Hesabu 34 – NEN & CCBT

Kiswahili Contemporary Version (Neno: Bibilia Takatifu)

Hesabu 34:1-29

Mipaka Ya Kanaani

1Bwana akamwambia Mose, 234:2 Hes 33:51; Mwa 17:8; Kum 1:7-8; Yos 23:4; Za 78:54-55; 105:11; Eze 47:15“Waamuru Waisraeli na uwaambie: ‘Mtakapoingia nchi ya Kanaani, nchi ambayo itagawanywa kwenu kama urithi itakuwa na mipaka ifuatayo:

334:3 Hes 15:21; Yos 15:1-3; Mwa 14:3; Eze 47:13; Mwa 14:3; Yos 3:16“ ‘Upande wenu wa kusini utajumuisha sehemu ya Jangwa la Sini kufuata mpaka wa Edomu. Upande wa mashariki mpaka wenu wa kusini utaanzia mwisho wa Bahari ya Chumvi,34:3 Yaani Bahari Mfu. 434:4 Yos 15:3; Amu 1:36; Hes 32:8; Yos 15:4katiza kusini mwa Pito la Akrabimu, endelea mpaka Sini na kwenda kusini ya Kadesh-Barnea. Kisha mpaka huo utaenda hadi Hasar-Adari hadi Azmoni, 534:5 Mwa 15:18; 1Fal 8:65; Isa 27:12mahali ambapo utapinda, na kuunganika na Kijito cha Misri na kumalizikia kwenye Bahari ya Kati.34:5 Yaani Mediterania.

634:6 Yos 1:4; 9:1; 15:12; 23:4; Eze 47:10; 48:28; 47:9-20“ ‘Mpaka wenu wa magharibi utakuwa Bahari ya Kati. Huu utakuwa mpaka wenu upande wa magharibi.

734:7 Eze 47:15-17; Hes 20:22“ ‘Kwa mpaka wenu wa kaskazini, wekeni alama kuanzia Bahari ya Kati hadi mlima Hori, 834:8 Hes 13:21; Yos 13:5; 2Sam 8:9; 2Fal 18:25; Isa 10:9; Yer 39:5; Eze 47:15-20na kutoka mlima Hori hadi Pito la Hamathi. Kisha mpaka utaenda hadi Sedadi, 934:9 Eze 47:17kuendelea hadi Zifroni, na kuishia Hasar-Enani. Huu utakuwa mpaka wenu upande wa kaskazini.

1034:10 Yos 15:5“ ‘Kwa mpaka wenu wa mashariki, wekeni alama kuanzia Hasar-Enani hadi Shefamu. 1134:11 2Fal 23:33; 25:6; Yer 39:5; 52:9; Yos 15:32; 21:16; 1Nya 4:32; Kum 3:17; Yos 11:2; 13:27Mpaka utaelekea kusini kuanzia Shefamu hadi Ribla upande wa mashariki wa Aini, na kuendelea kwenye miteremko mashariki mwa Bahari ya Kinerethi.34:11 Yaani Bahari ya Galilaya. 12Kisha mpaka utashuka kuelekea Mto Yordani na kuishia katika Bahari ya Chumvi.

“ ‘Hii itakuwa nchi yenu, ikiwa na mipaka yake kila upande.’ ”

1334:13 Law 16:8; Yos 18:10; Mik 2:5; Yos 13:6; 14:1-5; Isa 49:8Mose akawaamuru Waisraeli: “Gawanyeni nchi hii kwa kura kama urithi. Bwana ameagiza kwamba itolewe kwa yale makabila tisa na nusu, 1434:14 Hes 32:19; Kum 33:21; Yos 14:3kwa sababu jamaa ya kabila la Reubeni, kabila la Gadi, na nusu ya kabila la Manase wamekwishapokea urithi wao. 15Haya makabila mawili na nusu wamekwishapokea urithi wao upande wa mashariki wa Yordani ngʼambo ya Yeriko, kuelekea mawio ya jua.”

16Bwana akamwambia Mose, 1734:17 Hes 11:28; Kum 1:38; Kut 6:23-25“Haya ndiyo majina ya watu ambao watakusaidia kugawanya nchi kama urithi: Eleazari kuhani na Yoshua mwana wa Nuni. 1834:18 Hes 1:4; Yos 14:1Tena uteue kiongozi mmoja kutoka kila kabila kusaidia kuigawanya nchi. 1934:19 Hes 26:65; Mwa 29:35; Kum 33:7; Za 60:7; 108:8; Hes 13:6, 30; Kum 1:36Haya ndiyo majina yao:

“Kalebu mwana wa Yefune,

kutoka kabila la Yuda;

2034:20 Mwa 29:33; 49:5; Eze 48:24Shemueli mwana wa Amihudi,

kutoka kabila la Simeoni;

2134:21 Mwa 49:27; Amu 5:14; Za 68:27Elidadi mwana wa Kisloni,

kutoka kabila la Benyamini;

22Buki mwana wa Yogli,

kiongozi kutoka kabila la Dani;

2334:23 Hes 1:34; Mwa 48:8-22; Kum 33:13; Mwa 49:22; Za 80:1Hanieli mwana wa Efodi,

kiongozi kutoka kabila la Manase mwana wa Yosefu;

2434:24 Hes 1:32Kemueli mwana wa Shiftani,

kiongozi kutoka kabila la Efraimu mwana wa Yosefu;

2534:25 Mwa 30:20Elisafani mwana wa Parnaki,

kiongozi kutoka kabila la Zabuloni;

26Paltieli mwana wa Azani,

kiongozi kutoka kabila la Isakari;

2734:27 Hes 1:40Ahihudi mwana wa Shelomi,

kiongozi kutoka kabila la Asheri;

28Pedaheli mwana wa Amihudi,

kiongozi kutoka kabila la Naftali.”

2934:29 Kum 32:8; Mdo 17:26Hawa ndio watu ambao Bwana aliamuru wagawanye urithi kwa Waisraeli katika nchi ya Kanaani.

Chinese Contemporary Bible (Traditional)

民數記 34:1-29

迦南的疆域

1耶和華對摩西說: 2「你把以下指示告訴以色列人。

「你們進入賜給你們作產業的迦南後,你們四境的疆界如下。

3「南部疆界從曠野沿著以東邊界延伸,東起死海的盡頭, 4往南至亞克拉濱坡南面,經直到加低斯·巴尼亞南面,再延伸至哈薩·亞達,經押們5轉向埃及河,直到地中海。

6「西部以地中海為界。

7「北部疆界從地中海開始直到何珥山, 8再到哈馬口,經西達達9西斐崙直到哈薩·以難

10「東部疆界從哈薩·以難一直劃到示番11往南到亞延東面的利比拉,再往南到基尼烈湖東岸。 12然後沿約旦河南下直到死海。這是你們國土四面的疆界。」

13摩西又對以色列人說:「這就是耶和華吩咐用抽籤的方式分給你們九個半支派的土地。 14呂便支派和迦得支派已經按著宗族得到了他們的土地,瑪拿西半個支派也得到了土地。 15這兩個半支派的土地在耶利哥對面的約旦河東岸。」

分地的首領

16耶和華對摩西說: 17「負責給你們分地的是以利亞撒祭司和的兒子約書亞18每支派要選出一位首領來協助分地。

19「以下是這些首領的名字:

猶大支派耶孚尼的兒子迦勒

20西緬支派亞米忽的兒子示姆利

21便雅憫支派基斯倫的兒子以利達

22支派約利的兒子布基

23約瑟之子瑪拿西支派以弗的兒子漢聶

24以法蓮支派拾弗但的兒子基姆利

25西布倫支派帕納的兒子以利撒番

26以薩迦支派阿散的兒子帕鐵

27亞設支派示羅米的兒子亞希忽

28拿弗他利支派亞米忽的兒子比達黑。」

29這些是奉耶和華之命在迦南以色列人分產業的首領。