigheid houdt eeuwig stand. 4Door zijn wonderen heeft Hij het in de herinnering gegrift: “Genadig en barmhartig is Jahweh!” 5Hij gaf voedsel aan hen, die Hem vreesden, En bleef zijn Verbond voor eeuwig indachtig; 6Hij heeft zijn volk zijn machtige daden getoond, Door hun het erfdeel der heidenen te schenken. 7Waarheid en recht zijn het werk zijner handen, Onveranderlijk al zijn geboden: 8Onwrikbaar voor altijd en eeuwig, Gedragen door trouw en door recht. 9Hij heeft zijn volk verlossing gebracht, Zijn Verbond voor eeuwig bekrachtigd; Heilig, ontzaglijk is zijn Naam! 10Het begin van de wijsheid is de vreze van Jahweh, En die haar beoefent, zal helder inzicht bekomen; Voor eeuwig zij Hij geprezen!

Kiswahili Contemporary Version (Neno: Bibilia Takatifu)

Zaburi 111:1-10

Zaburi 111111 Zaburi hii imetungwa kila mstari ukianzia na herufi ya alfabeti ya Kiebrania zikifuatana tangu Aleph (A) hadi Taw (T); zote ni 22.

Sifa Za Bwana Kwa Matendo Ya Ajabu

1111:1 Za 34:1; 109:30; 115:18; 145:10; 9:1; 89:7; 1:5Msifuni Bwana.

Nitamtukuza Bwana kwa moyo wangu wote,

katika baraza la wanyofu na katika kusanyiko.

2111:2 Ay 36:24; Za 143:5; 64:9; Ufu 15:3Kazi za Bwana ni kuu,

wote wanaopendezwa nazo huzitafakari.

3111:3 Za 112:3, 9; 119:142Kazi zake zimejaa fahari na utukufu,

haki yake hudumu daima.

4111:4 Kum 4:31; Za 86:15Amefanya maajabu yake yakumbukwe,

Bwana ni mwenye neema na huruma.

5111:5 Mwa 1:30; Za 37:25; 103:11; 105:8; Mt 6:26, 31-33; 1Nya 16:15Huwapa chakula wale wanaomcha,

hulikumbuka agano lake milele.

6111:6 Za 64:9; 66:3; 105:44Amewaonyesha watu wake uwezo wa kazi zake,

akiwapa nchi za mataifa mengine.

7111:7 Za 92:4; 19:7; 119:128Kazi za mikono yake ni za uaminifu na haki,

mausia yake yote ni ya kuaminika.

8111:8 Za 119:89, 152, 160; Isa 40:8; Mt 5:18Zinadumu milele na milele,

zikifanyika kwa uaminifu na unyofu.

9111:9 Za 34:22; 103:4; 130:7; 30:4; 99:3; Lk 1:68; 1:49Aliwapa watu wake ukombozi,

aliamuru agano lake milele:

jina lake ni takatifu na la kuogopwa.

10111:10 Ay 23:15; Kum 4:6; Za 19:9; 119:98, 104, 130; 28:6; 89:52Kumcha Bwana ndicho chanzo cha hekima,

wote wanaozifuata amri zake wana busara.

Sifa zake zadumu milele.