Amos 6 – NIV & NEN

New International Version

Amos 6:1-14

Woe to the Complacent

1Woe to you who are complacent in Zion,

and to you who feel secure on Mount Samaria,

you notable men of the foremost nation,

to whom the people of Israel come!

2Go to Kalneh and look at it;

go from there to great Hamath,

and then go down to Gath in Philistia.

Are they better off than your two kingdoms?

Is their land larger than yours?

3You put off the day of disaster

and bring near a reign of terror.

4You lie on beds adorned with ivory

and lounge on your couches.

You dine on choice lambs

and fattened calves.

5You strum away on your harps like David

and improvise on musical instruments.

6You drink wine by the bowlful

and use the finest lotions,

but you do not grieve over the ruin of Joseph.

7Therefore you will be among the first to go into exile;

your feasting and lounging will end.

The Lord Abhors the Pride of Israel

8The Sovereign Lord has sworn by himself—the Lord God Almighty declares:

“I abhor the pride of Jacob

and detest his fortresses;

I will deliver up the city

and everything in it.”

9If ten people are left in one house, they too will die. 10And if the relative who comes to carry the bodies out of the house to burn them6:10 Or to make a funeral fire in honor of the dead asks anyone who might be hiding there, “Is anyone else with you?” and he says, “No,” then he will go on to say, “Hush! We must not mention the name of the Lord.”

11For the Lord has given the command,

and he will smash the great house into pieces

and the small house into bits.

12Do horses run on the rocky crags?

Does one plow the sea6:12 With a different word division of the Hebrew; Masoretic Text plow there with oxen?

But you have turned justice into poison

and the fruit of righteousness into bitterness—

13you who rejoice in the conquest of Lo Debar6:13 Lo Debar means nothing.

and say, “Did we not take Karnaim6:13 Karnaim means horns; horn here symbolizes strength. by our own strength?”

14For the Lord God Almighty declares,

“I will stir up a nation against you, Israel,

that will oppress you all the way

from Lebo Hamath to the valley of the Arabah.”

Kiswahili Contemporary Version (Neno: Bibilia Takatifu)

Amosi 6:1-14

Ole Kwa Wanaoridhika

16:1 Lk 6:24; Isa 32:9-11; Ay 24:23; Sef 1:12; Amo 3:9Ole wenu ninyi mnaostarehe na kuridhika katika Sayuni,

na ninyi mnaojisikia salama juu ya Mlima Samaria,

ninyi watu mashuhuri wa taifa lililoendelea kuliko mataifa mengine,

ambao watu wa Israeli wanawategemea!

26:2 2Fal 17:24; Yer 49:23; Isa 10:9; 2Fal 14:25; Hes 34:8; Mwa 10:10; 2Nya 26:6; Yos 11:22Nendeni Kalne mkaone kutoka huko;

mwende hadi Hamathi iliyo kuu,

kisha mshuke hadi Gathi ya Wafilisti.

Je, wao ni bora kuliko falme zenu mbili?

Je, nchi yao ni kubwa kuliko yenu?

36:3 Isa 47:7; 56:12; Eze 12:22, 27; Mhu 8:11; Amo 5:18; 9:10Mnaiweka mbali siku iliyo mbaya

na kuleta karibu utawala wa kuogofya.

46:4 Isa 1:11; Eze 34:2-3; Amo 3:12; Mit 3:12; 7:17; Es 1:6Ninyi mnalala juu ya vitanda vilivyofunikwa kwa pembe za ndovu,

na kujinyoosha juu ya viti vya fahari.

Mnajilisha kwa wana-kondoo wazuri

na ndama walionenepeshwa.

56:5 Isa 5:12; 14:11; Za 137:2; Amo 5:23; 1Nya 15:16Ninyi mnapiga vinubi kama Daudi,

huku mkitunga nyimbo za vinanda mbalimbali.

66:6 Isa 28:1; Amo 2:8; Eze 9:4; 16:49Mnakunywa mvinyo kwa bakuli zilizojazwa,

na mnajipaka mafuta mazuri,

lakini hamhuzuniki kwa maangamizi ya Yosefu.

7Kwa hiyo mtakuwa miongoni mwa watu wa kwanza kwenda uhamishoni;

karamu zenu na kustarehe kutakoma.

Bwana Anachukia Kiburi Cha Israeli

86:8 Mwa 22:16; Ebr 6:13; Law 26:19, 30; Za 47:4; Kum 32:19; Yer 12:8; Amo 4:2Bwana Mwenyezi ameapa kwa nafsi yake mwenyewe: Bwana Mungu Mwenye Nguvu Zote asema:

“Nachukia kiburi cha Yakobo,

nachukia ngome zake;

nitautoa mji wao na kila kitu

kilichomo ndani mwake.”

9Kama watu kumi watabaki katika nyumba moja, wao pia watakufa. 106:10 1Sam 31:12; Amo 8:3Kama jamaa ambaye atachoma miili akija ili kuitoa nje ya nyumba, na kumuuliza yeyote ambaye bado anajificha humo, “Je, yuko mtu yeyote pamoja nawe?” Naye akisema, “Hapana,” ndipo atakaposema, “Nyamaza kimya! Haturuhusiwi kutaja jina la Bwana.”

116:11 Amo 3:15; Isa 55:11; 34:5Kwa kuwa Bwana ameamuru,

naye atabomoa jumba kubwa vipande vipande

na nyumba ndogo vipande vidogo vidogo.

126:12 Hos 10:4; Isa 1:21; Amo 5:7; 3:10Je, farasi waweza kukimbia kwenye miamba mikali?

Je, aweza mtu kulima huko kwa maksai?

Lakini mmegeuza haki kuwa sumu

na matunda ya uadilifu kuwa uchungu:

136:13 Ay 13:8; 8:15; Isa 28:14-15ninyi mnaoshangilia kushindwa kwa Lo-Debari

na kusema, “Je, hatukuteka Karnaimu kwa nguvu zetu wenyewe?”

146:14 Yer 5:15; Hes 13:21; 1Fal 8:65; Amo 3:11Maana Bwana Mungu Mwenye Nguvu Zote asema,

“Nitainua taifa dhidi yenu, ee nyumba ya Israeli,

nalo litawatesa kuanzia Lebo-Hamathi

hadi Bonde la Araba.”