1 Beresosɛm 3 – AKCB & NEN

Akuapem Twi Contemporary Bible

1 Beresosɛm 3:1-24

Dawid Asefo

1Eyinom ne mmabarima a wɔwowoo wɔn maa Dawid wɔ Hebron.

Na nʼabakan din de Amnon a ne na a na ofi Yesreel no din de Ahinoam.

Ne ba a ɔto so abien no, na ne din de Daniel. Na ne na a ofi Karmel no din de Abigail.

2Ne ba a ɔto so abiɛsa no, na wɔfrɛ no Absalom. Na ne na din de Maaka a na ɔyɛ Gesurhene Talmai babea.

Ne ba a ɔto so anan din de Adoniya a ne na din de Hagit.

3Ne ba a ɔto so anum no, na wɔfrɛ no Sefatia. Na wɔfrɛ ne na Abital.

Ne ba a ɔto so asia no din de Yitream a na wɔfrɛ ne na Egla.

4Wɔwowoo mmabarima baasia yi nyinaa maa Dawid wɔ Hebron. Odii ade wɔ hɔ mfirihyia ason ne fa.

Dawid yii kuropɔn no kɔɔ Yerusalem, na odii ade mfirihyia aduasa abiɛsa wɔ hɔ. 5Mmabarima a wɔwowoo wɔn maa Dawid wɔ Yerusalem no ne:

Simea, Sobab, Natan ne Salomo. Amiel babea Batseba na ɔwoo saa mmarima yi.

6Wɔsan wowoo mmabarima baakron bi maa Dawid. Wɔne Yibhar, Elisua, Elifelet, 7Noga, Nefeg, Yafia, 8Elisama, Eliada ne Elifelet.

9Eyinom ne Dawid mmabarima a ne mpena mma nka ho. Na Dawid wɔ ɔbabea bi a wɔfrɛ no Tamar.

Salomo Asefo

10Na Salomo asefo yɛ

Rehoboam, Abia, Asa, Yehosafat,

11Yoram, Ahasia, Yoas,

12Amasia, Asaria, Yotam,

13Ahas, Hesekia, Manase,

14Amon ne Yosia.

15Na Yosia mmabarima ne

Yohanan a ɔyɛ abakan,

Yehoiakim to so abien,

Sedekia to so abiɛsa,

na Salum to so anan.

16Yehoiakim babarima Yehoiakyin na odii nʼade,

na ɔno nso ne wɔfa Sedekia bedii nʼade.

Yehoiakyin Asefo

17Yehoiakyin a Babiloniafo kyeree no kɔtoo afiase no

mmabarima ne Sealtiel, 18Malkiram, Pedaia, Senasar, Yekamia, Hosama ne Nedabia.

19Na Pedaia mmabarima yɛ

Serubabel ne Simei.

Na Serubabel mmabarima yɛ

Mesulam ne Hanania. Na ɔwɔ ɔbabea nso a ne din de Selomit. 20Na ne mmabarima baanum bi nso din ne Hasuba, Ohel, Berekia, Hasadia ne Yusab-Hesed.

21Na Hanania mmabarima din de

Pelatia ne Yesaia. Na Yesaia babarima din de Refaia. Na Refaia babarima din de Arnan. Na Arnan babarima din de Obadia. Na Obadia babarima din de Sekania.

22Na Sekania asefo yɛ

Semaia ne ne mmabarima Hatus, Igal, Baria, Nearia ne Safat. Na wɔn nyinaa yɛ baasia.

23Na Nearia mmabarima din de

Elioenai, Hiskia ne Asrikam. Na wɔyɛ baasa.

24Na Elioenai mmabarima din de

Hodawia, Eliasib, Pelaia, Akub, Yohanan, Delaia ne Anani. Na wɔyɛ baason.

Kiswahili Contemporary Version (Neno: Bibilia Takatifu)

1 Nyakati 3:1-24

Wana Wa Daudi

13:1 1Nya 14:3; 14:3; 28:5; Yos 15:56; 1Sam 25:42; 27:3Hawa ndio waliokuwa wana wa Daudi waliozaliwa huko Hebroni:

Mzaliwa wa kwanza alikuwa Amnoni ambaye mama yake aliitwa Ahinoamu wa Yezreeli;

wa pili, Danieli ambaye mama yake alikuwa Abigaili wa Karmeli;

23:2 1Fal 2:22wa tatu alikuwa Absalomu, ambaye mama yake alikuwa Maaka, binti Talmai mfalme wa Geshuri;

wa nne, Adoniya, ambaye mama yake alikuwa Hagithi;

33:3 2Sam 3:5wa tano alikuwa Shefatia ambaye mama yake alikuwa Abitali;

wa sita alikuwa Ithreamu, aliyezaliwa na mke wake Egla.

43:4 2Sam 5:4; 1Nya 29:27; 1Sam 2:11; 5:5; 1Fal 2:11Hawa sita walizaliwa huko Hebroni ambako Daudi alitawala kwa miaka saba na miezi sita.

Daudi alitawala Yerusalemu kwa miaka thelathini na mitatu, 53:5 2Sam 11:3; 12:24; 1Nya 14:4nao hawa ndio watoto wa Daudi waliozaliwa huko Yerusalemu:

mkewe Bathsheba, binti Amieli, alimzalia Shamua,3:5 Sawa na Shimea; maana yake ni Mashuhuri, Maarufu. Shobabu, Nathani na Solomoni. 6Pia kulikuwa na wana wengine: Ibihari, Elishua, Elifeleti, 7Noga, Nefegi, Yafia, 83:8 2Sam 5:14Elishama, Eliada na Elifeleti; wote walikuwa tisa. 93:9 2Sam 13:1; 1Nya 14:4; 2Sam 14:27Hawa wote walikuwa wana wa Daudi, mbali na wale wana waliozaliwa na masuria. Naye Tamari alikuwa dada yao.

Wafalme Wa Yuda

103:10 1Fal 14:21-31; 15:1-8; 2Nya 12:16; 13:1; 17:1–21:3Mwana wa Solomoni alikuwa Rehoboamu,

mwanawe huyo alikuwa Abiya,

mwanawe huyo alikuwa Yehoshafati,

mwanawe huyo alikuwa Asa,

113:11 2Fal 8:16-24; 2Nya 21:1; 22:1-10; 2Fal 11:1-12mwanawe huyo alikuwa Yehoramu,

mwanawe huyo alikuwa Ahazia,

mwanawe huyo alikuwa Yoashi,

123:12 2Fal 14:1-22; 2Nya 25:1-28; 27:1; Isa 1:1; 3:13; 2Nya 28:1; Isa 1:1; 2Fal 21:1-18; 2Nya 33:1mwanawe huyo alikuwa Amazia,

mwanawe huyo alikuwa Azaria,

mwanawe huyo alikuwa Yothamu,

13mwanawe huyo alikuwa Ahazi,

mwanawe huyo alikuwa Hezekia,

mwanawe huyo alikuwa Manase,

14mwanawe huyo alikuwa Amoni

na mwanawe huyo alikuwa Yosia.

153:15 2Fal 23:34; Yer 37:1; 2Fal 25:3Wana wa Yosia walikuwa:

Yohanani mzaliwa wake wa kwanza,

Yehoyakimu mwanawe wa pili,

wa tatu Sedekia,

wa nne Shalumu.

163:16 2Fal 24:6, 8; Mt 1:11; 2Fal 24:18Walioingia mahali pa Yehoyakimu kama wafalme ni:

Yekonia mwanawe,

na Sedekia.

Ukoo Wa Kifalme Baada Ya Uhamisho

173:17 Ezr 3:2Hawa ndio waliokuwa wazao wa Yekonia aliyekuwa mateka:

Shealtieli mwanawe, 183:18 Ezr 1:8; 5:14; Yer 22:30Malkiramu, Pedaya, Shenasari, Yekamia, Hoshama na Nedabia.

193:19 Hag 2:2; Zek 4:6; Ezr 3:2Wana wa Pedaya walikuwa:

Zerubabeli na Shimei.

Wana wa Zerubabeli walikuwa:

Meshulamu na Hanania.

Shelomithi alikuwa dada yao.

20Pia walikuwepo wengine watano:

Hashuba, Oheli, Berekia, Hasadia na Yushab-Hesedi.

21Wazao wa Hanania walikuwa:

Pelatia na Yeshaya, na wana wa Refaya, na wana wa Arnani, na wana wa Obadia, na wana wa Shekania.

223:22 Ezr 8:2-3Wazao wa Shekania:

Shemaya na wanawe:

Hatushi, Igali, Baria, Nearia na Shafati; jumla yao walikuwa sita.

23Wana wa Nearia walikuwa:

Elioenai, Hizkia na Azrikamu; jumla yao watatu.

24Wana wa Elioenai walikuwa:

Hodavia, Eliashibu, Pelaya, Akubu, Yohanani, Delaya na Anani; jumla yao wote saba.