New Living Translation

John 2

The Wedding at Cana

1The next day[a] there was a wedding celebration in the village of Cana in Galilee. Jesus’ mother was there, and Jesus and his disciples were also invited to the celebration. The wine supply ran out during the festivities, so Jesus’ mother told him, “They have no more wine.”

“Dear woman, that’s not our problem,” Jesus replied. “My time has not yet come.”

But his mother told the servants, “Do whatever he tells you.”

Standing nearby were six stone water jars, used for Jewish ceremonial washing. Each could hold twenty to thirty gallons.[b] Jesus told the servants, “Fill the jars with water.” When the jars had been filled, he said, “Now dip some out, and take it to the master of ceremonies.” So the servants followed his instructions.

When the master of ceremonies tasted the water that was now wine, not knowing where it had come from (though, of course, the servants knew), he called the bridegroom over. 10 “A host always serves the best wine first,” he said. “Then, when everyone has had a lot to drink, he brings out the less expensive wine. But you have kept the best until now!”

11 This miraculous sign at Cana in Galilee was the first time Jesus revealed his glory. And his disciples believed in him.

12 After the wedding he went to Capernaum for a few days with his mother, his brothers, and his disciples.

Jesus Clears the Temple

13 It was nearly time for the Jewish Passover celebration, so Jesus went to Jerusalem. 14 In the Temple area he saw merchants selling cattle, sheep, and doves for sacrifices; he also saw dealers at tables exchanging foreign money. 15 Jesus made a whip from some ropes and chased them all out of the Temple. He drove out the sheep and cattle, scattered the money changers’ coins over the floor, and turned over their tables. 16 Then, going over to the people who sold doves, he told them, “Get these things out of here. Stop turning my Father’s house into a marketplace!”

17 Then his disciples remembered this prophecy from the Scriptures: “Passion for God’s house will consume me.”[c]

18 But the Jewish leaders demanded, “What are you doing? If God gave you authority to do this, show us a miraculous sign to prove it.”

19 “All right,” Jesus replied. “Destroy this temple, and in three days I will raise it up.”

20 “What!” they exclaimed. “It has taken forty-six years to build this Temple, and you can rebuild it in three days?” 21 But when Jesus said “this temple,” he meant his own body. 22 After he was raised from the dead, his disciples remembered he had said this, and they believed both the Scriptures and what Jesus had said.

Jesus and Nicodemus

23 Because of the miraculous signs Jesus did in Jerusalem at the Passover celebration, many began to trust in him. 24 But Jesus didn’t trust them, because he knew all about people. 25 No one needed to tell him about human nature, for he knew what was in each person’s heart.

Notas al pie

  1. 2:1 Greek On the third day; see 1:35, 43.
  2. 2:6 Greek 2 or 3 measures [75 to 113 liters].
  3. 2:17 Or “Concern for God’s house will be my undoing.” Ps 69:9.

Neno: Bibilia Takatifu

Yohana 2

Yesu Ahudhuria Harusi Mjini Kana

1Siku ya tatu kulikuwa na harusi katika mji wa Kana ulioko Galilaya. Mama yake Yesu alikuwapo na Yesu pamoja na wanafunzi wake walikuwa wamealikwa pia. Divai ilipowaishia, mama yake Yesu alimwambia, “Hawana divai.” Yesu akamjibu, “Mama, mbona unanihusisha kwenye jambo hili? Wakati wangu bado haujafika.” Mama yake akawaambia watumishi, “Lo lote atakalowaambia, fanyeni. ” Basi ilikuwapo hapo mitungi sita ya kuwekea maji ya kunawa, kufuatana na desturi ya Wayahudi ya kutawadha. Kila mtungi ungeweza kujazwa kwa madebe sita au saba ya maji. Yesu akawaambia wale watumishi, “Ijazeni mitungi hiyo maji.” Wakaijaza mpaka juu. Kisha akawaambia, “Sasa choteni maji kidogo mumpelekee mkuu wa sherehe.” Wakachota, wakampelekea. Yule mkuu wa sherehe akayaonja yale maji ambayo yalikuwa yame geuka kuwa divai. Hakujua divai hiyo imetoka wapi ingawa wale watumishi waliochota yale maji walifahamu. Basi akamwita bwana harusi kando 10 akamwambia, “Watu wote huwapa wageni divai nzuri kwanza kisha wakianza kutosheka huwaletea divai hafifu.

Imekuwaje wewe ukaiweka divai nzuri mpaka sasa?”

11 Hii ilikuwa ishara ya kwanza aliyofanya Yesu. Muujiza huu ulifanyika katika mji wa Kana huko Galilaya, ambako Yesu alidhi hirisha utukufu wake, na wanafunzi wake wakamwamini. 12 Baada ya haya, Yesu pamoja na mama yake, ndugu zake na wanafunzi wake, walikwenda Kapernaumu ambapo alikaa kwa siku chache.

Yesu Alitakasa Hekalu

13 Ilipokaribia sikukuu ya Wayahudi iitwayo Pasaka, Yesu alikwenda Yerusalemu. 14 Alipoingia Hekaluni aliwakuta watu wakiuza ng’ombe, kondoo na njiwa, na wengine wamekaa kwenye meza zao wakifanya biashara ya kubadilishana fedha. 15 Akatengeneza mjeledi wa kamba akawafukuza wote kutoka Hekaluni pamoja na kon doo na ng’ombe; akazipindua meza za wale waliokuwa wakibadilish ana fedha na kuzimwaga fedha zao. 16 Akawaambia wale waliokuwa wakiuza njiwa, “Watoeni hapa! Mnathubutuje kuifanya nyumba ya Baba yangu kuwa soko?” 17 Wanafunzi wake wakakumbuka kuwa Maan diko yalisema: “Upendo wangu kwa nyumba yako utaniangamiza.”

18 Viongozi wa Wayahudi wakamwuliza, “Unaweza kutuonyesha ishara gani kuthibitisha una mamlaka ya kufanya mambo haya?”

19 Yesu akawajibu, “Livunjeni hili Hekalu, nami nitalijenga tena kwa siku tatu!”

20 Wale Wayahudi wakamjibu, “Hekalu hili lilijengwa kwa muda wa miaka arobaini na sita. Wewe unasema unaweza kulijenga kwa siku tatu?”

21 Lakini yeye aliposema ‘Hekalu’ alikuwa anazungumzia mwili wake. 22 Kwa hiyo alipofufuliwa kutoka kwa wafu, wanafunzi wake walikumbuka maneno haya; wakayaamini Maandiko na yale maneno ali yosema Yesu.

23 Yesu alipokuwa Yerusalemu kwenye sikukuu ya Pasaka, watu wengi waliona ishara za ajabu alizokuwa akifanya, wakamwamini. 24 Lakini Yesu hakuwa na imani nao kwa sababu aliwajua binadamu wote. 25 Hakuhitaji mtu ye yote amwambie lo lote kuhusu bina damu. Alijua yote yaliyokuwa mioyoni mwao.