Zaburi 114 – NEN & KJV

Kiswahili Contemporary Version (Neno: Bibilia Takatifu)

Zaburi 114:1-8

Zaburi 114

Maajabu Ya Mungu Wakati Israeli Walipotoka Misri

1114:1 Kut 13:3; 29:46Wakati Israeli walipotoka Misri,

nyumba ya Yakobo kutoka kwa watu wa lugha ngeni,

2114:2 Kut 15:17; Za 76:1; 78:68, 69Yuda alifanywa makao matakatifu ya Mungu,

Israeli akawa milki yake.

3114:3 Kut 14:21; Za 77:16; Kut 15:8; Yos 3; 16Bahari ilitazama ikakimbia,

Yordani ulirudi nyuma,

4114:4 Amu 5:5milima ilirukaruka kama kondoo dume,

vilima kama wana-kondoo.

5114:5 Kut 14:21Ee bahari, ni nini kilichokufanya ukakimbia,

nawe, ee Yordani, ukarudi nyuma,

6enyi milima mkarukaruka kama kondoo dume,

enyi vilima, kama wana-kondoo?

7114:7 Kut 15:14; 1Nya 16:30Ee dunia, tetemeka mbele za Bwana,

mbele za Mungu wa Yakobo,

8114:8 Kut 17:6; Hes 20:11aliyegeuza mwamba kuwa dimbwi la maji,

mwamba mgumu kuwa chemchemi za maji.

King James Version

Psalms 114:1-8

1When Israel went out of Egypt, the house of Jacob from a people of strange language;

2Judah was his sanctuary, and Israel his dominion.

3The sea saw it, and fled: Jordan was driven back.

4The mountains skipped like rams, and the little hills like lambs.

5What ailed thee, O thou sea, that thou fleddest? thou Jordan, that thou wast driven back?

6Ye mountains, that ye skipped like rams; and ye little hills, like lambs?

7Tremble, thou earth, at the presence of the Lord, at the presence of the God of Jacob;

8Which turned the rock into a standing water, the flint into a fountain of waters.