Neno: Bibilia Takatifu

2 Timotheo 4

Maagizo Ya Mwisho

1Ninakuamuru mbele za Mungu na mbele za Kristo Yesu ambaye atawahukumu walio hai na wafu; na kwa kuja kwake na ufalme wake: hubiri Neno; lisisitize wakati ufaao na wakati usiofaa; sadik isha, kemea, na kuonya kwa uvumilivu mkuu na mafundisho thabiti. Maana wakati unakuja ambapo watu hawatavumilia kusikia mafund isho yenye uzima; bali kwa kuzifuata nia zao wenyewe watajilundi kia walimu tele watakaowaambia yale ambayo masikio yao yanatamani sana kuyasikia. Watakataa kabisa kusikia kweli na watageukia hadithi za uongo. Bali wewe uwe imara, katika mambo yote, vumilia mateso, fanya kazi ya mhubiri wa Injili, timiza wajibu wote wa huduma yako.

Maana mimi sasa ni tayari kutolewa kama sadaka, saa ya kuondoka kwangu imefika. Nimepigana ile vita njema, nimemaliza shindano, nimeitunza imani. Na sasa nimewekewa taji ya haki ambayo Bwana, mwamuzi wa haki, atanituza Siku ile; wala si mimi tu, bali na wote ambao wamengojea kwa hamu kuja kwake.

Maombi Ya Binafsi

Jitahidi kuja kuniona upesi 10 kwa sababu Dema, kwa kuu penda ulimwengu huu wa sasa, ameniacha akaenda Thesalonike. Kreske amekwenda Galatia na Tito amekwenda Dalmatia.

11 Ni Luka peke yake ambaye yupo hapa pamoja nami. Mchukue Marko uje pamoja naye kwa sababu ananisaidia katika huduma yangu. 12 Nimemtuma Tikiko Efeso. 13 Utakapokuja, niletee lile joho nililoliacha kwa Karpo huko Troa na vile vitabu, hasa vile vya ngozi.

14 Aleksanda mfua chuma alinitendea ubaya mkubwa. Mungu atamlipa kwa yale aliyonitendea. 15 Wewe pia ujihadhari naye kwa sababu alipinga vikali ujumbe wetu.

16 Nilipojitetea mara ya kwanza hakuna hata mmoja aliyekuwa upande wangu, kila mmoja alinikimbia. Naomba wasihesabiwe hatia kwa jambo hilo. 17 Lakini Bwana alisimama nami akanitia nguvu kutangaza Habari Njema kwa ukamilifu ili watu wote wa mataifa wapate kusikia. Na niliokolewa kutoka katika kinywa cha simba. 18 Bwana ataniokoa katika kila uovu na kunihifadhi mpaka niu fikie ufalme wake wa mbinguni. Atukuzwe Yeye milele na milele.

Salamu Za Mwisho

19 Nisalimie Prisila na Akila na wote waliomo nyumbani kwa Onesiforo. 20 Erasto alibaki Korintho. Trofimo nilimwacha akiwa mgonjwa huko Mileto.

21 Jitahidi kufika huku kabla ya majira ya baridi kali. Sal amu zako kutoka kwa Eubulo, Pude, Lino, Klaudia na ndugu wote.

New Living Translation

2 Timothy 4

1I solemnly urge you in the presence of God and Christ Jesus, who will someday judge the living and the dead when he comes to set up his Kingdom: Preach the word of God. Be prepared, whether the time is favorable or not. Patiently correct, rebuke, and encourage your people with good teaching.

For a time is coming when people will no longer listen to sound and wholesome teaching. They will follow their own desires and will look for teachers who will tell them whatever their itching ears want to hear. They will reject the truth and chase after myths.

But you should keep a clear mind in every situation. Don’t be afraid of suffering for the Lord. Work at telling others the Good News, and fully carry out the ministry God has given you.

As for me, my life has already been poured out as an offering to God. The time of my death is near. I have fought the good fight, I have finished the race, and I have remained faithful. And now the prize awaits me—the crown of righteousness, which the Lord, the righteous Judge, will give me on the day of his return. And the prize is not just for me but for all who eagerly look forward to his appearing.

Paul’s Final Words

Timothy, please come as soon as you can. 10 Demas has deserted me because he loves the things of this life and has gone to Thessalonica. Crescens has gone to Galatia, and Titus has gone to Dalmatia. 11 Only Luke is with me. Bring Mark with you when you come, for he will be helpful to me in my ministry. 12 I sent Tychicus to Ephesus. 13 When you come, be sure to bring the coat I left with Carpus at Troas. Also bring my books, and especially my papers.[a]

14 Alexander the coppersmith did me much harm, but the Lord will judge him for what he has done. 15 Be careful of him, for he fought against everything we said.

16 The first time I was brought before the judge, no one came with me. Everyone abandoned me. May it not be counted against them. 17 But the Lord stood with me and gave me strength so that I might preach the Good News in its entirety for all the Gentiles to hear. And he rescued me from certain death.[b] 18 Yes, and the Lord will deliver me from every evil attack and will bring me safely into his heavenly Kingdom. All glory to God forever and ever! Amen.

Paul’s Final Greetings

19 Give my greetings to Priscilla and Aquila and those living in the household of Onesiphorus. 20 Erastus stayed at Corinth, and I left Trophimus sick at Miletus.

21 Do your best to get here before winter. Eubulus sends you greetings, and so do Pudens, Linus, Claudia, and all the brothers and sisters.[c]

22 May the Lord be with your spirit. And may his grace be with all of you.

Notas al pie

  1. 4:13 Greek especially the parchments.
  2. 4:17 Greek from the mouth of a lion.
  3. 4:21 Greek brothers.