Zaburi 146 – NEN & NUB

Kiswahili Contemporary Version (Neno: Bibilia Takatifu)

Zaburi 146:1-10

Zaburi 146

Kumsifu Mungu Mwokozi

1146:1 Za 103:1; 104:1Msifuni Bwana!146:1 Msifuni Bwana kwa Kiebrania ni Hallelu Yah.

Ee nafsi yangu, umsifu Bwana,

2146:2 Za 104:33; 63:4; 105:2Nitamsifu Bwana maisha yangu yote;

nitamwimbia Mungu wangu sifa

wakati wote niishipo.

3146:3 Za 118:9; 60:11; 108:12; Isa 2:22Usiweke tumaini lako kwa wakuu,

kwa wanadamu ambao hufa,

ambao hawawezi kuokoa.

4146:4 Mhu 12:7; Mwa 3:19; Ay 7:21; 1Kor 2:6; Za 103:14; 33:10Roho yao itokapo hurudi mavumbini,

siku hiyo hiyo mipango yao yote hukoma.

5146:5 Za 119:43; 37:9; 144:15; 33:18; 71:5; 70:5; 121:2; Yer 17:7Heri yeye ambaye Mungu wa Yakobo ni msaada wake,

ambaye tumaini lake ni katika Bwana, Mungu wake,

6146:6 2Nya 2:12; Za 18:25; 108:4; 117:2; 115:15; Mdo 14:15; Kum 7:9; Mik 7:20; Ufu 10:6; 14:7Muumba wa mbingu na nchi,

na bahari na vyote vilivyomo ndani yake:

Bwana anayedumu kuwa mwaminifu

milele na milele.

7146:7 Za 37:17; 103:6; 107:9; 145:15; 66:11; 68:6Naye huwapatia haki walioonewa

na kuwapa wenye njaa chakula.

Bwana huwaweka wafungwa huru,

8146:8 Isa 32:3; 29:18; 35:5; 42:7, 18, 19; 43:8; Ay 23:10; Kut 4:11; Za 38:6; Kum 7:13; Mt 11:5; Mit 20:12Bwana huwafumbua vipofu macho,

Bwana huwainua waliolemewa na mizigo yao,

Bwana huwapenda wenye haki.

9146:9 Law 19:34; Za 10:18; Kut 22:22; Yak 1:27Bwana huwalinda wageni

na kuwategemeza yatima na wajane,

lakini hupinga njia za waovu.

10146:10 Mwa 21:33; 1Nya 16:31; Za 93:1; 99:1; Ufu 11:15Bwana atamiliki milele,

Mungu wako, ee Sayuni,

kwa vizazi vyote.

Msifuni Bwana.

Swedish Contemporary Bible

Psaltaren 146:1-10

Psalm 146

Herrens eviga trofasthet

1Halleluja!

Lova Herren, min själ!

2Jag vill prisa Herren så länge jag lever,

lovsjunga min Gud så länge jag finns till.

3Lita inte på de mäktiga,

på människor som inte kan rädda.

4När människans ande lämnar henne

återvänder hon till stoftet,

och alla hennes planer blir om intet.

5Men lycklig är den som väntar på hjälp från Jakobs Gud,

och hoppas på Herren, sin Gud.

6Han har gjort himlen och jorden,

haven och allt som finns i dem.

Hans trofasthet består för evigt.

7Han skaffar rätt åt de förtryckta

och ger mat till de hungriga.

Herren befriar fångarna.

8Herren öppnar de blindas ögon.

Herren lyfter upp de nerböjda.

Herren älskar de rättfärdiga.

9Herren skyddar främlingar

och har omsorg om faderlösa och änkor,

men de gudlösas planer hindrar han.

10Herren är kung för evigt, din Gud, Sion,

från generation till generation.

Halleluja!