مزمور 98 – NAV & NEN

Ketab El Hayat

مزمور 98:1-9

الْمَزْمُورُ الثَّامِنُ وَالتِّسْعُونَ

1رَنِّمُوا لِلرَّبِّ تَرْنِيمَةً جَدِيدَةً، لأَنَّهُ قَدْ صَنَعَ عَجَائِبَ. وَبِيَمِينِهِ وَذِرَاعِهِ الْمُقَدَّسَةِ أَحْرَزَ خَلاصاً. 2أَعْلَنَ الرَّبُّ خَلاصَهُ؛ أَمَامَ أَنْظَارِ الأُمَمِ كَشَفَ بِرَّهُ. 3ذَكَرَ رَحْمَتَهُ وَأَمَانَتَهُ لِبَيْتِ إِسْرَائِيلَ. رَأَتْ كُلُّ أَقَاصِي الأَرْضِ خَلاصَ إِلَهِنَا.

4اهْتِفُوا لِلرَّبِّ يَا سَاكِنِي الأَرْضِ، اهْتِفُوا فَرَحاً وَرَنِّمُوا وَأَنْشِدُوا. 5أَنْشِدُوا لِلرَّبِّ بِعَزْفِ عُودٍ وَبِصَوْتِ نَشِيدٍ. 6اهْتِفُوا أَمَامَ الرَّبِّ الْمَلِكِ نَافِخِينَ بِأَبْوَاقٍ نُحَاسِيَّةٍ وَأَبْوَاقٍ قَرْنِيَّةٍ. 7لِيَهْتِفِ الْبَحْرُ بِأَمْوَاجِهِ وَبِكُلِّ مَا فِيهِ، وَالْمَسْكُونَةُ أَيْضاً وَمَنْ عَلَيْهَا. 8لِتُصَفِّقِ الأَنْهَارُ بِالأَيْدِي، وَتَتَرَنَّمِ الْجِبَالُ مَعاً. 9أَمَامَ الرَّبِّ لأَنَّهُ جَاءَ لِيَدِينَ الأَرْضَ بالْعَدْلِ وَالشُّعُوبَ بِالإِنْصَافِ.

Kiswahili Contemporary Version (Neno: Bibilia Takatifu)

Zaburi 98:1-9

Zaburi 98

Mungu Mtawala Wa Dunia

Zaburi.

198:1 Za 30:4; 96:1, 3; 44:3; Kut 15:1, 6; Lk 1:51; Yos 4:24; Ay 40:9; Isa 52:10; 53:1; 63:5; 12:5; 51:9; 59:16Mwimbieni Bwana wimbo mpya,

kwa maana ametenda mambo ya ajabu;

kitanga chake cha kuume na mkono wake mtakatifu

umemfanyia wokovu.

298:2 Za 67:2; Lk 2:30; 3:6; Rum 3:25; Isa 52:10; 62:2Bwana ameufanya wokovu wake ujulikane

na amedhihirisha haki yake kwa mataifa.

398:3 1Nya 16:15; Mwa 49:10; Za 48:10; 50:23; Kum 4:31; Mik 7:20; Isa 49:6; Lk 1:54; 3:6; Mdo 13:47Ameukumbuka upendo wake

na uaminifu wake kwa nyumba ya Israeli;

miisho yote ya dunia imeuona

wokovu wa Mungu wetu.

498:4 Za 20:5; Isa 12:6; 44:23; 52:9; 54:1; 55:12Mpigieni Bwana kelele za shangwe, dunia yote,

ipaze sauti kwa nyimbo za shangwe na vinanda;

598:5 Za 33:2; 92:3; 147:7; Isa 51:3mwimbieni Bwana kwa kinubi,

kwa kinubi na sauti za kuimba,

698:6 Hes 10:2; 10:10; 2Sam 6:15; Kut 19:13; Isa 12:6; Za 2:6; 47:7; 20:5; 100:1; 1Nya 15:28; 2Nya 29:27kwa tarumbeta na mvumo wa baragumu za pembe za kondoo dume:

shangilieni kwa furaha mbele za Bwana, aliye Mfalme.

798:7 Za 93:3; 24:1Bahari na ivume na kila kiliomo ndani yake,

dunia na wote wakaao ndani yake.

898:8 2Fal 11:12; Za 148:9; 44:23Mito na ipige makofi,

milima na iimbe pamoja kwa furaha,

998:9 Za 96:10vyote na viimbe mbele za Bwana,

kwa maana yuaja kuhukumu dunia.

Atahukumu dunia kwa haki

na mataifa kwa haki.