1 Kronieken 8 – HTB & NEN

Het Boek

1 Kronieken 8:1-40

De nakomelingen van Benjamin

1-2 De zonen van Benjamin, te beginnen met de oudste, waren Bela, Asbel, Ahrah, Noha en Rafa. 3-5De zonen van Bela waren Addar, Gera, Abihud, Abisua, Naäman, Ahoah, Gera, Sefufan en Churam. 6-7 De zonen van Ehud, hoofden van de families die in Geba woonden, werden tijdens de oorlog gevangengenomen en naar Manahath gebracht. Ehuds zonen waren Naäman, Ahia en Gera, de vader van Uzza en Ahihud.

8-10Saharaïm scheidde van zijn vrouwen Husim en Baära, maar in het land Moab had hij kinderen van zijn nieuwe vrouw Hodes. Dat waren Jobab, Zibja, Mesa, Malkam, Jeüz, Sochja en Mirma. Deze zonen werden allemaal hoofd van een familie. 11Zijn vrouw Husim had Abitub en Elpaäl ter wereld gebracht. 12De zonen van Elpaäl waren Eber, Misam en Semed. Deze laatste bouwde de steden Ono en Lod en de omringende dorpen. 13Zijn andere zonen waren Beria en Sema, beiden hoofden van families die in Ajalon woonden, zij verjaagden daar de inwoners van Gath.

14Tot Elpaäls zonen behoorden ook Ahjo, Sasak en Jeremoth. 15-16 De zonen van Beria waren Zebadja, Arad, Eder, Michaël, Jispa en Joha. 17-18 Verder behoorden tot de zonen van Elpaäl Zebadja, Mesullam, Hizki, Eber, Jismerai, Jizlia en Jobab.

19-21De zonen van Simi waren Jakim, Zichri, Zabdi, Eljoënai, Zillethai, Eliël, Adaja, Beraja en Simrath. 22-25De zonen van Sasak waren Jispan, Eber, Eliël, Abdon, Zichri, Hanan, Hananja, Elam, Anthothia, Jifdeja en Pnuël. 26-27 De zonen van Jeroham waren Samserai, Seharja, Athalja, Jaäresja, Elia en Zichri. 28Dit waren de hoofden van de families die in Jeruzalem woonden.

29Jeïël, de vader van Gibeon, woonde in Gibeon. Zijn vrouw heette Maächa.

30-32Zijn oudste zoon heette Abdon en werd gevolgd door Zur, Kis, Baäl, Nadab, Gedor, Ahjo, Zecher en Mikloth, de vader van Simea. Al deze families leefden bij elkaar in de buurt van Jeruzalem. 33Ner was de vader van Kis en Kis was de vader van Saul, tot Sauls zonen behoorden Jonathan, Malkisua, Abinadab en Esbaäl. 34Jonathans zoon heette Mefiboseth en diens zoon was Micha. 35De zonen van Micha waren Pithon, Melech, Thaärea en Achaz. 36Achaz was de vader van Jehoadda, Jehoadda was de vader van Alemeth, Azmaveth en Zimri. Zimriʼs zoon heette Moza. 37Moza was de vader van Bina en diens zonen waren Rafa, Elasa en Azel. 38Azel had zes zonen: Azrikam, Bochru, Ismaël, Searja, Obadja en Hanan. 39Azels broer Esek had drie zonen: Ulam, de oudste, Jeüs, de tweede en Elifelet, de derde. 40Ulams zonen waren uitstekende strijders en zeer bedreven met hun pijl en boog. Deze mannen hadden honderdvijftig zonen en kleinzonen en behoorden allemaal tot de stam van Benjamin.

Kiswahili Contemporary Version (Neno: Bibilia Takatifu)

1 Nyakati 8:1-40

Ukoo Wa Sauli Mbenyamini

18:1 Mwa 46:21; 1Nya 7:6; Hes 26:38Benyamini akamzaa: Bela mzaliwa wake wa kwanza,

Ashbeli mwanawe wa pili, Ahara mwanawe wa tatu,

2Noha mwanawe wa nne na Rafa mwanawe wa tano.

38:3 Mwa 46:21Wana wa Bela walikuwa:

Adari, Gera, Abihudi, 48:4 2Sam 23:9Abishua, Naamani, Ahoa, 5Gera, Shefufani na Huramu.

68:6 Amu 3:12-30; 1Nya 2:52; Neh 6:2Hawa ndio wazao wa Ehudi, waliokuwa viongozi wa jamaa za wale walioishi huko Geba na ambao walihamishiwa Manahathi:

7Naamani, Ahiya na Gera. Gera alikuwa baba yao Uza na Ahihudi na ndiye aliwaongoza kwenda uhamishoni.

8Shaharaimu aliwazaa wana katika nchi ya Moabu baada ya kuwapa talaka wake zake wawili yaani, Hushimu na Baara. 9Kwa mkewe Hodeshi, akawazaa wana saba: Yobabu, Sibia, Mesha, Malkamu, 10Yeuzi, Sakia na Mirma. Hawa ndio waliokuwa wanawe, viongozi wa jamaa zao. 11Hushimu alimzalia: Abitubu na Elpaali.

128:12 Ezr 2:33; Neh 7:37Wana wa Elpaali walikuwa:

Eberi, Mishamu, Shemedi (aliyeijenga miji ya Ono na Lodi, pamoja na vijiji vilivyoizunguka), 138:13 Yos 10:12; Yn 11:22; Yos 19:42na Beria na Shema, waliokuwa viongozi wa zile jamaa zilizokuwa zinaishi katika mji wa Aiyaloni, na ambao waliwafukuza wenyeji wa Gathi.

14Wana wa Beria walikuwa Ahio, Shashaki, Yeremothi, 15Zebadia, Aradi, Ederi, 16Mikaeli, Ishpa, na Yoha.

17Zebadia, Meshulamu, Hizki, Heberi, 18Ishmerai, Izlia na Yobabu ndio waliokuwa wana wa Elpaali.

19Yakimu, Zikri, Zabdi, 20Elienai, Silethai, Elieli, 21Adaya, Beraya na Shimrathi walikuwa wana wa Shimei.

22Wana wa Shashaki walikuwa Ishpani, Eberi, Elieli, 23Abdoni, Zikri, Hanani, 24Hanania, Elamu, Anthothiya, 25Ifdeya na Penueli.

26Shamsherai, Sheharia, Athalia, 27Yaareshia, Eliya na Zikri walikuwa wana wa Yerohamu.

28Hawa wote walikuwa viongozi wa jamaa zao wakuu, kama ilivyoorodheshwa katika koo zao, nao waliishi Yerusalemu.

298:29 Yos 9:3; 1Nya 9:35Yeieli alikuwa baba yake Gibeoni naye aliishi huko Gibeoni.

Mke wake aliitwa Maaka. 30Mwanawe mzaliwa wa kwanza alikuwa Abdoni, akafuatiwa na Suri, Kishi, Baali, Neri, Nadabu, 318:31 1Nya 9:37Gedori, Ahio, Zekeri, 32na Miklothi ambaye alikuwa baba yake Shimea. Hawa pia waliishi karibu na jamaa zao huko Yerusalemu.

338:33 1Sam 28:19; 9:1; 14:49; 2Sam 2:8; Mdo 13:21Neri akamzaa Kishi, Kishi akamzaa Sauli, Sauli akamzaa Yonathani, Malki-Shua, Abinadabu na Esh-Baali.

348:34 2Sam 9:12; 4:4; 21:7-14Yonathani akamzaa:

Merib-Baali,8:34 Merib-Baali maana yake ni Baali na Ashindane naye (Amu 6:32); ni jina lingine la mwana wa Yonathani, Mefiboshethi ambalo nalo maana yake ni Mtu wa Aibu (ona 2Sam 4:4). naye Merib-Baali akamzaa Mika.

35Wana wa Mika walikuwa:

Pithoni, Meleki, Tarea na Ahazi.

36Ahazi akamzaa Yehoada. Naye Yehoada akawazaa Alemethi, Azmawethi na Zimri, naye Zimri akamzaa Mosa. 37Mosa akamzaa Binea, Binea akamzaa Rafa, na mwanawe huyo ni Eleasa, na mwanawe huyo ni Aseli.

38Aseli alikuwa na wana sita; haya ndiyo majina yao:

Azrikamu, Bokeru, Ishmaeli, Shearia, Obadia na Hanani. Hawa wote ndio waliokuwa wana wa Aseli.

39Wana wa Esheki, nduguye Aseli, walikuwa:

Mzaliwa wake wa kwanza alikuwa Ulamu, wa pili Yeushi na wa tatu Elifeleti. 408:40 Hes 26:38; 1Nya 12:2; 2Nya 11:1; 13:3; Neh 4:13; Wim 3:7-8; Efe 6:11-20Wana wa Ulamu walikuwa mashujaa hodari walioweza kutumia upinde. Alikuwa na wana wengi na wajukuu, jumla yao 150.

Hawa wote ndio walikuwa wazao wa Benyamini.