Waamuzi 2 – NEN & CCB

Kiswahili Contemporary Version (Neno: Bibilia Takatifu)

Waamuzi 2:1-23

Malaika Wa Bwana Huko Bokimu

12:1 Mwa 16:7; Kum 11:30; Kut 20:2; Amu 6:8; Law 26:42-44; Kum 7:9Malaika wa Bwana akakwea kutoka Gilgali hadi Bokimu, naye akasema, “Niliwapandisha kutoka Misri na kuwaingiza katika nchi niliyoapa kuwapa baba zenu. Nikasema, ‘Kamwe sitalivunja Agano langu nanyi. 22:2 Kut 23:32; 34:12; Kum 7:2; Kut 23:24; 34:13; Kum 7:5; 2Nya 14:3; Yer 7:28Nanyi msifanye agano na watu wa nchi hii, bali mtazibomoa madhabahu yao.’ Lakini ninyi hamkunitii mimi. Kwa nini mmefanya jambo hili? 32:3 Yos 23:13; Hes 33:55; Kut 10:7; Za 106:36Sasa basi ninawaambia kuwa sitawafukuza watoke katikati yenu ila watakuwa miiba kwenu, nao miungu yao itakuwa tanzi kwenu.”

42:4 Mwa 27:38; Hes 25:6; 2Fal 17:13Malaika wa Bwana alipomaliza kusema mambo haya kwa Waisraeli wote, watu wakalia kwa sauti kuu. 5Wakapaita mahali pale Bokimu. Nao wakamtolea Bwana sadaka.

Kifo Cha Yoshua

6Baada ya Yoshua kuwapa watu ruhusa waende zao, Waisraeli wakaenda kwenye urithi wao wenyewe ili kumiliki nchi yao. 7Watu wakamtumikia Bwana siku zote za maisha ya Yoshua, na za hao wazee walioishi baada ya Yoshua kufa, waliokuwa wameona mambo makuu ambayo Bwana alikuwa ametenda kwa ajili ya Israeli.

8Yoshua mwana wa Nuni, mtumishi wa Bwana, akafa akiwa na umri wa miaka 110. 92:9 Yos 19:50Wakamzika katika nchi ya urithi wake, huko Timnath-Heresi2:9 Unajulikana pia kama Timnath-Sera, ona Yos 19:50; 24:30. katika nchi ya vilima ya Efraimu, kaskazini ya Mlima Gaashi.

102:10 1Nya 28:9; Kut 5:2; Gal 4:8Baada ya kizazi kile chote kukusanywa pamoja na baba zao, kikainuka kizazi kingine baada yao ambacho hakikumjua Bwana, wala matendo yale aliyokuwa ametenda kwa ajili ya Waisraeli. 112:11 1Fal 15:26; Amu 3:12; 4:1; 6:1; 3:7; 8:33; 1Fal 16:31; 22:53; 2Fal 10:18; 17:16Kwa hiyo Waisraeli wakatenda maovu machoni pa Bwana na kuwatumikia Mabaali. 122:12 Kum 32:12; Za 106:36; Kum 31:16; Amu 10:6; Hes 11:33; Kum 4:25; Za 78:5, 8; 106:40Wakamwacha Bwana, Mungu wa baba zao, aliyekuwa amewatoa katika nchi ya Misri. Wakaifuata na kuiabudu miungu mbalimbali ya mataifa yanayowazunguka. Wakamkasirisha Bwana, 132:13 1Sam 7:3; 1Fal 11:5, 33; 2Fal 23:13; Amu 3:7; 5:8; 6:25; 8:33; 10:6; 1Sam 31:10; Neh 9:26; Za 78:56; Yer 11:10kwa sababu walimwacha na kutumikia Baali na Maashtorethi. 142:14 Kum 31:17; Neh 9:27; Za 106:41; 44; 10; 89:41; Eze 34:8; Kum 32:30; Amu 3:8; Kum 28:25Hivyo hasira ya Bwana ikawaka juu ya Israeli, naye akawatia mikononi mwa wavamizi waliowateka nyara. Akawauza katika mikono ya adui zao pande zote, hivyo hawakuweza tena kuwazuia adui zao. 152:15 Rum 1:13; Ay 19:21; 5:5; 20:22; Za 32:4; Mwa 35:3; 2Sam 22:7; 2Nya 15:4; Za 18:6Popote Israeli walipotoka kwenda kupigana, mkono wa Bwana ulikuwa kinyume nao ili kuwashinda, kama vile alivyokuwa amewaapia. Nao wakawa katika taabu kubwa.

162:16 Rum 1; 1; 1Sam 4:18; 7:6, 15; 2Sam 7:11; 1Nya 17:10; Mdo 13:20; 1Sam 11:3; Za 106:43Ndipo Bwana akawainua waamuzi, ambao waliwaokoa katika mikono ya hao watu waliowashambulia. 172:17 Kut 34:15; Hes 15:39; Za 4:2; Neh 9:26; Za 106:36; Kum 9:12Lakini hawakuwasikiliza hata waamuzi wao, bali walifanya uasherati kwa kuifuata miungu mingine na kuiabudu. Waligeuka mara na kuiacha njia ambayo baba zao waliiendea, yaani, njia ya kutii amri za Bwana. 182:18 1Sam 7:3; 2Fal 13:5; Isa 19:20; 43:3, 11; 45:15, 21; 49:20; 60:16; 63:8; Hes 10:9; Kum 32:36; Kut 2:23Kila mara Bwana alipowainulia mwamuzi, Bwana alikuwa pamoja na huyo mwamuzi, naye aliwaokoa kutoka mikononi mwa adui zao kwa kipindi chote alichoishi yule mwamuzi. Kwa kuwa Bwana aliwahurumia kwa sababu ya kilio chao cha huzuni kwa ajili ya wale waliokuwa wakiwatesa na kuwataabisha. 192:19 Mwa 6:11; Kum 4:16; 32:17; Neh 9:2; Za 78:57; Yer 44:9; Amu 4:1; 8:33; Kut 32:9Lakini kila mara mwamuzi alipofariki, watu walirudia katika hali mbaya ya uovu zaidi kuliko baba zao, wakiifuata miungu mingine kuitumikia na kuiabudu. Walikataa kuacha matendo yao maovu na njia zao za ukaidi.

202:20 Kum 31:17; Yos 23:16; 7:11; 1Fal 17:15Kwa hiyo Bwana akawakasirikia sana Israeli na kusema, “Kwa kuwa taifa hili limevunja Agano lile nililofanya na baba zao na hawakunisikiliza, 212:21 Yos 23:5mimi nami sitafukuza taifa lolote ambalo Yoshua aliliacha alipofariki. 222:22 Mwa 22:1; Kut 15:25Nitayatumia ili nipate kuwapima Israeli na kuona kama wataishika njia ya Bwana na kuenenda katika hiyo kama njia baba zao walivyofanya.” 232:23 Amu 1:1Bwana alikuwa ameyaacha hayo mataifa yabaki; hakuyaondoa mara moja kwa kuyatia mikononi mwa Yoshua.

Chinese Contemporary Bible (Simplified)

士师记 2:1-23

耶和华责备以色列人

1耶和华的天使从吉甲来到波金,对以色列人说:“我带你们离开埃及,领你们去我起誓要赐给你们祖先的土地。我说,‘我永不废弃跟你们立的约, 2你们不可跟这里的居民立约,要毁掉他们的祭坛。’可是你们为什么不听呢? 3因此,我告诉你们,我必不赶走这里的居民,他们必成为你们肋旁的刺,他们的神明必成为你们的网罗。” 4以色列人听了耶和华的天使说的话,就放声大哭, 5他们称那地方为波金2:5 波金”意思是“哭泣”。,在那里向耶和华献祭。

约书亚去世

6约书亚遣散以色列人后,他们便各自去攻占所分得的土地。 7约书亚在世的时候,以色列人都事奉耶和华。他死后,那些目睹耶和华为以色列人行大事的长老还在世的时候,以色列人仍然事奉耶和华。 8耶和华的仆人、的儿子约书亚去世时享年一百一十岁。 9以色列人把他葬在他自己的土地上,在迦实山以北、以法莲山区的亭拿·希烈10那一代人都去世后,新一代不认识耶和华,也不知道耶和华为以色列人所行的事。

11以色列人做耶和华视为恶的事,祭拜巴力12他们背弃了领他们祖先离开埃及的上帝耶和华,追随、祭拜邻邦的各种神明,因而惹耶和华发怒。 13他们背弃耶和华,去祭拜巴力亚斯她录14耶和华向他们发怒,使他们遭到掠夺者的攻击和四周仇敌的压制,毫无抵抗之力。 15他们每次出战,耶和华都与他们为敌,使他们战败,正如祂的誓言。他们苦不堪言。

16后来,耶和华使士师2:16 士师”意思是“首领”。兴起,从掠夺者手中拯救他们。 17但他们不听从士师的话,与其他神明苟合,祭拜它们,很快偏离他们祖先的道路,没有像他们的祖先那样遵行耶和华的命令。 18耶和华见他们因敌人的压迫和苦待而哀号,就怜悯他们,使士师陆续兴起,并与每位士师同在。士师在世之日,耶和华从仇敌手中拯救他们。 19士师去世以后,他们又故态复萌,追随、祭拜其他神明,比他们的祖先更败坏。他们执迷不悟,怙恶不悛。 20耶和华向他们发怒,说:“这百姓违背了我跟他们祖先所立的约,不听从我的话。 21因此,我不再逐出约书亚去世时还没有赶走的外族人, 22我要借此试验以色列人,看他们是否像他们祖先一样谨遵我的道。” 23这就是为什么耶和华留下那些外族人,没有立刻把他们赶走,也没有把他们交在约书亚手中。