Neno: Bibilia Takatifu

Matayo 1

Ukoo Wa Yesu Kristo

1Kumbukumbu ya vizazi vya ukoo wa Yesu Kristo mwana wa Daudi na wa Abrahamu: Abrahamu alikuwa baba yake Isaka; Isaka alikuwa baba yake Yakobo; na Yakobo alikuwa baba yake Yuda na ndugu zake. Yuda alikuwa baba yake Peresi na Zera ambao mama yao alikuwa Tamari; Peresi alikuwa baba yake Esroni; Esroni alikuwa baba yake Aramu; Aramu alikuwa baba yake Aminadabu; Aminadabu alikuwa baba yake Nashoni; Nashoni alikuwa baba yake Salmoni; Salmoni alikuwa baba yake Boazi na mama yake Salmoni alikuwa Rahabu. Boazi alikuwa baba yake Obedi, ambaye mama yake alikuwa Ruti; Obedi alikuwa baba yake Yese; Yese alikuwa baba yake Daudi ambaye alikuwa mfalme. Daudi alikuwa baba yake Solomoni ambaye mama yake ni yule aliyekuwa mke wa Uria; Solomoni alikuwa baba yake Rehoboamu; Rehoboamu alikuwa baba yake Abiya; Abiya alikuwa baba yake Asa; Asa alikuwa baba yake Yehoshafati; Yehoshafati alikuwa baba yake Yoramu; Yoramu alikuwa baba yake Uzia; Uzia alikuwa baba yake Yothamu; Yothamu alikuwa baba yake Ahazi; Ahazi alikuwa baba yake Hezekia; 10 Hezekia alikuwa baba yake Manase; Manase alikuwa baba yake Amoni; Amoni alikuwa baba yake Yosia; 11 wakati wa uhamisho wa Babiloni, Yosia alimzaa Yekonia na ndugu zake; 12 na baada ya uhamisho wa Babiloni Yekonia alimzaa Shealtieli; Shealtieli alikuwa baba yake Zerubabeli; 13 Zeru babeli alikuwa baba yake Abihudi; Abihudi alikuwa baba yake Eliakimu ; Eliakimu alikuwa baba yake Azori; 14 Azori alikuwa baba yake Zadoki; Zadoki alikuwa baba yake Akimu; Akimu alikuwa baba yake Eliudi; 15 Eliudi alikuwa baba yake Elieza; Elieza alikuwa baba yake Matani; Matani alikuwa baba yake Yakobo; 16 Yakobo alikuwa baba yake Yosefu ambaye alikuwa mumewe Mar ia, aliyemzaa Yesu anayeitwa Kristo. 17 Basi, kulikuwepo vizazi kumi na vinne tangu Abrahamu mpaka wakati wa mfalme Daudi; na vizazi kumi na vinne tangu mfalme Daudi hadi wakati wa uhamisho wa Babiloni na vizazi kumi na vinne tangu wakati wa uhamisho hadi Kristo.

Kuzaliwa Kwa Yesu Kristo

18 Kuzaliwa kwake Yesu Kristo kulikuwa hivi: Maria mama yake, alikuwa ameposwa na Yosefu. Lakini kabla ya ndoa yao, Mar ia akiwa bado bikira, alipata mimba kwa uweza wa Roho Mtakatifu. 19 Kwa kuwa Yosefu alikuwa mtu mwema hakutaka kumwaibisha mchumba wake Maria hadharani. Kwa hiyo aliamua kuvunja uchumba wao kwa siri. 20 Lakini alipokuwa bado anawaza juu ya jambo hili, malaika wa Bwana akamtokea katika ndoto akasema, “Yosefu mwana wa Daudi, usisite kumwoa Maria mchumba wako kwa maana mimba aliyo nayo ameipata kwa uweza wa Roho Mtakatifu. 21 Naye atamzaa mtoto wa kiume, nawe utamwita jina lake Yesu; kwa maana yeye ndiye atakayewaokoa watu wake kutoka katika dhambi zao.”

22 Hayo yote yalitokea ili kutimiza maneno ya Mungu yaliyos emwa na nabii wake: 23 “Tazama bikira atachukua mimba, naye atamzaa mtoto wa kiume nao watamwita Imanueli,” maana yake, “Mungu pamoja nasi”. 24 Yosefu alipoamka usingizini, alifanya kama alivyoagizwa na malaika wa Bwana; akamchukua mkewe Maria nyumbani kwake, 25 lakini hawakukaribiana mpaka Maria alipoji fungua mtoto wa kiume. Yosefu akamwita jina lake Yesu.

New International Reader's Version

Matthew 1

The Family Line of Jesus the Messiah

1This is the written story of the family line of Jesus the Messiah. He is the son of David. He is also the son of Abraham.

Abraham was the father of Isaac.

Isaac was the father of Jacob.

Jacob was the father of Judah and his brothers.

Judah was the father of Perez and Zerah. Tamar was their mother.

Perez was the father of Hezron.

Hezron was the father of Ram.

Ram was the father of Amminadab.

Amminadab was the father of Nahshon.

Nahshon was the father of Salmon.

Salmon was the father of Boaz. Rahab was Boaz’s mother.

Boaz was the father of Obed. Ruth was Obed’s mother.

Obed was the father of Jesse.

And Jesse was the father of King David.

David was the father of Solomon. Solomon’s mother had been Uriah’s wife.

Solomon was the father of Rehoboam.

Rehoboam was the father of Abijah.

Abijah was the father of Asa.

Asa was the father of Jehoshaphat.

Jehoshaphat was the father of Jehoram.

Jehoram was the father of Uzziah.

Uzziah was the father of Jotham.

Jotham was the father of Ahaz.

Ahaz was the father of Hezekiah.

10 Hezekiah was the father of Manasseh.

Manasseh was the father of Amon.

Amon was the father of Josiah.

11 And Josiah was the father of Jeconiah and his brothers. At that time, the Jewish people were forced to go away to Babylon.

12 After this, the family line continued.

Jeconiah was the father of Shealtiel.

Shealtiel was the father of Zerubbabel.

13 Zerubbabel was the father of Abihud.

Abihud was the father of Eliakim.

Eliakim was the father of Azor.

14 Azor was the father of Zadok.

Zadok was the father of Akim.

Akim was the father of Elihud.

15 Elihud was the father of Eleazar.

Eleazar was the father of Matthan.

Matthan was the father of Jacob.

16 Jacob was the father of Joseph. Joseph was the husband of Mary. And Mary was the mother of Jesus, who is called the Messiah.

17 So there were 14 generations from Abraham to David. There were 14 from David until the Jewish people were forced to go away to Babylon. And there were 14 from that time to the Messiah.

Joseph Accepts Jesus as His Son

18 This is how the birth of Jesus the Messiah came about. His mother Mary and Joseph had promised to get married. But before they started to live together, it became clear that she was going to have a baby. She became pregnant by the power of the Holy Spirit. 19 Her husband Joseph was faithful to the law. But he did not want to put her to shame in public. So he planned to divorce her quietly.

20 But as Joseph was thinking about this, an angel of the Lord appeared to him in a dream. The angel said, “Joseph, son of David, don’t be afraid to take Mary home as your wife. The baby inside her is from the Holy Spirit. 21 She is going to have a son. You must give him the name Jesus. That’s because he will save his people from their sins.”

22 All this took place to bring about what the Lord had said would happen. He had said through the prophet, 23 “The virgin is going to have a baby. She will give birth to a son. And he will be called Immanuel.” (Isaiah 7:14) The name Immanuel means “God with us.”

24 Joseph woke up. He did what the angel of the Lord commanded him to do. He took Mary home as his wife. 25 But he did not sleep with her until she gave birth to a son. And Joseph gave him the name Jesus.