Psalms 34 – NIV & NEN

New International Version

Psalms 34:1-22

Psalm 34This psalm is an acrostic poem, the verses of which begin with the successive letters of the Hebrew alphabet.In Hebrew texts 34:1-22 is numbered 34:2-23.

Of David. When he pretended to be insane before Abimelek, who drove him away, and he left.

1I will extol the Lord at all times;

his praise will always be on my lips.

2I will glory in the Lord;

let the afflicted hear and rejoice.

3Glorify the Lord with me;

let us exalt his name together.

4I sought the Lord, and he answered me;

he delivered me from all my fears.

5Those who look to him are radiant;

their faces are never covered with shame.

6This poor man called, and the Lord heard him;

he saved him out of all his troubles.

7The angel of the Lord encamps around those who fear him,

and he delivers them.

8Taste and see that the Lord is good;

blessed is the one who takes refuge in him.

9Fear the Lord, you his holy people,

for those who fear him lack nothing.

10The lions may grow weak and hungry,

but those who seek the Lord lack no good thing.

11Come, my children, listen to me;

I will teach you the fear of the Lord.

12Whoever of you loves life

and desires to see many good days,

13keep your tongue from evil

and your lips from telling lies.

14Turn from evil and do good;

seek peace and pursue it.

15The eyes of the Lord are on the righteous,

and his ears are attentive to their cry;

16but the face of the Lord is against those who do evil,

to blot out their name from the earth.

17The righteous cry out, and the Lord hears them;

he delivers them from all their troubles.

18The Lord is close to the brokenhearted

and saves those who are crushed in spirit.

19The righteous person may have many troubles,

but the Lord delivers him from them all;

20he protects all his bones,

not one of them will be broken.

21Evil will slay the wicked;

the foes of the righteous will be condemned.

22The Lord will rescue his servants;

no one who takes refuge in him will be condemned.

Kiswahili Contemporary Version (Neno: Bibilia Takatifu)

Zaburi 34:1-22

Zaburi 3434 Zaburi hii imetungwa kila mstari ukianzia na herufi ya alfabeti ya Kiebrania zikifuatana tangu Aleph (A) hadi Taw (T); zote ni 22.

Sifa Na Wema Wa Mungu

Zaburi ya Daudi, alipojifanya mwendawazimu mbele ya Abimeleki, ambaye alimfukuza, naye akaondoka.

134:1 Za 71:6; Efe 5:20; 1The 5:18Nitamtukuza Bwana nyakati zote,

sifa zake zitakuwa midomoni mwangu siku zote.

234:2 Za 44:8; 69:32; 107:42; 119:74; Yer 9:24; 1Kor 1:31Nafsi yangu itajisifu katika Bwana,

walioonewa watasikia na wafurahi.

334:3 Za 63:3; 86:12; Dan 4:37; Kut 15:2; Yn 17:1; Rum 15:6Mtukuzeni Bwana pamoja nami,

naam, na tulitukuze jina lake pamoja.

434:4 Za 18:6; 77:2; 18:43; 22:4; 56:13; 86:13; Kut 32:11; Yon 2:2; Mt 7:7; Lk 11:9Nilimtafuta Bwana naye akanijibu,

akaniokoa kwenye hofu zangu zote.

534:5 Kut 34:29; Za 25:3; 44:15; 69:7; 83:16Wale wamtazamao hutiwa nuru,

nyuso zao hazifunikwi na aibu kamwe.

634:6 Za 25:17; 2Sam 22:1Maskini huyu alimwita Bwana, naye akamsikia,

akamwokoa katika taabu zake zote.

734:7 Mwa 32:1; Ebr 1:14; Dan 3:28; 6:22; Mt 18:10; Isa 31:5; Za 22:4; 37:40; 41:1; 97:10; Mdo 12:11; 2Fal 16:17Malaika wa Bwana hufanya kituo

akiwazunguka wale wamchao,

naye huwaokoa.

834:8 Ebr 6:5; 1Pet 2:3; Za 2:12Onjeni mwone kwamba Bwana ni mwema,

heri mtu yule anayemkimbilia.

934:9 Flp 4:19; Za 23:1; Kum 6:13; Ufu 14:7Mcheni Bwana enyi watakatifu wake,

kwa maana wale wamchao

hawapungukiwi na chochote.

1034:10 Za 23:1Wana simba wenye nguvu

hutindikiwa na kuona njaa,

bali wale wamtafutao Bwana

hawatakosa kitu chochote kilicho chema.

1134:11 Za 66:16; 32:8; 19:9Njooni, watoto wangu, mnisikilize,

nitawafundisha kumcha Bwana.

1234:12 Mhu 3:13; 1Pet 3:10Yeyote kati yenu anayependa uzima

na kutamani kuziona siku nyingi njema,

1334:13 1Pet 2:22; Za 39:1; 141:3; Mit 13:3; 21:23; Yak 1:26; Za 12:2basi auzuie ulimi wake na mabaya,

na midomo yake kutokana na kusema uongo.

1434:14 Za 37:27; Isa 1:17; 3Yn 11; Rum 14:19Aache uovu, atende mema,

aitafute amani na kuifuatilia.

1534:15 Ay 36:7; 23:10; Mal 3:16; Yn 9:31; Za 33:18Macho ya Bwana huwaelekea wenye haki,

na masikio yake yako makini kusikiliza kilio chao.

1634:16 Law 17:10; Za 9:6; Yer 23:30; 44:11; Mit 10:7; Kut 17:14; 1Pet 3:10-12Uso wa Bwana uko kinyume na watendao maovu,

ili kufuta kumbukumbu lao duniani.

1734:17 Za 145:19Wenye haki hulia, naye Bwana huwasikia,

huwaokoa katika taabu zao zote.

1834:18 Kum 4:7; Za 51:17; 119:151; 145:18; 109:16; 147:3; Isa 50:8; 61:1Bwana yu karibu na waliovunjika moyo,

na huwaokoa waliopondeka roho.

1934:19 Za 34:17; 25:17; Ay 5:19; 2Tim 3:11Mwenye haki ana mateso mengi,

lakini Bwana humwokoa nayo yote,

2034:20 Yn 19:34huhifadhi mifupa yake yote,

hata mmoja hautavunjika.

2134:21 Za 7:9; 9:16; 37:20; 73:27; 94:23; 106:43; 112:10; 140:11; Mit 14:32; 24:16Ubaya utamuua mtu mwovu,

nao adui za mwenye haki watahukumiwa.

2234:22 Kut 6:6; 15:13; Lk 1:68; Ufu 14:3; Za 2:12; 103:4; 2Sam 4:9Bwana huwakomboa watumishi wake,

yeyote anayemkimbilia yeye

hatahukumiwa kamwe.