Het Boek

Psalmen 24:1-10

1Een psalm van David.

De aarde en al haar rijkdom

zijn van de Here!

2Hij drong het water terug,

zodat droog land tevoorschijn kwam.

3Wie kan de berg van de Here beklimmen

en binnengaan in de plaats waar Hij woont?

Wie kan voor de Here staan?

4Alleen zij die schone handen en zuivere harten hebben,

die zich niet inlaten met oneerlijkheid en leugens.

5Zij zullen als een zegen van God

zijn goedheid in hun leven ervaren.

Die reikt Hij, hun verlosser, hun Zelf toe.

6Zij mogen voor de Here komen staan

en Hem, de God van Jakob, hulde brengen.

7Ga toch open, eeuwenoude poorten,

en laat de geëerde Koning binnen!

8Wie die geëerde Koning is?

De Here, sterk en machtig,

onoverwinnelijk in de strijd!

9Ja, zet de poorten wijd open

en laat de geëerde Koning binnengaan.

10Wie die geëerde Koning is?

Hij is de Here van alle hemelse legers.

Hij is de Koning, die alle eer toekomt.

Kiswahili Contemporary Version (Neno: Bibilia Takatifu)

Zaburi 24:1-10

Zaburi 24

Mfalme Mkuu

Zaburi ya Daudi.

124:1 Kut 9:29; Ay 41:11; 1Kor 10:26Dunia ni mali ya Bwana, na vyote vilivyomo ndani yake,

ulimwengu, na wote waishio ndani yake,

224:2 Za 104:3; Mwa 1:6; 2Pet 3:5maana aliiwekea misingi yake baharini

na kuifanya imara juu ya maji.

324:3 Za 2:6; 15:1; 65:4Nani awezaye kuupanda mlima wa Bwana?

Ni nani awezaye kusimama patakatifu pake?

424:4 2Sam 22:21; Za 51:10; 73:1; Mt 5:8; Eze 18:15Ni yule mwenye mikono safi na moyo mweupe,

yule ambaye hakuinulia sanamu nafsi yake

au kuapa kwa kitu cha uongo.

524:5 Kum 11:26; Za 17:2Huyo atapokea baraka kutoka kwa Bwana,

na hukumu ya haki kutoka kwa Mungu Mwokozi wake.

624:6 Za 27:8; 105:4; 119:58; Hos 5:15Hiki ndicho kizazi cha wale wamtafutao,

wale wautafutao uso wako, Ee Mungu wa Yakobo.

724:7 Isa 26:2; 60:11, 18; 62:10; Za 74:12; 29:3; 118:19, 20; 44:4; Mdo 7:2; 1Kor 2:8; Zek 9:9; Mt 21:5; Hag 2:7; Mal 3:1Inueni vichwa vyenu, enyi malango,

inukeni enyi milango ya kale,

ili mfalme wa utukufu apate kuingia.

824:8 1Nya 29:11; Za 89:13; Kum 4:34; Yer 50:34; Efe 6:10; Kut 15:3, 6Ni nani huyu Mfalme wa utukufu?

Ni Bwana aliye na nguvu na uweza,

ni Bwana aliye hodari katika vita.

9Inueni vichwa vyenu, enyi malango,

viinueni juu enyi milango ya kale,

ili Mfalme wa utukufu apate kuingia.

1024:10 1Sam 1:11Ni nani yeye, huyu Mfalme wa utukufu?

Ni Bwana Mwenye Nguvu Zote;

yeye ndiye Mfalme wa utukufu.