Zaburi 67 – NEN & CCB

Kiswahili Contemporary Version (Neno: Bibilia Takatifu)

Zaburi 67:1-7

Zaburi 67

Mataifa Yahimizwa Kumsifu Mungu

Kwa mwimbishaji. Na ala za nyuzi za muziki. Zaburi. Wimbo.

167:1 Hes 6:24-26; Za 4:6; 31:16; 119:135; 2Kor 4:6Mungu aturehemu na kutubariki,

na kutuangazia nuru za uso wake,

267:2 Isa 40:5; 52:10; 62:1, 2; Lk 2:30-32; Tit 2:11; Za 98:2; Mdo 10:35; 13:10ili njia zako zijulikane duniani,

wokovu wako katikati ya mataifa yote.

367:3 Za 67:5; Isa 24:15, 16Ee Mungu, mataifa na wakusifu,

mataifa yote na wakusifu.

467:4 Za 100:1-2; 9:4; 96:10-13; 68:32Mataifa yote wafurahi na kuimba kwa shangwe,

kwa kuwa unatawala watu kwa haki

na kuongoza mataifa ya dunia.

567:5 Za 67:3Ee Mungu, mataifa na wakusifu,

mataifa yote na wakusifu.

667:6 Mwa 8:22; 12:2; Law 26:4; Za 85:12; Isa 55:10; Eze 34:27; Zek 8:12Ndipo nchi itatoa mazao yake,

naye Mungu, Mungu wetu, atatubariki.

767:7 Za 2:8; 33:8Mungu atatubariki

na miisho yote ya dunia itamcha yeye.

Chinese Contemporary Bible (Simplified)

诗篇 67:1-7

第 67 篇

赞美上帝

一首诗歌,交给乐长,用弦乐器。

1上帝啊,求你恩待我们,

赐福给我们,笑颜垂顾我们。(细拉)

2这样,普世都会知道你的道路,

万国都会知道你的拯救之恩。

3上帝啊,

愿列邦都赞美你,

愿万族都称颂你。

4愿列国欢呼歌唱,

因为你以公义审判列邦,

引导世上的列国。(细拉)

5上帝啊,愿列邦赞美你,

愿万族都称颂你。

6大地出产丰富。

上帝,我们的上帝要赐福我们。

7上帝要赐福我们,

普天下都要敬畏祂。