Zaburi 48 – NEN & KJV

Kiswahili Contemporary Version (Neno: Bibilia Takatifu)

Zaburi 48:1-14

Zaburi 48

Sayuni, Mji Wa Mungu

Wimbo. Zaburi ya wana wa Kora.

148:1 2Sam 22:4; Mik 4:1; Yer 10:6; 31:23; Za 86:10; 96:4; 99:2; 135:5; 147:5; 46:4; 87:1; 18:3; 2:6; 1Nya 16:25; Kum 33:19; Isa 2:2; 11:9; 32:16; Zek 8:3; Oba 1:17; Dan 9:16Bwana ni mkuu, anayestahili kusifiwa sana,

katika mji wa Mungu wetu,

mlima wake mtakatifu.

248:2 Isa 14:13; Za 2:6; 50:2; Mao 2:15; Eze 16:14; 20:6; Yos 13:17; Mt 5:35; Yer 3:19Ni mzuri katika kuinuka kwake juu sana,

furaha ya dunia yote.

Kama vilele vya juu sana vya Safoni48:2 Safoni inaweza ikawa na maana ya mlima mtakatifu au upande wa kaskazini. ni Mlima Sayuni,

mji wa Mfalme Mkuu.

348:3 Za 122:7; 18:2Mungu yuko katika ngome zake;

amejionyesha mwenyewe kuwa ngome yake.

448:4 2Sam 10:1-19Wakati wafalme walipounganisha nguvu,

waliposonga mbele pamoja,

548:5 Kut 15:16walimwona nao wakashangaa,

wakakimbia kwa hofu.

648:6 Ay 4:14; Mwa 3:16Kutetemeka kuliwashika huko,

maumivu kama ya mwanamke

mwenye utungu wa kuzaa.

748:7 Mwa 10:4; 41:6; 1Fal 10:22; 22:48; Eze 27:26Uliwaangamiza kama meli za Tarshishi

zilizovunjwa na upepo wa mashariki.

848:8 Yer 23:6; Mik 4:1; Zek 8:13; 14:11; Isa 2:2Kama tulivyokuwa tumesikia,

ndivyo tulivyoona

katika mji wa Bwana Mwenye Nguvu Zote,

katika mji wa Mungu wetu:

Mungu ataufanya uwe salama milele.

948:9 Za 39:3; 6:4Ee Mungu, hekaluni mwako

tunatafakari upendo wako usiokoma.

1048:10 Kut 6:3; Isa 11:12; 24:16; 42:10; 49:6; Yos 7:9; 1Sam 2:10; Za 22:27; 100:1; 65:5; 98:3; Mal 1:1Ee Mungu, kama jina lako lilivyo,

sifa zako zinafika hadi miisho ya dunia,

mkono wako wa kuume umejazwa na haki.

1148:11 Za 97:8Mlima Sayuni unashangilia,

vijiji vya Yuda vinafurahi

kwa sababu ya hukumu zako.

1248:12 Neh 3:1Tembeeni katika Sayuni,

uzungukeni mji,

hesabuni minara yake;

1348:13 2Sam 20:15; Isa 26:1; Mao 2:8; Hab 2:1; Za 78:6; 71:18; 109:13yatafakarini vyema maboma yake,

angalieni ngome zake,

ili mpate kusimulia habari zake

kwa kizazi kijacho.

1448:14 Za 25:5; 73:24; Mit 6:22; Isa 25:9; 49:10; 57:18; 58:11Kwa kuwa huyu Mungu ni Mungu wetu milele na milele;

atakuwa kiongozi wetu hata mwisho.

King James Version

Psalms 48:1-14

A Song and Psalm for the sons of Korah.

1Great is the LORD, and greatly to be praised in the city of our God, in the mountain of his holiness.48.1 for: or, of

2Beautiful for situation, the joy of the whole earth, is mount Zion, on the sides of the north, the city of the great King.

3God is known in her palaces for a refuge.

4For, lo, the kings were assembled, they passed by together.

5They saw it, and so they marvelled; they were troubled, and hasted away.

6Fear took hold upon them there, and pain, as of a woman in travail.

7Thou breakest the ships of Tarshish with an east wind.

8As we have heard, so have we seen in the city of the LORD of hosts, in the city of our God: God will establish it for ever. Selah.

9We have thought of thy lovingkindness, O God, in the midst of thy temple.

10According to thy name, O God, so is thy praise unto the ends of the earth: thy right hand is full of righteousness.

11Let mount Zion rejoice, let the daughters of Judah be glad, because of thy judgments.

12Walk about Zion, and go round about her: tell the towers thereof.

13Mark ye well her bulwarks, consider her palaces; that ye may tell it to the generation following.48.13 Mark…: Heb. Set your heart to48.13 consider: or, raise up

14For this God is our God for ever and ever: he will be our guide even unto death.