Book I
Psalms 1–41
Psalm 1
1Blessed is the one
who does not walk in step with the wicked
or stand in the way that sinners take
or sit in the company of mockers,
2but whose delight is in the law of the Lord,
and who meditates on his law day and night.
3That person is like a tree planted by streams of water,
which yields its fruit in season
and whose leaf does not wither –
whatever they do prospers.
4Not so the wicked!
They are like chaff
that the wind blows away.
5Therefore the wicked will not stand in the judgment,
nor sinners in the assembly of the righteous.
6For the Lord watches over the way of the righteous,
but the way of the wicked leads to destruction.
KITABU CHA KWANZA
(Zaburi 1–41)
Zaburi 1
Furaha Ya Kweli
11:1 Kum 33:29; Za 40:4; 26:9; 37:38; 51:13; 104:35; 26:4; 10:2-11; 128:4; 89:15; 81:12; Mwa 49:6; Isa 28:14; Hos 7:5; Ay 21:16; 11:3; 31:5; Mit 1:22; 4:14Heri mtu yule ambaye
haendi katika shauri la watu waovu,
wala hasimami katika njia ya wenye dhambi,
au kuketi katika baraza la wenye mizaha.
21:2 Za 19:7; 119:1, 16, 35; 112:1; Rum 7:22; Eze 11:20; 18:17; Mwa 24:63Bali huifurahia sheria ya Bwana,
naye huitafakari hiyo sheria usiku na mchana.
31:3 Za 46:4; 65:9; 52:8; 92:12, 14; 128:2, 3; Yer 11:16; Zek 4:3; Hes 24:6; Ay 14:9; Eze 17:5; 47:12; Isa 1:30; 64:6; Mwa 39:3Mtu huyo ni kama mti uliopandwa
kando ya vijito vya maji,
ambao huzaa matunda kwa majira yake
na majani yake hayanyauki.
Lolote afanyalo hufanikiwa.
Huzuni Ya Waovu
41:4 Ay 13:25; Isa 40:24; Yer 13:24Sivyo walivyo waovu!
Wao ni kama makapi
yapeperushwayo na upepo.
51:5 Za 5:5; 26:12; 35:28; 82:1; 89:5; 107:32; 111:1; 149:1; Ay 19:29; 1:6; Za 37:18; 121:5; 145:20; 9:6; Nah 1:7; Law 26:38; Yn 1:41Kwa hiyo waovu hawatastahimili hukumu,
wala wenye dhambi katika kusanyiko la wenye haki.
6Kwa maana Bwana huziangalia njia za mwenye haki,
bali njia ya waovu itaangamia.